Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo

Wakuu

Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe mahakamani na kesi iishe mapema tu

Hawa mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii

Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi

Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk

Lakini pia waliigomea mahakama kuu division ya makosa ya jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya mbowe...yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui!!?

Walishauri mbowe agomee yule jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua

Kwa mwenendo wa mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii
Ni vema Tundu lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru mwenyekiti
Sema mamlaka za taifa uwezo umevamiwa ungeeleweka, huo mwingine ni ule uzalendoaslahi. Na sii vinginevyo.
 
Wakuu

Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe mahakamani na kesi iishe mapema tu

Hawa mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii

Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi

Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk

Lakini pia waliigomea mahakama kuu division ya makosa ya jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya mbowe...yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui!!?

Walishauri mbowe agomee yule jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua

Kwa mwenendo wa mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii
Ni vema Tundu lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru mwenyekiti

Kama hukumu imeshaamuliwa hata wakili awe Yesu Kristo ni kutwanga maji kwenye kinu:

Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

Yule jaji ni dhaifu kalazimika kutoka na neno la shukurani kwa uteuzi.

Ama kweli kakilinda kitumbua chake na familia yake kwa gharama ya washitakiwa.

Hiiiiii bagosha!
 
Kina kibatala bwana, wana kariri vjfungu vya PGO ili kuwababaisha polisi. Na polisi walivyokuwa makini kutokupoteza muda kwenye mambo irelevant wakawa wanajibu hatujui.

Sasa BAVICHA sababu ni akili ndogo wakawa wanashangilia JF na kutajataja PGO.

Lakini mwisho wa yote Kibatala and team chali!
 
Nyoko zenu kabisa buku 7 kazini.....kesi mnaamua jumba jeupe mnasingizia upuuzi....gaidi mchezo ? Subirini waķija kulipa kusasi cha Hamza ndio mtaelewa Gaidi ni nini upuuzi wa Mahitq... mnaita eti Ugaidi hahahaha hao wanataka nyota za bure ......subirini waje waźeya mtasimuliq kuwa gaidi anakuwaje...wachumba hao mnasema eti wapelekezi wa ugaidi ahahahha kazi kweli tusubiri muda utaongea
Mbona kwa sabaya ulishangilia sana manka?
 
Nyoko zenu kabisa buku 7 kazini.....kesi mnaamua jumba jeupe mnasingizia upuuzi....gaidi mchezo ? Subirini waķija kulipa kusasi cha Hamza ndio mtaelewa Gaidi ni nini upuuzi wa Mahitq... mnaita eti Ugaidi hahahaha hao wanataka nyota za bure ......subirini waje waźeya mtasimuliq kuwa gaidi anakuwaje...wachumba hao mnasema eti wapelekezi wa ugaidi ahahahha kazi kweli tusubiri muda utaongea
Ona hiiiii nayo
 
Kila mwenye akili timamu ameona kabisa rafu alizofanya Mh Rais yaani anampa ujaji mtu wakati akiwa anaendesha keao nyeti hasa baada ya kuona mzani umelala kwao na kila kitu kilikua wazi...kiufupi imefanyika hila ya wazi.
 
Kibatala hana uwezo kama tunavyoaminishwa ....
nadhani nimeshawhi kusema hivyo mara kadhaa

Kibatala is overated, Malya is a deer in the headlight

Madeleka, a former police officer and political prisoner, is a better lawyer by far and away

CHADEMA should enlist Peter Madeleka to head the defense team.
 
Wapingaji wa serikali tu ndio wangesifu kwa mapambio
Kiuhalisia mawakili wa serikali wanawaburuza akina kibatala
Mmh Lissu mmoja tuu alikuwa anawatoa jasho mpaka wakaamua aende kuzimu, tatizo likawa Mungu akawa hajalala...
 
Back
Top Bottom