Mawasiliano ya barabara Dar - Bagamoyo yakatika

Mawasiliano ya barabara Dar - Bagamoyo yakatika

uhuru50

Senior Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
127
Reaction score
21
Mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo yavunjika baada ya Daraja la Bunju B jiran na bao bao au kwa kipingu kuvunjika Kama unakwenda Bagamoyo nakushauri rudi nyumban hakuna njia!
attachment.php

​
 
Attachments

  • Bagamoyo.jpg
    Bagamoyo.jpg
    20.1 KB · Views: 1,227
  • daraja.jpg
    daraja.jpg
    76.8 KB · Views: 2,026
Yalaaaaaaa Matraffic wa pale watalala njaa maana lile daraja linawaingizia hela sana,Da mie nlikua naenda Mapinga kuangalia shamba langu ngoja nimstue konda anishushe.
 
Mawasiliano kati ya dar na Bagamoyo yavunjika baada ya daraja la bunju b jiran na bao bao au kwa kipingu kuvunjika Kama unakwenda Bagamoyo nakushaur rudi nyumban hakuna njia

Haya Wanajeshi Kazi hyo ni yenu fanyeni mpango wa daraja la mda maana kwa wakazi wa Bwax kuja mjini inabidi wapitie Kiwangwa-Msata-Chalinze
 
haya masojah fanyeni utundu wenu watu tupite
 
Mawasiliano kati ya dar na Bagamoyo yavunjika baada ya daraja la bunju b jiran na bao bao au kwa kipingu kuvunjika Kama unakwenda Bagamoyo nakushaur rudi nyumban hakuna njia
aiseee hali ni mbaya sana, Niko mbezi Jogoo nimekutana na maji mengi sana
 
Sasa jana hapo Africana ilikuwa balaa watu walishindwa kuvuka ilikuwa tabu sana
 
Yalaaaaaaa Matraffic wa pale watalala njaa maana lile daraja linawaingizia hela sana,Da mie nlikua naenda Mapinga kuangalia shamba langu ngoja nimstue konda anishushe.

mkuu panda bodaboda upite short cut me pia nina shamba mapinga.
 
Picha haitakusaidi kitu na Leo sio April 1 ww nenda pale ili uamini
 
Haa...! Nyie wahandisi wa jwtz fanya haraka sana kurekebisha hapo maana si mnajua leo wikiend nataka kwenda msoga..
 
Picha haitakusaidi kitu na Leo sio April 1 ww nenda pale ili uamini

Wala sipo huo mji wa kero.Sisi kwetu hapa mvua inyeshe mwaka hakuna mafuriko.Ukifika Mwanza usishangae 1397287116672.jpgkusikia huo mlima kuna ni site za watu
 
Back
Top Bottom