Mtu Aliyekamatwa Live Kwenye Tukio, Tena Akirushiana Risasi Na Polisi, Kwa Nia Ya Kutaka Kuwaua.
Je ingekuwa wewe ni Wakili na ambaye umethibitishiwa hayo, ungeweza kumtetea simply ana haki hiyo kisheria? Hawa jamaa lazima wawe na ubia na hao majambazi, In One Way Or Another. After All Lazima Ueleze Mambo Openly Ili Wakili Aweze Kukusaidia.
Hivyo Hawa Mawakili Huwa Wanaelezwa Kabisa Na Haya Majambazi Kila Kitu, Halafu Ndiyo Wanachukua Hizo Facts And Figures Kwa Ajili Ya Kwenda Kuzitetea Mahakamani. Yaani Hata Ile Collaboration Yao, Kwa Maana Ya Kuwatetea Majambazi, Kunawaqualify 100% Kuwa Ni Majambazi. Hivi Kweli Tutafika?
inawezekana wanamegewa kidogo na hayo majambazi. ila siwalaumu sana mbona Mkono naye anatetea mafisadi? hivi sheria inaruhusu kumtetea mtu yeyote hata kama jamaa anarekodi ya ujambazi? hawa wanasheria watajibu nini kwa Mungu siku ya hukumu?
Wanabodi,
Naomba tujadili hii mada. Mawakili mabwana Medium Mwale na Loom Ojare ni maarufu sana mjini Arusha hasa katika kutetea majambazi mahakamani, tena wana ujasiri wa kutosha sana wa kuwatetea majambazi wanaokamatwa kwenye tukio. Hawa ndio waliosimamia rufaa ya Bw Nyari hadi akafutiwa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kufuatia kupatikana na hatia ya ujambazi wa kutumia silaha.
Hawa hawa Ojare na Mwale ndio wanaowatetea wale majambazi wawili waliopambana na polisi kwa masaa 6 katika nyumba ya Bw Chonjo kule Njiro walikokuwa wamejificha baada ya kupora na kuua kwenye benki ya NMB Mwanga. Hawa pia wamewatetea majambazi waliopora sh bil 4 NBC Moshi mwaka 2004. Na katika tukio moja mtuhumiwa mmoja wa ujambazi sugu aliyekuwa anatafutwa na polisi aliwahi kukamatwa akiwa nyumbani kwa mmoja wa mawakili hawa, wakili alipobanwa na polisi akadai ni mpangaji wake.
Na zipo kesi nyingine nyingi tu za watuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha katika mahakama kuu kanda ya Moshi na katika mahakama za hakimu Mkazi Moshi na Arusha ambazo mawakili hawa wanasimamia. Ukisikia kuna tukio la ujambazi wa kutumia silaha na majambazi wamekamatwa Moshi au Arusha, kama ni majambazi sugu wale wanaofahamika hata na wenyeji, fuatilia utasikia pia kuwa mawakili wao ni Loom Ojare na Medium Mwale.
Ukisikia benki imevamiwa Moshi na kuporwa mabilioni, fuatilia nani wakili wa watuhumiwa mara wakamatwapo; Loom Ojare na Medium Mwale. Sijui kama wana kesi nyingine za wasiotuhumiwa ujambazi. Je kuna uhusiano wowote (zaidi ya umahiri katika sheria) kati ya mawakili hawa na majambazi wauaji? Je hawa jamaa nao pia ni majambazi au washirika wao?
Hebu naomba tujadili hii mada maana kuna watu wameshaanza kupoteza imani si tu na mawakili hawa, bali pia na mfumo wetu wa sheria kwa ujumla. Naelewa katika nchi zilizoendelea kuna mawakili ambao wamejikita katika aina fulani za kesi na kuwa mahiri na wa kutumainiwa kwa mfano katika kesi za murder, fraud, divorce, blasphemy, n.k, ambapo yeyote mwenye kesi ya namna hiyo huwafuata mawakili hao. Je ni hivyo kwa hawa Mwale na Ojare au kuna zaidi?
Nafahamu pia huu usemi: "A bright lawyer knows the law (might be LL.B Hons first class) but a smart lawyer knows the judge" (might have passed his law degree very poorly and by sheer luck, but wins cases by all means!) Hawa jamaa wako upande upi hapa?
Naomba tujadili, mwenye ushahidi wowote hata wa kimazingira atuwekee hapa. Asanteni.
