Mawaziri vivuli wa CHADEMA wana uwezo mdogo!

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Tunaweza kumlaumu Mbowe kumbe anashindwa kutoa mchango kwa kukosa wasaidizi wenye ueledi bungeni.Kazi kubwa ya mawaziri vivuli ni kuja na mpango mbadala kwa lengo la kuboresha mpango wa serikali,hadi sasa hakuna hata kivuli mmoja aliyeweza kuleta/kuandaa mpango mbadala.

Hili huenda limesababishwa na;
1.Jazba

2.Kutokuwa na elimu na uzoefu wa sehemu/sekta husika mfano....Mnyika hana ueledi na masuala ya nishati na miamba,Msigwa hana ueledi na mambo ya diplomasia na kimataifa,Silinde hajui masuala ya fedha na uchumi,Sugu hana ajualo kwenye tasnia ya habari.

3.Upendeleo,kupachikana wadhifa bila kujali uwezo.

Kambi ya upinza inaweza kuwa bora endapo watazingatia yafuatayo;
1.Mbowe na wenzake wajenge utamaduni wa kujisomea,si vitabu vya hadithi...bali majarida ya uchumi,maliasili ili kupata taarifa muhimu zitakazowawezesha kujenga hoja...na sio kuja na "hear say"...bungeni.

2.Waachane kutumia pesa kwenye propaganda bali waajiri wataalamu kwenye sekta kama Uchumi,Elimu,Afya,Kilimo...kwa dhumuni la kutafsiri,kuchambua na kuwapa uelewa wabunge.Mfano kama Mbowe angekuwa na mshauri wa kiuchumi asingeleta bungeni hoja ya deni la taifa kwa namna alivyohoji ni dhahiri hana uelewa nalo....mtaalamu angemuelekeza ni jambo gani la kuuliza kuhusu deni la taifa.

Nawasilisha.
 
Tunaweza kumlaumu Mbowe kumbe anashindwa kutoa mchango kwa kukosa wasaidizi wenye ueledi bungeni.Kazi kubwa ya mawaziri vivuli ni kuja na mpango mbadala kwa lengo la kuboresha mpango wa serikali,hadi sasa hakuna hata kivuli mmoja aliyeweza kuleta/kuandaa mpango mbadala.Hili huenda limesababishwa na;
1.Jazba
2.Kutokuwa na elimu na uzoefu wa sehemu/sekta husika mfano....Mnyika hana ueledi na masuala ya nishati na miamba,Msigwa hana ueledi na mambo ya diplomasia na kimataifa,Silinde hajui masuala ya fedha na uchumi,Sugu hana ajualo kwenye tasnia ya habarmpinzandeleo,kupachikana wadhifa bila kujali uwezo.

Kambi ya upinza inaweza kuwa bora endapo watazingatia yafuatayo;
1.Mbowe na wenzake wajenge utamaduni wa kujisomea,si vitabu vya hadithi...bali majarida ya uchumi,maliasili ili kupata taarifa muhimu zitakazowawezesha kujenga hoja...na sio kuja na "hear say"...bungeni.
2.Waachane kutumia pesa kwenye propaganda bali waajiri wataalamu kwenye sekta kama Uchumi,Elimu,Afya,Kilimo...kwa dhumuni la kutafsiri,kuchambua na kuwapa uelewa wabunge.Mfano kama Mbowe angekuwa na mshauri wa kiuchumi asingeleta bungeni hoja ya deni la taifa kwa namna alivyohoji ni dhahiri hana uelewa nalo....mtaalamu angemuelekeza ni jambo gani la kuuliza kuhusu deni la taifa.

Nawasilisha.
Post zako huwa ni zisizo na mchango wowote kitaifa zaid ya umbea,mipasho,nk tumia mda wako kutafakar mambo ya msingi sio chuki dhidi ya wapinzani unalishwa maneno machafu na wewe unayabeba bila kutumia kichwa chako,maendeleo hayaji kwa kiwachukia wapinzani na kuwananga kila siku bali kwa msikamano na jitihada za ziada ili kujikwamua kama taifa

Tukirud kwenye hoja yako mbona kuna viongozi wengi sana wameteuliwa awamu hii wakiwemo wakurugenzi,makatibu tawala nk ambao hawana sifa za kutosha kushika nyadhifa hizo? Mbona hujaongelea hilo kama ndio hoja yako kuu? Acha utumwa wa fikra kuamin kuwa mpinzani ni adui yako.
 
