Haya Wanajeshi Kazi hyo ni yenu fanyeni mpango wa daraja la mda maana kwa wakazi wa Bwax kuja mjini inabidi wapitie Kiwangwa-Msata-Chalinze
Habari za kuhadithiwa hatuzitaki weka picha
Hii picha si ya Daraja la bagamoyo ! Watu Kuweni makini ichunguzeni vizuri , Maana inaonyesha Kama hapo kuna high way ya njia nne hv na pale kuna njia 2 tu gari zinapishana .Mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo yavunjika baada ya Daraja la Bunju B jiran na bao bao au kwa kipingu kuvunjika Kama unakwenda Bagamoyo nakushauri rudi nyumban hakuna njia!
![]()
We we sio mwenzetu, ungekuwa mwenzetu ungejua kuwa njia,/ brbr ya baobab kupitia vingawe inatokea kibaha mail moja eneo LA scania.
Habari za kuhadithiwa hatuzitaki weka picha