Mawaziri Sita wameachia nyadhifa Zanzibar

Mawaziri Sita wameachia nyadhifa Zanzibar

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,764
Reaction score
9,680
Mawaziri sita wajiuzulu kutoka katika Chama cha upinzani CUF, mawaziri hao wamechukua hatua hiyo kutokana na msuguano wa kisiasa visiwani humo.

Waziri wa sheria na katiba Abubakar Khamis Bakary alitoa kauli hiyo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari juu ya maazimio yaliyofikiwa na baraza la chama la Halmashauri kuu ya Taifa.

Mawaziri wengine waliojiuzulu ni Fatma Abdulhabibu Fereji,Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais wa kwanza, waziri wa Biashara, Viwanda na Makoso Nassor Ahmed Mazrui, Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji, Waziri wa afya Rashidi Suleiman na Waziri wa Uvuvi na Mifugo Abdillah Jihadi.

Na wengine ni, Haji Mwandani Makame aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi na Nyumba, Maji na Nishati, Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo Zahara Ali Hamed na Naibu Waziri wa Kilimo Maliasili Mtumwa Kheir Mbarak.

Kwa mujibu wa Abubakary kila Waziri na Manaibu wao wamekabidhi magari ya serikali na vifaa vingine kwa mamlaka na kwa mujibu wa kifungu cha sheria cha (28) ya katiba ya Zanzibar, umiliki wa ofisi kwa ajili ya wote akiwemo na Rais Dr Ali Mohamed Shein na mawaziri kumalizika Novemba 2.


======================

Six Zanzibar Cabinet ministers, all from the opposition Civic United Front, yesterday quit the Isles Government of National Unity (GNU).

The ministers have taken the move as the Isles political impasse still unresolved.

The Zanzibar Minister of Justice and Constitutional Affairs, Abubakar Khamis Bakary made the statement yesterday when responding to questions from journalists during a media briefing on the resolutions reached by the party?s National Executive Council.

According to Abubakary, all the ministers and their deputies have surrendered government vehicles and other equipment to the authorities.
He said according to Section 28 (2) of the Zanzibar Constitution, the tenure of office for both President Dr Ali Mohamed Shein and ministers ended on November 2.

?I have surrendered the government vehicle and other equipment ? I am no longer Minister for Justice and Constitutional Affairs,? said Abubakary said, insisting that his fellow ministers have also resigned.

He said the House of Representatives was dissolved in August 13, this year as per the 1984 Constitution and is supposed to resume business after 90 days - on November 12, this year.

Meanwhile, Said Ali Mabrouk who was Minister for Information, Culture and Sports said maintaining the ministerial post is to violate the Constitution.

Being a minister after November 2 is against the Isles Constitution ? we have stepped down in respect of the Isle?s laws and regulations, Mbarouk explained.

CUF had six ministers and three Deputy Ministers under the Government of National Unity (GNU).

The other ministers are Fatma Abdulhabib Fereji, Minister of State in the First Vice President's Office, Minister of Trade, Industry and Marketing Nassor Ahmed Mazrui, Minister for Infrastructure and Communications Juma Duni Haji, Minister for Health Rashid Suleiman and Minister for Fisheries and Livestock Abdillah Jihad.

Others are Haji Mwadini Makame who was the Deputy Minister for Lands, Housing, Water and Energy; Deputy Minister for Education and Vocational Training in Zahra Ali Hamad and Deputy Minister for Agriculture, Natural Resources Mtumwa Kheir Mbarak.

Late last month, ZEC Chairman Jecha Salum Jecha nullified results of Zanzibar presidential election giving a number of shortfalls in the conduct of the poll that had also contributed to delays in the compilation and
announcement of the results.

According to Jecha, the ?shortfalls? included differences among ZEC members, with some having turned representatives of their respective parties.

He also cited a number of irregularities, especially in Pemba, with the number of votes cast at some polling stations exceeding that of voters registered for the election.


Source:
THE GUARDIAN
 
kwanini hawakuachia tarehe 2 November 2015??
 
kwanini hawakuachia tarehe 2 November 2015??

Hizi ndio hoja za panzi wa rangi ya kijani.

Ujinga na upuuzi wenu kusema kweli unakera, japo mnafanya maksudi. Sio kila saa ni mda wa masihara.

Swala linaloendelea Zanzibar si la kulifanyia mzaa kama mlivyozoea kufanya mzaa kila siku kwenye mambo muhimu na kusema ni upepo huo utapita.
 
Mawaziri wa CCM ndani ya GNU nao hawana budi kuiga mfano mzuri na wa kiung'wana wa mawaziri wa CUF.
 
Tangia mwanzo waliojua hili suala walisema haihitaji hata elimu ya darasa la nne kujua kuwa Jecha amelidhalilisha taifa katika nyanja za kisheria na kimaamuzi.
Sasa ngoja tuone 'rais' Dr. Shein ambaye uhalali wake unahojiwa kama ataweza kuteua wengine wa kureplace hawa!
 
Kwa nini CCM wasikubali yaishe? kwani walizaliwa kutawala wengine?
 
good. waende zao huko

Hakuna wa kukulaumu! Wakulaumiwa ni Marehemu Rais Karume kwa kitendo chake cha kuviunganisha visiwa vyetu adhimu vya Zanzibar na watu wenye akili kama zako.
 
Tangia mwanzo waliojua hili suala walisema haihitaji hata elimu ya darasa la nne kujua kuwa Jecha amelidhalilisha taifa katika nyanja za kisheria na kimaamuzi.
Sasa ngoja tuone 'rais' Dr. Shein ambaye uhalali wake unahojiwa kama ataweza kuteua wengine wa kureplace hawa!

Atawateua kutoka wapi wakati serikali iliyopo ni ya SUK
 
ha ha ha Bavaria umepiga mtu nyundo ya kichwa
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo Shein atapata wapi mawaziri wa kureplace kwa serikali ya umoja wa kitaifa?.ujinga wangu eti ahamishe watu kimya kimya Ccm waende CUF awateue kuwa mawaziri.Msimwache Seif atawale,kurudi tena ni ngumu rudieni uchaguzi CUF watagoma mnashinda kwa urahisi atakayejifanya anaandamana Mkapa atafanya kazi yake kama ya 2001 ccm oyeee.
 
Zanzibar pamoja na madrasa zao wana akili kuliko raia wa kanda ya ziwa na ya kati kwa pamoja.
Safi sana mawaziri toka CUF.

hizo ndio madrasa akili kubwa udr na uprof. unapiga saluti hapo ingawa imetengenezwa kuonekana ni za wajinga. wanaposhindwa na hoja zao ndio huwazushia ugaidi .
 
Kikundi cha ccm kinacheza na akili za watanzania ipo siiku hiki kikundi kitajuta
 
Back
Top Bottom