CDM bado sana kupewa Nchi hii! Labda 2055
Hayo ni maneno yako sio ya wananchi wala seikali,siiamini chadema lakin pia sina imani kabisa na hawa walio pewa nchi tangu 1961 maana naona wanatupigisha kwata kurudi nyuma kwa kasi badala ya kwenda mbele maneno mengi , mipango mingi matarajio mengi lakin kila sili kila mwaka hakuna ahueni.
 
Post zako huwa ni za kipuuzi zisizo na mchhango wowote kitaifa zaid ya umbea,mipasho,nk tumia mda wako kutafakar mambo ya msingi sio chuki dhidi ya wapinzani unalishwa maneno machafu na wewe unayabeba bila kutumia kichwa chako,maendeleo hayaji kwa kiwachukia wapinzani na kuwananga kila siku bali kwa msikamano na jitihada za ziada ili kujikwamua kama taifa

Tukirud kwenye hoja yako mbona kuna viongozi wengi sana wameteuliwa awamu hii wakiwemo wakurugenzi,makatibu tawala nk ambao hawana sifa za kutosha kushika nyadhifa hizo? Mbona hujaongelea hilo kama ndio hoja yako kuu? Acha utumwa wa fikra kuamin kuwa mpinzani ni adui yako.

Polee mkuu kwa kumjibu uyo. Post zake usizisome,hazina maana yoyote.
 
Ni kweli huenda ikawa Mbowe amekosa washauri wazuri kama ilivyo kwa mkuu wetu wa kaya ambaye maamuzi yote huyafanya peke yake huku kwa 95% akionekana kwamba anakurupuka. Mfano kauli ya kutaka kuibadili noti ya sh. 10,000 eti kwa sababu kuna watu wameficha pesa majumbani ilidhihirisha wazi kwamba mkuu wetu wa kaya (Mtukufu) amekosa/hana washauri wa masuala ya kiuchumi.
 
Slinde yeye alishindwa kabisa kutengeneza bajeti kinzani,akaja na sababu za kitoto akajifanya kasusa
Zitto mwenyewe aliwahi kuchemka alikuja na jumla ya mapato 0.00
Anachofanya Mbowe ni dhihaka tu
 
Tunaweza kumlaumu Mbowe kumbe anashindwa kutoa mchango kwa kukosa wasaidizi wenye ueledi bungeni.Kazi kubwa ya mawaziri vivuli ni kuja na mpango mbadala kwa lengo la kuboresha mpango wa serikali,hadi sasa hakuna hata kivuli mmoja aliyeweza kuleta/kuandaa mpango mbadala.Hili huenda limesababishwa na;
1.Jazba
2.Kutokuwa na elimu na uzoefu wa sehemu/sekta husika mfano....Mnyika hana ueledi na masuala ya nishati na miamba,Msigwa hana ueledi na mambo ya diplomasia na kimataifa,Silinde hajui masuala ya fedha na uchumi,Sugu hana ajualo kwenye tasnia ya habari.
3.Upendeleo,kupachikana wadhifa bila kujali uwezo.

Kambi ya upinza inaweza kuwa bora endapo watazingatia yafuatayo;
1.Mbowe na wenzake wajenge utamaduni wa kujisomea,si vitabu vya hadithi...bali majarida ya uchumi,maliasili ili kupata taarifa muhimu zitakazowawezesha kujenga hoja...na sio kuja na "hear say"...bungeni.
2.Waachane kutumia pesa kwenye propaganda bali waajiri wataalamu kwenye sekta kama Uchumi,Elimu,Afya,Kilimo...kwa dhumuni la kutafsiri,kuchambua na kuwapa uelewa wabunge.Mfano kama Mbowe angekuwa na mshauri wa kiuchumi asingeleta bungeni hoja ya deni la taifa kwa namna alivyohoji ni dhahiri hana uelewa nalo....mtaalamu angemuelekeza ni jambo gani la kuuliza kuhusu deni la taifa.

Nawasilisha.

