Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo

nashindwa kuelewa au majaji na mahakimu nao ni hamna kitu, maana ni kibatala huyuhuyu aliyeshinda kesi nyingi tu kwenye mahakama hizihizi!!!!. unaweza ukayadharau sana mswali wanayoyauliza lakini yanasaidia sana mahakama kuunga vi-dot na kupata mkasa mzima na kuweza kuamua kesi. kama ulifuatilia impeachment ya Bill Clinton aliyekuwa presidaa wa Us kwenye saga yake na Monica lewinsky ni tafsiri unazoweza kuziona ndogo na za hovyo kabisa lakini ndio zilimuokoa mzee mzima

Au kesi ya OJ Simpson. Waliobahatika kufuatilia na kuelewa watajua “michezo” ya wanasheria wa utetezi nguli (star defense attorneys) inakuwaje.

Hakuna kitu kama “vitu vidogo visivyokuwa na maana”. Hata ukiulizwa “ulipopiga mwayo ilikuwa asubuhi au jioni”, usipuuze.
 
Kwa Sabaya mahakama iko vizuri na inapongezwa

Kwa mwenyekiti shida inakuja wenye mamlaka
Tuwache visingizio visivyo vya msingi
Hata huko kwa Sabaya wenye mamlaka wameamua kama hulijui hilo nikupe pole,ni wewe tu usiyejua kwamba mzalendo namba moja angekuwepo na hiyo kesi ya Sabaya isingekuwepo,akili mu kichwa.
 
Hata huko kwa Sabaya wenye mamlaka wameamua kama hulijui hilo nikupe pole,ni wewe tu usiyejua kwamba mzalendo namba moja angekuwepo na hiyo kesi ya Sabaya isingekuwepo,akili mu kichwa.
Na ulishangilia hukumu pasipo kuyajua kwamba Mbowe yuko ndani
 
Kina kibatala bwana, wana kariri vjfungu vya PGO ili kuwababaisha polisi. Na polisi walivyokuwa makini kutokupoteza muda kwenye mambo irelevant wakawa wanajibu hatujui.

Sasa BAVICHA sababu ni akili ndogo wakawa wanashangilia JF na kutajataja PGO.

Lakini mwisho wa yote Kibatala and team chali!
Zumbukuku we shule ya kata mwalimu mmoja form four failure unawezaje kupambanua mambo ya sheria? Kweli hata rais ni Wale wale form four failure.
 
Back
Top Bottom