Mawakili Mwanza njaa kali

Mawakili Mwanza njaa kali

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
13,437
Reaction score
14,934
Hawa wataalamu wa sheria mwanza wana njaa kali ya kupitiliza kutokana na soko kuwa gumu na hii inafanya mawakili hawa kuwa na maisha ya shida na anaweza kupokea instruction fee ya laki moja hapa ondoa wachache kama galati imma na mutalemwa na hali inakuwa mbaya kwa young advocates lastly ni vigumu kukuta wana ofisi za ukubwa wa kutosha its very sad indeed
 
Ndiyo fani waliyoichagua,labda ungewashauri cha kufanya
 
sasa kama hawatafuti wateja wao wanangoja kufuatwa maofisini watapata wapi hela,wakati mwananchi wa kawaida hata hajuh kama huwa kuna huduma za kisheria?
 
Hawa wataalamu wa sheria mwanza wana njaa kali ya kupitiliza kutokana na soko kuwa gumu na hii inafanya mawakili hawa kuwa na maisha ya shida na anaweza kupokea instruction fee ya laki moja hapa ondoa wachache kama galati imma na mutalemwa na hali inakuwa mbaya kwa young advocates lastly ni vigumu kukuta wana ofisi za ukubwa wa kutosha its very sad indeed

na wewe ndio??? umekalia umbea tu
 
Hujajenga hoja,hujaeleweka unachotaka kusema,umekurupuka kupost,take your time to edit son,labda utaeleweka. We ukisoma unajielewa kweli..?
Ulitaka kumaanisha hiyo laki moja ni kubwa ama? Get exposure dude, njoo hata hapa mjini ukaulize wanaocharge interms of dollars af useme wana njaa kama hata mwehu atakuelewa.
Na wana njaa kivip..? Soko gani...wanauza nini..?
Lawyers do provide service my friend which is the spirit of the profession kama ulikuwa hujui. Ulichokiandika hakieleweki,labda umejielewa mwenyewe tu, ujumbe wako haubebi content ya kusapoti tittle yako. Uandishi mbovu, hata majina ya watu na mahali pia yanakushinda kuandika..?
jitahidi kuimprove.
Also remember,before u bring allegations,especially against lawyers make sure u can prove them.
 
wamekuja kukulilia njaa wewe? acha umbea wako au watafutie kazi wewe.
 
wewe jamaa umepungukiwa busara kwenye medula yako, na unahitaji maombi kunusuru jamhuri ya maamuzi yako kabla ya kuzungumza mbele ya hadhira ya wanajamii waliostaarabika wa Jamii forums, kukashifu taaluma ya wenzako hakukupi wewe maendeleo unayoyataka isipokuwa satisfaction ya muda mfupi baada ya kupost hapa na wewe kuendelea na maisha yako mabaya yenye chuki kwa wanasheria, ila kwa kiasi fulani naona kama unawapa tangazo hao uliowataja ambao umedai wananafuu, kwa bahati mbaya matangazo hayaruhusiwi katika taaluma hii na wewe unaweza kushtakiwa kwa kuwapigia chapuo hao uliowataja kama mawakili wenye nafuu, ili kwa kutimiza tangazo lako nawe upate ujira wa kununua bundle ya kuja kupost humu tena,
 
Hawa wataalamu wa sheria mwanza wana njaa kali ya kupitiliza kutokana na soko kuwa gumu na hii inafanya mawakili hawa kuwa na maisha ya shida na anaweza kupokea instruction fee ya laki moja hapa ondoa wachache kama galati imma na mutalemwa na hali inakuwa mbaya kwa young advocates lastly ni vigumu kukuta wana ofisi za ukubwa wa kutosha its very sad indeed

We una fan gani mkuu?
 
wewe jamaa umepungukiwa busara kwenye medula yako, na unahitaji maombi kunusuru jamhuri ya maamuzi yako kabla ya kuzungumza mbele ya hadhira ya wanajamii waliostaarabika wa jamii forums, kukashifu taaluma ya wenzako hakukupi wewe maendeleo unayoyataka isipokuwa satisfaction ya muda mfupi baada ya kupost hapa na wewe kuendelea na maisha yako mabaya yenye chuki kwa wanasheria, ila kwa kiasi fulani naona kama unawapa tangazo hao uliowataja ambao umedai wananafuu, kwa bahati mbaya matangazo hayaruhusiwi katika taaluma hii na wewe unaweza kushtakiwa kwa kuwapigia chapuo hao uliowataja kama mawakili wenye nafuu, ili kwa kutimiza tangazo lako nawe upate ujira wa kununua bundle ya kuja kupost humu tena,

