Vipi Maalim Seif naye ameachia umakamu wa Rais pia?
Aache achekwe 😆😅😂
Vipi Maalim Seif naye ameachia umakamu wa Rais pia?
hapa kuna kazi ya ziada, ngoja tusubiriKwani kuna tofauti gani na walivyoamua kuacha sasa??............at least wamechukua hiyo hatua kushinikiza ccm itoke madarakani.
Vipi Maalim Seif naye ameachia umakamu wa Rais pia?
Kula ngurue na kumpora mtu ushind IPI dhambi kubwa
Zanzibar pamoja na madrasa zao wana akili kuliko raia wa kanda ya ziwa na ya kati kwa pamoja.
Safi sana mawaziri toka CUF.
Mwenyekiti wa kamati ya Uongozi CUF Taifa Bw. Twaha Taslima, akisoma maazimio ya baraza kuu kwa waandishi wa habari katika ofisi za Chama hicho Vuga mjini Zanzibarccm wamefulia wameshindwa kabisa 2015 wamening'inia 2020 watadondoka lazima kwani mpaka sasa jpm hajui aanze na nini uozo mtupuMkuu ungejua kilchotokea kanda ya ziwa usingelaumu....kwa sasa viajana ndo wanarudishiwa kadi zao za kupiga kura baada kushikiliwa na wenye hela kwa mwezi mmoja
Hizo siasa zenu za ukanda mtaziacha lini?Zanzibar pamoja na madrasa zao wana akili kuliko raia wa kanda ya ziwa na ya kati kwa pamoja.
Safi sana mawaziri toka CUF.
Huyu Juma Haji Duni na Babu Duni wa Chacema ni watu wawili tofauti?
Hizi ndio hoja za panzi wa rangi ya kijani.
Ujinga na upuuzi wenu kusema kweli unakera, japo mnafanya maksudi. Sio kila saa ni mda wa masihara.
Swala linaloendelea Zanzibar si la kulifanyia mzaa kama mlivyozoea kufanya mzaa kila siku kwenye mambo muhimu na kusema ni upepo huo utapita.