Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,874
Wakulu habari zilizovunjika hivi punde kutoka mkoani Manyara maeneo ya Magugu ni kwamba kuna daraja limevunjika linalounganisha mkoa wa Manyara na mikoa ya Singida, pamoja na wilaya za Babati na maeneo mengine...
Hivi kuna magari zaidi ya 250 yamekuwa stranded kutokana na hali hiyo na hadi sasa kuna wachina ambao wanategemewa kuja kuwarescue (nadhani ni wajenzi wa barabara) lakini hawajafika bado. Inasadikiwa daraja limevunjika usiku wa manane kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali nchini
kwa wale wanaofikiria kusafiri maeneo hayo basi wafikirie mara mbili mbili hali halisi ndo hiyo kwa mujibu wa Radio One sterio.