Mawaziri vivuli wa CHADEMA wana uwezo mdogo!

Kwa kuwa Nape anajua kupiga gitaa na maneno yenye mipasho ndo kigezo cha kuwa Waziri naomba nijibu kwanza halafu tuendelee

Kama kweli unataka kujadili hoja acha uzushi, Nape ana shule ya kumtosha, kama hujui sio lazima useme halafu kupiga gitaa kunaonesha dalili kubwa ya kuyafahamu mambo. Tanzania ina wapiga magitaa wachache ukilinganisha na watu wenye digrii. Gitaa lingekuwa rahisi basi kila mtu angelipiga. Hata hao tunaowaita wanamuziki wengi wao hawajui kupiga hilo gitaa japo gitaa ni msingi wa kuwa mwanamuziki. Tafuta wasifu wa Nape halafu uje ujadili hoja hapa
 
Kwa vigezo vyako...sababu hakuna siri tena siku hizi, wafuatiliaji wa bunge live ni pungufu ya 2% ya watanzania ambao wengi hujishughulishana siasa,na kwa wale wafanyabiashara,wakulima,wanafunzi hufuatilia bunge pale waziri/serikali inapowasilisha bajeti au ripoti inayowahusu...so sio kigezo. na hayo yote yapo live na ripoti hutolewa kupitia magazeti.
Hahaaaaa,hizo asilimia mbili umezitoa wapi?Kichwani mwako au?Hofu tu ndio imewajaa,vyovyote vile sasa hivi mitandao imeenea!Bunge kutokuwa live ina hasara zaidi kwa wabunge wa ccm kuliko upinzani!Ushahidi ni kuwa michango mingi inayotangazwa au kuhabarishwa ni ile sensitive na hii Mara nyingi/zote imekuwa ikitolewa na wapinzani!Sana watakaosikika ni mawaziri wakijibu,sasa hao wabunge wa ccm ambao kazi yao kubwa ni kuijibia serikali badala ya kuhoji,ni chombo gani cha habari kitawapa kipaumbele?Hakuna!!!!!!!!!
 
Sidhani, ni kwamba wapinzani wengi mtindo wao wa kuchangi hoja ni kwa makelele...lakini haina maana kwamba wanajua, na ndio maana mambo mengi wanayoyaongea ni nje ya hoja na hayawekwi kwenye hansad ya bunge...unapenda kusikiliza maneno kama ''akili ndogo'...''raisi dhaifu''...na kadhalika....hata kwenye upande wa sheria Tundu yupo chini sana ukilinganisha na Chenge japo Tundu namna ya uongeaji na vijembe ndivyo vinapendeza wengi.
 
Fanya uchunguzi tu usikurupuke,anza tu leo kuwa mfatiliaji wa magazeti na luninga!Angalia Wabunge wanaojitokeza mara kwa mara kwenye vyombo huru!Angalia hoja ambazo hugeuka mjadala kwenye mitandao ya kijamii!Tusiende mbali,tuanze leo tu kufanya analysis!Ukiwa huru utaelewa
 
Vyombo huru vipi dogo....ngoja tuanze...Suala la Lugumi ameliibua Aeshi Hilary (PAC)..japo Lema karuka ruka nalooo..ili apate sifa, Suala la juzi kuhusu Bukoba kalianzisha...Mh.Shangazi....kafuatia Heche ukawa mmemiliskisha Heche....hata suala la UDOM liliibuliwa na Mh.Kafumu na Lugora bungeni kwa hoja...japo Nassary akaja na kituko cha kuvunja kanuni...suala ni hivi 'vitu dhaifu siku zote hupenda promo''...CHADEMA ni sawa na motto ukimsifia ''una akili beba maji,atabeba maji siku nzima''..ujinga kuhusu diplomasia anavyoonge Msigwa unaweza kumlinganisha na Dr.Mahiga?..ni mengi tu japo kuna wabunge baadhi wa upinzani wanaongea mambo ya maana, Embu fuatilia michango ya uchumi wa ''kivuli'' Silinde kama ana hoja, lakini mara kadhaa ZZK ametoa mambo ya msingi bungeni. Usipende mbwembwe katika uwasilishaji wa hoja...mara nyingi upuuzi wanaoongea hauingii kwenye hansad.
 
Tunaweza kumlaumu Mbowe kumbe anashindwa kutoa mchango kwa kukosa wasaidizi wenye ueledi bungeni.Kazi kubwa ya mawaziri vivuli ni kuja na mpango mbadala kwa lengo la kuboresha mpango wa serikali,hadi sasa hakuna hata kivuli mmoja aliyeweza kuleta/kuandaa mpango mbadala.

Hili huenda limesababishwa na;
1.Jazba

2.Kutokuwa na elimu na uzoefu wa sehemu/sekta husika mfano....Mnyika hana ueledi na masuala ya nishati na miamba,Msigwa hana ueledi na mambo ya diplomasia na kimataifa,Silinde hajui masuala ya fedha na uchumi,Sugu hana ajualo kwenye tasnia ya habari.

3.Upendeleo,kupachikana wadhifa bila kujali uwezo.

Kambi ya upinza inaweza kuwa bora endapo watazingatia yafuatayo;
1.Mbowe na wenzake wajenge utamaduni wa kujisomea,si vitabu vya hadithi...bali majarida ya uchumi,maliasili ili kupata taarifa muhimu zitakazowawezesha kujenga hoja...na sio kuja na "hear say"...bungeni.

2.Waachane kutumia pesa kwenye propaganda bali waajiri wataalamu kwenye sekta kama Uchumi,Elimu,Afya,Kilimo...kwa dhumuni la kutafsiri,kuchambua na kuwapa uelewa wabunge.Mfano kama Mbowe angekuwa na mshauri wa kiuchumi asingeleta bungeni hoja ya deni la taifa kwa namna alivyohoji ni dhahiri hana uelewa nalo....mtaalamu angemuelekeza ni jambo gani la kuuliza kuhusu deni la taifa.

Nawasilisha.
Mbona mnahariri hotuba zao kuficha hoja za msingi?? halafu mnakuja kusema hawana uwezo! kichekesho hiki
 
Vyombo huru vipi dogo....ngoja tuanze...Suala la Lugumi ameliibua Aeshi Hilary (PAC)..japo Lema karuka ruka nalooo..ili apate sifa, Suala la juzi kuhusu Bukoba kalianzisha...Mh.Shangazi....kafuatia Heche ukawa mmemiliskisha Heche....hata suala la UDOM liliibuliwa na Mh.Kafumu na Lugora bungeni kwa hoja...japo Nassary akaja na kituko cha kuvunja kanuni...suala ni hivi 'vitu dhaifu siku zote hupenda promo''...CHADEMA ni sawa na motto ukimsifia ''una akili beba maji,atabeba maji siku nzima''..ujinga kuhusu diplomasia anavyoonge Msigwa unaweza kumlinganisha na Dr.Mahiga?..ni mengi tu japo kuna wabunge baadhi wa upinzani wanaongea mambo ya maana, Embu fuatilia michango ya uchumi wa ''kivuli'' Silinde kama ana hoja, lakini mara kadhaa ZZK ametoa mambo ya msingi bungeni. Usipende mbwembwe katika uwasilishaji wa hoja...mara nyingi upuuzi wanaoongea hauingii kwenye hansad.
Wewe ndio wale Ole sendeka anawazungumzia,kwamba chama kimeweka vijana mitandaoni kukabiliana na hoja za wapinzani!Bajeti iliyopita imepita kwa asilimia 100 bila marekebisho,hii ni kutokana na kutokuwepo kwa upinzani!Yaani hata kiwanja cha ndege chato kwa miccm ndio imeonekana kipaumbele cha taifa na kutengewa mabilioni,shame
 
Wewe unafuatilia bunge akiwepo Lema....kama ungefuatilia ni marekebisho mengi yamefanyika kutokana na maoni ya wabunge.....fungua ufahamu wako,usiruhusu akili yako kuhodhiwa na Mbowe....ngoja ufurahi....''wabunge wa chadema ndio wenye akili na mambo yote ya muhimu ni kutoka kwao''...furahi.
 
Tunaweza kumlaumu Mbowe kumbe anashindwa kutoa mchango kwa kukosa wasaidizi wenye ueledi bungeni.Kazi kubwa ya mawaziri vivuli ni kuja na mpango mbadala kwa lengo la kuboresha mpango wa serikali,hadi sasa hakuna hata kivuli mmoja aliyeweza kuleta/kuandaa mpango mbadala.

Hili huenda limesababishwa na;
1.Jazba

2.Kutokuwa na elimu na uzoefu wa sehemu/sekta husika mfano....Mnyika hana ueledi na masuala ya nishati na miamba,Msigwa hana ueledi na mambo ya diplomasia na kimataifa,Silinde hajui masuala ya fedha na uchumi,Sugu hana ajualo kwenye tasnia ya habari.

3.Upendeleo,kupachikana wadhifa bila kujali uwezo.

Kambi ya upinza inaweza kuwa bora endapo watazingatia yafuatayo;
1.Mbowe na wenzake wajenge utamaduni wa kujisomea,si vitabu vya hadithi...bali majarida ya uchumi,maliasili ili kupata taarifa muhimu zitakazowawezesha kujenga hoja...na sio kuja na "hear say"...bungeni.

2.Waachane kutumia pesa kwenye propaganda bali waajiri wataalamu kwenye sekta kama Uchumi,Elimu,Afya,Kilimo...kwa dhumuni la kutafsiri,kuchambua na kuwapa uelewa wabunge.Mfano kama Mbowe angekuwa na mshauri wa kiuchumi asingeleta bungeni hoja ya deni la taifa kwa namna alivyohoji ni dhahiri hana uelewa nalo....mtaalamu angemuelekeza ni jambo gani la kuuliza kuhusu deni la taifa.

Nawasilisha.

Kama pamoja na misukosuko yote bado wapo, basi wanastahili pongezi. Kazi wanayoifanya tunaiona na kama wasingekuwa wao leo hii tungekuwa na katiba 'iliyochakachuliwa' kama walivyoibatiza wakati ule. Tuwapongeze washindani kwa kuisaidia serikali iwajibike zaidi kwa wananchi na tunaiomba serikali isiogope kukosolewa, bali ishukuru kwamba kuna watu wasioogopa kuiambia pale, ambapo mambo hayaendi vizuri au pale, ambapo mambo yangetakiwa yawe mazuri zaidi.
 
Wewe unafuatilia bunge akiwepo Lema....kama ungefuatilia ni marekebisho mengi yamefanyika kutokana na maoni ya wabunge.....fungua ufahamu wako,usiruhusu akili yako kuhodhiwa na Mbowe....ngoja ufurahi....''wabunge wa chadema ndio wenye akili na mambo yote ya muhimu ni kutoka kwao''...furahi.
Taarifa za habari huwa tunafuatilia,si bunge limezuiwa kuoneshwa live!Au ulitaka tufuatilie wapi?Na ndio hivyo ilivyoripotiwa kuwa binge limepitisha bajeti ya mwaka 2016/2017 kwa kishindo bila marekebisho!
Hao wabunge walishindwa kuona kama kujenga uwanja wa ndege Chato sio kipaumbele cha taifa?Kama hilo hawakuweza kuona,wangeona lipi hasa la kurekebisha?Acha ujinga kijana
 
Hujui namna bunge linavyoendeshwa,na umepotoshwa kuwa kuchangi kwa hasira na kutoa taarifa za uongo ni dalili kuwa ''huogopi serikali''....ukikomaa utaelewa,ngoja ubakie hivyo ni haki yako dogo.
 
Umeishiwa hoja na umebaki kuweweseka na kuleta hadithi za kwenye kahawa,ninyi ndio usajili ole sendeka aliousema!Cha ajabu ni weupe vichwani mpaka basi!Utafanyaje na kazi yako ndio hii
 
Unabishana na ''mweupe'' hadi unakasirika?...umeishiwa pumzi kijana.
 
Umeishiwa pumzi wewe,umeona hata chembe ya hasira?Tulia kijana,jitambue na usitumikishwe kifikra kwani ni zaidi ya gereza!
 
On this hamwatendei haki opposition. Michango ya wabunge wa upinzani kwenye maeneo almost yote huwa mostly constructive na in maslahi kwa taifa hii huwa ni mara nyingi. Hao wa nyumba kubwa huwa kuna huja na misimamo ya kuambiwa. Bahati nzuri michango yote ya wabunge huingia kwenye hansard huko mbele watoto wetu watakuja kuona ni nani hasa waliiumiza nchi hii hasa hii miswada ya ajabu ajabu kama kuzuia fao la kujitoa.
 
Ni kweli huenda ikawa Mbowe amekosa washauri wazuri kama ilivyo kwa mkuu wetu wa kaya ambaye maamuzi yote huyafanya peke yake huku kwa 95% akionekana kwamba anakurupuka. Mfano kauli ya kutaka kuibadili noti ya sh. 10,000 eti kwa sababu kuna watu wameficha pesa majumbani ilidhihirisha wazi kwamba mkuu wetu wa kaya (Mtukufu) amekosa/hana washauri wa masuala ya kiuchumi.

Back
Top Bottom