acha jazba ni ukweli mtupu na nimeuona kwa macho yangu ulie ucheke i dont care
 
hujajenga hoja,hujaeleweka unachotaka kusema,umekurupuka kupost,take your time to edit son,labda utaeleweka. We ukisoma unajielewa kweli..?
Ulitaka kumaanisha hiyo laki moja ni kubwa ama? Get exposure dude, njoo hata hapa mjini ukaulize wanaocharge interms of dollars af useme wana njaa kama hata mwehu atakuelewa.
Na wana njaa kivip..? Soko gani...wanauza nini..?
Lawyers do provide service my friend which is the spirit of the profession kama ulikuwa hujui. Ulichokiandika hakieleweki,labda umejielewa mwenyewe tu, ujumbe wako haubebi content ya kusapoti tittle yako. Uandishi mbovu, hata majina ya watu na mahali pia yanakushinda kuandika..?
Jitahidi kuimprove.
Also remember,before u bring allegations,especially against lawyers make sure u can prove them.

mbona unaandika kama umebanwa mkojo na mlango umegoma kufunguka wote mmejazana hapo ccm mkoa hakuna wakili mwenye good service na marafiki zangu wote walinishauri niende kwa galati mutalemwa au imma maana vimeo kila muda sim
 
na wewe ndio??? Umekalia umbea tu

taarifa mh spika au ulitaka nikae kimya wakati noble proffession wanashindwa kununua hata samani nzuri za ofisi achilia mbali vitendea kazi na suti
 
mimi sijamwelewa huyu bwana mdogo, inavyoonekana unamaisha ya shida shida sana, yaani upo upo tu hapa mwanza.. sijakuelewa kabisa lengo lako ni nini,.
 
Get exposure dude, njoo hata hapa mjini ukaulize wanaocharge interms of dollars af useme wana njaa kama hata mwehu atakuelewa.

Stupid lawyers. Wanachaji dola ili iweje sasa?

What a bunch ignorant country bumpkins.
 
hahaaa kuna mmoja anaitwa Nkanda yaani anashinda kwenye mapipa ya komoni ...akija mahakamani ananuka komoni mwanzo mwisho ...
 
kwa bahati mbaya matangazo hayaruhusiwi katika taaluma hii

Hivi kwa nini watu hawaruhusiwi kutangaza huduma wanazotoa?

Rationale ni nini hasa?

Yaani hili linchi linaendesheshwa kijinga sana. Mtu kama unatoa huduma fulani watu watajuaje sasa kama huruhusiwi kuzitangaza?

Ila kwa bahati nzuri hilo katazo litaondolewa kama bado halijaondolewa tayari.
 
mimi sijamwelewa huyu bwana mdogo, inavyoonekana unamaisha ya shida shida sana, yaani upo upo tu hapa mwanza.. Sijakuelewa kabisa lengo lako ni nini,.

mkuu mwanza nilipita tu nikahitaji huduma ya kisheria tumezoea ofisi za mawakili zenye kiwango na good brains ambazo zinatatua issues kwa uhakika
 
Hivi kwa nini watu hawaruhusiwi kutangaza huduma wanazotoa?

Rationale ni nini hasa?

Yaani hili linchi linaendesheshwa kijinga sana. Mtu kama unatoa huduma fulani watu watajuaje sasa kama huruhusiwi kuzitangaza?

Ila kwa bahati nzuri hilo katazo litaondolewa kama bado halijaondolewa tayari.
sio LINCHI, it is a common law practice, Matangazo kwa mawakili hayaruhusiwi, nadhani umeona madhara ya matangazo kama hili la huyu aliyekosa busara, kwamba kuna mawakili afadhali na wenye njaa, na kawataja wenye afadhali...ni kosa kisheria kupigia chapuo wakili ili upate chochote, tena nila kijinai....
 
hahaaa kuna mmoja anaitwa nkanda yaani anashinda kwenye mapipa ya komoni ...akija mahakamani ananuka komoni mwanzo mwisho ...

dahhh bora umekuja kuniokoa manake hawa jamaa walikuja kwa jazba kunishambulia wakati mimi nimetoa angalizo kwa kitu nilichokiona baada ya kuwa na ishu zangu hapo mwanza most of the offices ni one man show i mean just an advocate one room one secretary
 
acha jazba ni ukweli mtupu na nimeuona kwa macho yangu ulie ucheke i dont care

hakuna mtu anayejali tena inapokuja swala la mkosa heshima kama wewe, taaluma za wenzio ziheshimu, naanza kupata wasiwasi na hali yako ya afya ya akili kwa ujumla, kuja humu kutuambia mambo ambayo hayana nafasi katika kuongeza exposures zetu za mambo mbalimbali katika jamii, post yako ni mojawapo ya zile zinazofaa kuwa trashed au mods wakikupendelea sana ikapelekwa jukwaa la kustorisha ama chit chat maana hakuna jukwaa linalokufaa wewe lile la umbea au jukwaa la watoto
 
Back
Top Bottom