Huu sio utu wala sio utanzania. Siasa ni imani sio uaduiWafe tu
Siasa zisituondolee utu Watanzania. Siasa ni imani kama ilivyo dini.... kama ilivyo unaweza kuwa mchungaji akatokea mwanao ameolewa na shehe au ukawa shehe na mwanao ameolewa na mchungaji au mtoto wa mchungaji. Ndivyo unaweza kuwa Chadema na watu wako wengine wakawa CCM au ukawa CCM watu wako wengine wakawa ACT au chadema. Huwezi kuwachukia na kufurahia matatizo yao.
Jibu swali basi acha mbwembweMalikia kulikoni?? Maana kuwasiliana na Malikia ni jambo kubwa, au labda Malikia mwenyewe awe na akili za "hovyo" lakini I believe ni mtu muelewa, "Saccos" ni chama fulani cha siasa lakini organisation yake ni ya ki "saccos"
Hongera mama kweli umekua na unahekima kama mwanamke anayezumgumziwa kwenye mithali 31:10-31Huu sio utu wala sio utanzania. Siasa ni imani sio uadui
Siasa zisituondolee utu Watanzania. Siasa ni imani kama ilivyo dini.... kama ilivyo unaweza kuwa mchungaji akatokea mwanao ameolewa na shehe au ukawa shehe na mwanao ameolewa na mchungaji au mtoto wa mchungaji. Ndivyo unaweza kuwa Chadema na watu wako wengine wakawa CCM au ukawa CCM watu wako wengine wakawa ACT au chadema. Huwezi kuwachukia na kufurahia matatizo yao.
Unaweza furahi mpinzani wako kwenye siasa akishindwa kwenye kura au wanachama wakimkimbia sababu ushindi utakuja kwako lakini kamwe binadamu mwenye utu huwezi furahia kifo. Siasa sio vita jamani
Bujibuji huyo jamaa ni wa kupuuzwa
Hapa Jane Lowassa atashangilia
Yaani wewe unajichumia dhambi bure. Kwani hadi umri huo huwezi tenganisha masihara na majengo kama kifo? Unafikiria wafiwa wanazichukuliaje kauli zako haswa kwenye kipindi hiki kigumu?ma ccm kwa hujuma yameshindikana duniani.
R.I.P Makamanda
Kajamaa kanajikuta ka much know kisenge badala kajibu swali kanaleta mbwembwe za Lumumba kama za mzee slowslow....Jibu swali basi acha mbwembwe
Wasenge ni ukoo wako kuanzia wewe mwenyewe na unatembea na gunzi ili likukune unapokosa wateja na pia kuzuia uchafu kudondoka njianiKajamaa kanajikuta ka much know kisenge badala kajibu swali kanaleta mbwembwe za Lumumba kama za mzee slowslow....
.....Mkuu ndio maana ccm ina watu vichwa panzi kama huyo, na ndio mtaji kwa hiko chama..
Alaniwe huyo alieachangia kutokea kwa ajali hii.
R IPDah msiba mkubwa, poleni sana wafiwa na majeruhi tunawaombea wapate nafuu mapema.
Duh, poleni sanaMawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
Hizi njama za ccm.Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
Muuaji siku zote hulia sana msibani wauaji wakubwa nyiePoleni makamanda,
Kuna kitu nimejifunza kwa msiba huu wa makamanda,
Wanapokufa watu wa CCM watu humu hufurahi na kuongea kwa kejeri ila kwa watu wenu, CCm tupo kimya zaidi ya kuwapa pole.
Mjitathimini makamada mna roho mbaya sana.
Kuna baadhi ya maeneo, mawakala wamelazimishwa kusafiri na kwenda kuapa tarafani badala ya kwenye kata.Samahani hebu nisaidie kujua Tume wanahusikaje hapa?
Pole kwa familia za Watanzania waliopoteza maisha...
October 28th twende kwa wingi tukampigie kura za NDIO Magufuli.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA