Kuna mambo ukitumia common sense unayaona waziwazi tu!
Zanzibar haitajitenga, duniani watu hawajitengagi kwa maneno na wanasiasa tulionao hawajajiandaa kupambana na jeshi la wananchi wa Tanzania.
Maalim ameshinda uchaguzi; yes na sio mara ya kwanza Maalim kushinda.The question is will he continue to make money with his wins or will he try something new this time~which is highly unlikely.
Maalim anasema anaongea na jumuiya za kimataifa so does CCM.Kitu ambacho hatujui ni kuwa jumuiya za kimataifa zina kitu wanaita degree of tolerance~ kiwango cha uvumilivu.Hichi ndicho kitu CCM wanacheza nacho ~ kama hali bara ikiendelea kuwa hivi na vyombo vya usalama vikafanikiwa kuendelea kunyamazisha watu~ jumuiya za kimataifa can do without CUF in power.
Kinachofanyika sasa hivi ni kuvuta muda ili watu washushe munkari maisha yaendelee~ Maalim hatapewa Zanziba😛eriod
Naimani hapo alipo Maalim ana mashinikizo ya kutosha na kama machafuko yakitokea Zanzibar,among the first ten bodies to be found on the streets, somehow Maalims body may be among them.
Its just common sense.