Katika watu wenye kushukuru uwepo wa Chadema wewe ni nambari one. Kwani kwa uwepo wao unafanya wewe uishi kwa riziki upatayo. Lazima kila ukilala unafikiria kesho niandike nini kuhusu Chadema, MBOWE au Lowassa.
Pole sana, ila ungejikita hata kuanzisha bustani ya mchicha ungepata kipato kizuri na heshima kuliko hayo ufanyayo sasa hivi
 
Post zako huwa ni za kipuuzi zisizo na mchhango wowote kitaifa zaid ya umbea,mipasho,nk tumia mda wako kutafakar mambo ya msingi sio chuki dhidi ya wapinzani unalishwa maneno machafu na wewe unayabeba bila kutumia kichwa chako,maendeleo hayaji kwa kiwachukia wapinzani na kuwananga kila siku bali kwa msikamano na jitihada za ziada ili kujikwamua kama taifa

Tukirud kwenye hoja yako mbona kuna viongozi wengi sana wameteuliwa awamu hii wakiwemo wakurugenzi,makatibu tawala nk ambao hawana sifa za kutosha kushika nyadhifa hizo? Mbona hujaongelea hilo kama ndio hoja yako kuu? Acha utumwa wa fikra kuamin kuwa mpinzani ni adui yako.
Ukishakuwa mwanachadema bila kujitoa ufahamu hutadumu nao!ona jinsi huyu alivyojibu[emoji13] !sishangai....uweledi wako mdogo sana!hivi kwa kuwa Sugu ni mwimbaji bongo fleva basi ndo unampa uwazir kivuli habari?unaweza mchagua waziri kivuli kwa kigezo kama hiki!kifupi chama chenu kimekosa watu wenyeuweledi wa kuchambua mambo kiakili au kama wapo hawapewi nafasi ya kutosha!
 
Kwa hiyo ushauri niliyowapa sio kitu?..hayo mengine na wewe yaongelee sina muda wa kuzungumza yote kwa wakati mmoja.Jifunze kuvumilia kukosolewa,usitoe matusi.
 
Katika watu wenye kushukuru uwepo wa Chadema wewe ni nambari one. Kwani kwa uwepo wao unafanya wewe uishi kwa riziki upatayo. Lazima kila ukilala unafikiria kesho niandike nini kuhusu Chadema, MBOWE au Lowassa.
Pole sana, ila ungejikita hata kuanzisha bustani ya mchicha ungepata kipato kizuri na heshima kuliko hayo ufanyayo sasa hivi
Kambi ya upinzani lazima ikosolewe ili kuleta tija.
 
Tunaweza kumlaumu Mbowe kumbe anashindwa kutoa mchango kwa kukosa wasaidizi wenye ueledi bungeni.Kazi kubwa ya mawaziri vivuli ni kuja na mpango mbadala kwa lengo la kuboresha mpango wa serikali,hadi sasa hakuna hata kivuli mmoja aliyeweza kuleta/kuandaa mpango mbadala.Hili huenda limesababishwa na;
1.Jazba
2.Kutokuwa na elimu na uzoefu wa sehemu/sekta husika mfano....Mnyika hana ueledi na masuala ya nishati na miamba,Msigwa hana ueledi na mambo ya diplomasia na kimataifa,Silinde hajui masuala ya fedha na uchumi,Sugu hana ajualo kwenye tasnia ya habari.
3.Upendeleo,kupachikana wadhifa bila kujali uwezo.

Kambi ya upinza inaweza kuwa bora endapo watazingatia yafuatayo;
1.Mbowe na wenzake wajenge utamaduni wa kujisomea,si vitabu vya hadithi...bali majarida ya uchumi,maliasili ili kupata taarifa muhimu zitakazowawezesha kujenga hoja...na sio kuja na "hear say"...bungeni.
2.Waachane kutumia pesa kwenye propaganda bali waajiri wataalamu kwenye sekta kama Uchumi,Elimu,Afya,Kilimo...kwa dhumuni la kutafsiri,kuchambua na kuwapa uelewa wabunge.Mfano kama Mbowe angekuwa na mshauri wa kiuchumi asingeleta bungeni hoja ya deni la taifa kwa namna alivyohoji ni dhahiri hana uelewa nalo....mtaalamu angemuelekeza ni jambo gani la kuuliza kuhusu deni la taifa.

Nawasilisha.
Ni kweli hawana uweza lakini hoja za Lema mkashindwa kujibu angalau ata kurasa moja.
 
