Mawakili Medium Mwale na Loom Ojare ni majambazi?

Wanabodi,

Naomba tujadili hii mada. Mawakili mabwana Medium Mwale na Loom Ojare ni maarufu sana mjini Arusha hasa katika kutetea majambazi mahakamani, tena wana ujasiri wa kutosha sana wa kuwatetea majambazi wanaokamatwa kwenye tukio. Hawa ndio waliosimamia rufaa ya Bw Nyari hadi akafutiwa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kufuatia kupatikana na hatia ya ujambazi wa kutumia silaha.

Hawa hawa Ojare na Mwale ndio wanaowatetea wale majambazi wawili waliopambana na polisi kwa masaa 6 katika nyumba ya Bw Chonjo kule Njiro walikokuwa wamejificha baada ya kupora na kuua kwenye benki ya NMB Mwanga. Hawa pia wamewatetea majambazi waliopora sh bil 4 NBC Moshi mwaka 2004. Na katika tukio moja mtuhumiwa mmoja wa ujambazi sugu aliyekuwa anatafutwa na polisi aliwahi kukamatwa akiwa nyumbani kwa mmoja wa mawakili hawa, wakili alipobanwa na polisi akadai ni mpangaji wake.

Na zipo kesi nyingine nyingi tu za watuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha katika mahakama kuu kanda ya Moshi na katika mahakama za hakimu Mkazi Moshi na Arusha ambazo mawakili hawa wanasimamia. Ukisikia kuna tukio la ujambazi wa kutumia silaha na majambazi wamekamatwa Moshi au Arusha, kama ni majambazi sugu wale wanaofahamika hata na wenyeji, fuatilia utasikia pia kuwa mawakili wao ni Loom Ojare na Medium Mwale.

Ukisikia benki imevamiwa Moshi na kuporwa mabilioni, fuatilia nani wakili wa watuhumiwa mara wakamatwapo; Loom Ojare na Medium Mwale. Sijui kama wana kesi nyingine za wasiotuhumiwa ujambazi. Je kuna uhusiano wowote (zaidi ya umahiri katika sheria) kati ya mawakili hawa na majambazi wauaji? Je hawa jamaa nao pia ni majambazi au washirika wao?

Hebu naomba tujadili hii mada maana kuna watu wameshaanza kupoteza imani si tu na mawakili hawa, bali pia na mfumo wetu wa sheria kwa ujumla. Naelewa katika nchi zilizoendelea kuna mawakili ambao wamejikita katika aina fulani za kesi na kuwa mahiri na wa kutumainiwa kwa mfano katika kesi za murder, fraud, divorce, blasphemy, n.k, ambapo yeyote mwenye kesi ya namna hiyo huwafuata mawakili hao. Je ni hivyo kwa hawa Mwale na Ojare au kuna zaidi?

Nafahamu pia huu usemi: "A bright lawyer knows the law (might be LL.B Hons first class) but a smart lawyer knows the judge" (might have passed his law degree very poorly and by sheer luck, but wins cases by all means!) Hawa jamaa wako upande upi hapa?

Naomba tujadili, mwenye ushahidi wowote hata wa kimazingira atuwekee hapa. Asanteni.
Haya ngoja waje
 
Ndio hawa wanamtetea Sabaya ?
 
Kila mtu ana haki ya kuhesabiwa hana hatia mpaka mahakama itakapothibitisha kwa ushahidi kwamba alitenda kosa analotuhumiwa nalo. Kazi ya ya wakili ni kutetea haki ya mteja wake haijalishi alitenda kitendo gani maana kabla ya hukumu mshitakiwa hana hatia.

Kwa kuwa umelalamikia mawakili tajwa wamekuwa wakitetea washitakiwa wa makosa makosa yakiwemo ya ujambazi wa kutumia silaha hapo umethibitisha kwamba ni kweli upande wa mashitaka ulishindwa kuthibitishwa kwamba washitakiwa walitenda kosa waliloshitakiwa nalo kwa hiyo hao wanahesabika kama mahiri na nguli katika sheria hivyo wanasitahili kupongezwa na umewaongezea wateja zaidi kwa mjibu wa sheria. Wakili haruhusiwi kujitangaza kwa nia ya kufanya uwakili lakini wewe umewasaidia vya kutosha kuwapatia wateja bila kuingia gharama zozote kubwa zaidi ya sifa zao.
 
Suala la kusema ni majambazi ama la si jambo la kuhitaji maoni ya watu bali chombo pekee kinachoamua hatia ya mtu ni mahakama pekee, katika msingi huo mawakili hao kuwatetea haidhihirishi kama ati nao ni majambazi bali ni dhana ya kisheria na katiba kwamba hakuna aliye na hatia mpaka pale mahakama itakapo thibitisha.

Sioni kama ni tatizo kwa wakili kubobea kwenye eneo fulani la kiutendaji, specialization of area of practice katika taaluma ya sheria ama nyingine ni jambo la kawaida na ni weledi.

Mathalani, kuna kampuni ama mawakili wengi wamejikita na kubobea kwenye aina na nyanja fulani za kisheria kama vile ardhi, mirathi n.k

Mkono and Co Advocate waliwahi kuwa bora na kupata tuzo kama best legal consultant in tax related matters.
Sasa je wakili bora kwenye kesi za kodi na anaye wawakilisha watuhumiwa wa ukwepaji kodi naye ni mkwepa kodi? ama anayeshinda kwenye kesi za wanyang'anya ardhi naye ni myang'anya ardhi kwa kigezo cha uwakilishi na kushinda?

Kuhoji kwa kigezo ama vigezo vya mada tajwa kutafanya haki za kimsingi na kisheria zikiukwe kama vile haki ya asili ya kusikilizwa yaani the rule of 'natural justice Audi alteram paterm' ambapo inataka mtu asiwe condemned bila kusikilizwa sasa tunajadili suala hili upande mmoja tu wahusika wako wapi? .

Vile vile haki ya uwakilishwi mahakamani ni mtu yoyote awe mtuhimiwa ama la na anaye mwakilisha hapewi hatia ama hawi mtuhumiwa kwa sababu tu anamwakilisha mtuhumiwa.

Tuhuma ama kosa la ujambazi lipo kisheria na si mere logic, kwa vigezo hivyo sioni kuna resonable belief kuwaona hao ati suspects wa ujambazi...
Kuna mawakili wanabobea kutetea watuhumiwa wa ujambazi?
 
Back
Top Bottom