Wana JF,
Tunaishiwa jamani, sheria inasema everybody is innocent until proven guilty in the court of LAW.
Hata kama umerusha risasi, inawezekana ulikuwa unajitetea, kani polisi nao si ni watu?
Hamkuona wale wananchi wema waliouwawa na ZOMBE? kama wangekuwa na bastola/bunduki wasingejitetea? kwahiyo wangejitetea wangeitwa majambazi na hakuna wakili ambaye angestahili kuwatetea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
This is very low of US!
Kwenye mada ile ya Jeuri ya Mkapa uliandika haya:Wanabodi,
Naomba tujadili hii mada. Mawakili mabwana Medium Mwale na Loom Ojare ni maarufu sana mjini Arusha hasa katika kutetea majambazi mahakamani, tena wana ujasiri wa kutosha sana wa kuwatetea majambazi wanaokamatwa kwenye tukio. Hawa ndio waliosimamia rufaa ya Bw Nyari hadi akafutiwa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kufuatia kupatikana na hatia ya ujambazi wa kutumia silaha.
Hawa hawa Ojare na Mwale ndio wanaowatetea wale majambazi wawili waliopambana na polisi kwa masaa 6 katika nyumba ya Bw Chonjo kule Njiro walikokuwa wamejificha baada ya kupora na kuua kwenye benki ya NMB Mwanga. Hawa pia wamewatetea majambazi waliopora sh bil 4 NBC Moshi mwaka 2004. Na katika tukio moja mtuhumiwa mmoja wa ujambazi sugu aliyekuwa anatafutwa na polisi aliwahi kukamatwa akiwa nyumbani kwa mmoja wa mawakili hawa, wakili alipobanwa na polisi akadai ni mpangaji wake.
Na zipo kesi nyingine nyingi tu za watuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha katika mahakama kuu kanda ya Moshi na katika mahakama za hakimu Mkazi Moshi na Arusha ambazo mawakili hawa wanasimamia. Ukisikia kuna tukio la ujambazi wa kutumia silaha na majambazi wamekamatwa Moshi au Arusha, kama ni majambazi sugu wale wanaofahamika hata na wenyeji, fuatilia utasikia pia kuwa mawakili wao ni Loom Ojare na Medium Mwale.
Ukisikia benki imevamiwa Moshi na kuporwa mabilioni, fuatilia nani wakili wa watuhumiwa mara wakamatwapo; Loom Ojare na Medium Mwale. Sijui kama wana kesi nyingine za wasiotuhumiwa ujambazi. Je kuna uhusiano wowote (zaidi ya umahiri katika sheria) kati ya mawakili hawa na majambazi wauaji? Je hawa jamaa nao pia ni majambazi au washirika wao?
Hebu naomba tujadili hii mada maana kuna watu wameshaanza kupoteza imani si tu na mawakili hawa, bali pia na mfumo wetu wa sheria kwa ujumla. Naelewa katika nchi zilizoendelea kuna mawakili ambao wamejikita katika aina fulani za kesi na kuwa mahiri na wa kutumainiwa kwa mfano katika kesi za murder, fraud, divorce, blasphemy, n.k, ambapo yeyote mwenye kesi ya namna hiyo huwafuata mawakili hao. Je ni hivyo kwa hawa Mwale na Ojare au kuna zaidi?
Nafahamu pia huu usemi: "A bright lawyer knows the law (might be LL.B Hons first class) but a smart lawyer knows the judge" (might have passed his law degree very poorly and by sheer luck, but wins cases by all means!) Hawa jamaa wako upande upi hapa?
Naomba tujadili, mwenye ushahidi wowote hata wa kimazingira atuwekee hapa. Asanteni.
... Mzee Mkapa kula pini hivyo hivyo, ulishastaafu, achana na malumbano yasiyo na msingi. Tulia, ule pensheni yako. Mwenye wivu ajinyonge, na yule mwenye suala la msingi la kulalamikiwa aende mahakamani au kwenye vyombo vingine stahili. Watu mnakalia majungu tu. Ovyoo!
Kwenye mada ile ya Jeuri ya Mkapa uliandika haya:
Unawambia watu wamekalia majungu wakati wewe ndio inaonekana ndiye hasa mtaalamu wa kuyatengeneza. Kama ulivyoshauri kwenye ile thread nyingine; kama una suala la msingi la kulalamika nenda mahakamani au kwenye vyombo vingine stahili vinginevyo haya ndiyo majungu classic