Ukishakuwa mwanachadema bila kujitoa ufahamu hutadumu nao!ona jinsi huyu alivyojibu[emoji13] !sishangai....uweledi wako mdogo sana!hivi kwa kuwa Sugu ni mwimbaji bongo fleva basi ndo unampa uwazir kivuli habari?unaweza mchagua waziri kivuli kwa kigezo kama hiki!kifupi chama chenu kimekosa watu wenyeuweledi wa kuchambua mambo kiakili au kama wapo hawapewi nafasi ya kutosha!
Kwa kuwa Nape anajua kupiga gitaa na maneno yenye mipasho ndo kigezo cha kuwa Waziri naomba nijibu kwanza halafu tuendelee
 
Tunaweza kumlaumu Mbowe kumbe anashindwa kutoa mchango kwa kukosa wasaidizi wenye ueledi bungeni.Kazi kubwa ya mawaziri vivuli ni kuja na mpango mbadala kwa lengo la kuboresha mpango wa serikali,hadi sasa hakuna hata kivuli mmoja aliyeweza kuleta/kuandaa mpango mbadala.Hili huenda limesababishwa na;
1.Jazba
2.Kutokuwa na elimu na uzoefu wa sehemu/sekta husika mfano....Mnyika hana ueledi na masuala ya nishati na miamba,Msigwa hana ueledi na mambo ya diplomasia na kimataifa,Silinde hajui masuala ya fedha na uchumi,Sugu hana ajualo kwenye tasnia ya habari.
3.Upendeleo,kupachikana wadhifa bila kujali uwezo.

Kambi ya upinza inaweza kuwa bora endapo watazingatia yafuatayo;
1.Mbowe na wenzake wajenge utamaduni wa kujisomea,si vitabu vya hadithi...bali majarida ya uchumi,maliasili ili kupata taarifa muhimu zitakazowawezesha kujenga hoja...na sio kuja na "hear say"...bungeni.
2.Waachane kutumia pesa kwenye propaganda bali waajiri wataalamu kwenye sekta kama Uchumi,Elimu,Afya,Kilimo...kwa dhumuni la kutafsiri,kuchambua na kuwapa uelewa wabunge.Mfano kama Mbowe angekuwa na mshauri wa kiuchumi asingeleta bungeni hoja ya deni la taifa kwa namna alivyohoji ni dhahiri hana uelewa nalo....mtaalamu angemuelekeza ni jambo gani la kuuliza kuhusu deni la taifa.

Nawasilisha.

We wakudadavua ntaacha kusoma post zako! japo ni hiari kusoma lakn sasa ushakua we kila post mbowe na cdm inakusaidia nn kujadili hao watu? tujadili uchumi wa nchi namna gani serikali itafanikisha ujenzi wa viwanda nk, we kila ukiamka ni mbowe, mnyika,sugu wanakusaidia nn hao watu, huoni unawapromote tu bila sababu ya msingi.
 
Post zako huwa ni za kipuuzi zisizo na mchhango wowote kitaifa zaid ya umbea,mipasho,nk tumia mda wako kutafakar mambo ya msingi sio chuki dhidi ya wapinzani unalishwa maneno machafu na wewe unayabeba bila kutumia kichwa chako,maendeleo hayaji kwa kiwachukia wapinzani na kuwananga kila siku bali kwa msikamano na jitihada za ziada ili kujikwamua kama taifa

Tukirud kwenye hoja yako mbona kuna viongozi wengi sana wameteuliwa awamu hii wakiwemo wakurugenzi,makatibu tawala nk ambao hawana sifa za kutosha kushika nyadhifa hizo? Mbona hujaongelea hilo kama ndio hoja yako kuu? Acha utumwa wa fikra kuamin kuwa mpinzani ni adui yako.
Badala ya kujibu hoja yenye mantiki unakurupuka kishabiki. Unazungumziq wakurugenzi wenye elimu zao wee vipi kamanda. Jamaa kazungumza hali halisi ya mawaziri vivuli, jibu hoja kwanza wa huu uzi then anzisha wa kwako useme unayotaka nayo tutachangia. Usitutoe nje ya mada.
 
Mbona hili ilishawasilishwa Lumumba wakashindwa kuelewa somo wakapitisha bajeti uchwara VAT imetafuna uchumi?
 
We wakudadavua ntaacha kusoma post zako! japo ni hiari kusoma lakn sasa ushakua kama mpuuzi vile we kila post mbowe na cdm inakusaidia nn kujadili hao watu? tujadili uchumi wa nchi namna gani serikali itafanikisha ujenzi wa viwanda nk, we kila ukiamka ni mbowe, mnyika,sugu wanakusaidia nn hao watu, huoni unawapromote tu bila sababu ya msingi.
Atakuwa hawa promote kamanda. Sanasana anazidi kuwaanika madhaifu yao watu tuelewe. Hii ni elimu dunia mzee
 
Back
Top Bottom