Kama asiachwe maalim Seif kutawala basi walete wazazi wako watawale.
Kama Mkapa aliwauwa wazanzibar na hiyo kwako ni fahari basi kumbuka hakuna atakaeishi milele, yeye na wewe pia mtakufa kama sisi au wao waliouliwa! Halafu utambue wazanzibar hawana sifa ya UOGA bali nimajasiri! Hujiulizi kwanini CCM tokea urudi tena mfumo wa vyama vingi haijawahi kupata hata udiwani Pemba!!! Sifa ya UOGA ni ya kwenu nyinyi watanganyika ndio maana juzi mkwara mdogo tu CHADEMA hawakuandamana wala kufanya MKUTANO.
kwanini hawakuachia tarehe 2 November 2015??
Shein mbona kimya sana
Kula ngurue na kumpora mtu ushind IPI dhambi kubwa