Mawakala Msaada wa M-pesa T-pesa A-money

tembelea voda/airtel shop ukiwa na vitambulisho, tin na leseni ya biashara. utapewa maelekezo na kujaza mkataba. tanbihi: hiyo ni biashara ya pesa nadhani iko chini ya utaratibu wa BOT sio rahisi sana na mizaha kama ambavyo wengi nimeona wakitangaza kuuza laini/chip za aina hiyo. kama uko mbali na ziliko ofisi za hizo shops, waweza kutumia wakala mkuu wa eneo lako ambaye ndiye atakuwa boss wako (ofisi ndogo) kwa ajili ya kukuwezesha kununua salio (float) na kupunguza float ili upewe cash/taslimu. pia huyo ni msaada endapo utahitaji msaada wa dharula: kv kutapeliwa, kugoma kwa mojawapo ya laini zako za kazi, kushindwa/kuchelewa kulipwa stahiki (commission) zako na mtandao (voda/airtel). kama kuna jingine uliza. pia wengine wanaojua zaidi yangu wataongeza. kwasasa ni hayo kwanza.
 
....... lain bila usumbufu za uwakala
waingereza wana msemo, ALWAYS CHEAP IS EXPENSIVE-mana yake BURE GHALI! jiepushe na laini ambazo zimeshatumika, naona id yako ni ngeni. pitia nyuzi za zamani kuna malalamiko mengi na naamini humu jf ni pahala salama kwa wewe kudadis mengi yakufaayo na kujifunza kwa mifano. ukiwa unaendelea kutafuta hilo, jaribu kutafuta majibu kwanini ukinunua gari inayotumiwa na mmiliki mwingine utaratibu unakutaka ubadilishe jina kwanza? *hizo laini zinaweza kuwa na majanga yaliyofichika kiufundi: mtumiaji wa mwisho alitapeli/aliingiziwa muamala mkubwa na mteja kimakosa akatoa pesa yote kisha akaamua auze laini!!! na bado anatafutwa na kesi iko mahakamani!!! au mtumiaji wa mwisho anadaiwa mapato na mamlaka za kodi hata kwenye biashara nje ya kuuza pesa (kumbuka zinasajiliwa kwa tin na majina ya biashara)
 
tembelea voda/airtel shop ukiwa na vitambulisho, tin na leseni ya biashara. utapewa maelekezo na kujaza mkataba. tanbihi: hiyo ni biashara ya pesa nadhani iko chini ya utaratibu wa BOT sio rahisi sana na mizaha kama ambavyo wengi nimeona wakitangaza kuuza laini/chip za aina hiyo. kama uko mbali na ziliko ofisi za hizo shops, waweza kutumia wakala mkuu wa eneo lako ambaye ndiye atakuwa boss wako (ofisi ndogo) kwa ajili ya kukuwezesha kununua salio (float) na kupunguza float ili upewe cash/taslimu. pia huyo ni msaada endapo utahitaji msaada wa dharula: kv kutapeliwa, kugoma kwa mojawapo ya laini zako za kazi, kushindwa/kuchelewa kulipwa stahiki (commission) zako na mtandao (voda/airtel). kama kuna jingine uliza. pia wengine wanaojua zaidi yangu wataongeza. kwasasa ni hayo kwanza.
Ahsante mkuu na ukienda shop zao kuna gharama ambazo unabidi kughalamikia?
 
WATANZANIA WENGI TUNAJITENGENEZEA MAZINGIRA YA KUTAPELIWA/RUSHWA SISI WENYEWE. laini hiyo/hizo inatolewa BURE. kikubwa ni wewe kutimiza vigezo na masharti: kitambulisho chako, picha, leseni hai ya biashara, nambari ya utambuzi ya mlipa kodi (TIN-tax identification number). zaidi utaulizwa eneo lako la kazi na uwezo wako wa mtaji na/au uelewa wako kuhusu biashara husika. ukitumia middle-man (dalali) ujiandae kulipia atakachokuhudumia iwe direct/indirect.
*sio mbaya endapo utaamua kununua laini iliyotumika moja kwa moja toka kwa mteja endapo tu utakuwa tayari kubeba athari zake (bare risks). na hizi sio laini za kawaida kama tunavyosajiliwa mitaani kwa 500. itategemea na bei anayoitaka muuzaji na pengine soko la eneo ama yeye alinunuaje. yaweza kukuhitaji mamia kadhaa ya maelefu (100,000+)
*voda wanakupa line/cheap 2-ya stoo na ya kazi
[HASHTAG]#ukiamua[/HASHTAG] kuchukua USED IN USE. utaitambuaje kuwa ni till au laini ya kawaida? chunguza nyuma ya laini zote 2. zina chapa ya 64 sio 32.
*airtel na tigo wanatumia line 1
##kuwa huru kuuliza mengine nitakumegea kile nikijuacho. uliza hapa hapa sio pm ili na wengine wawe huru kuelewa au kunikosoa.
 
WATANZANIA WENGI TUNAJITENGENEZEA MAZINGIRA YA KUTAPELIWA/RUSHWA SISI WENYEWE. laini hiyo/hizo inatolewa BURE. kijubwa ni wewe kutimiza vigezo na masharti: kitambulisho chako, picha, leseni hai ya biashara, nambari ya utambuzi ya mlioa kodi (TIN-tax identification number). zaidi utaulizwa eneo lako la kazi na uwezo wako wa mtaji na/au uelewa wako kuhusu biashara husika. ukitumia middle-man (dalali) ujiandae kukipia atakachokuhudumia iwe direct/indirect.
*sio mbaya endapo utaamua kununua laini ikiyotumika moja kwa moja toka kwa mteja endapo tu utakuwa tayari kubeba athari zake (bare risks). na hizi sio laini za kawaida kama tunavyosajiliwa mitaani kwa 500. itategemea na bei anayoitaka muuzaji na pengine soko la eneo ama yeye alinunuaje. yaweza kukuhutaji mamia kadhaa ya maelefu (100,000+)

Mbona hawa wanaouza mkononi huuza chip moja kumbe ni mbili kwa upande wa voda?
Pia mfano aliyenunua wakala wake mkuu yupo kariakoo ndiko alikuwa akijaza e-money

Je ukihitaji wewe lakini unafanyia eneo tofauti mfano tegeta
Ina maana mpaka huyu wakala mkuu wa kariakoo ndie akujazie
Plus commission zote?
 
maelezo mazuri yamejitosheleza.
 
Mkuu samahani kwa usumbufu lakini shukrani kwa darasa zuri kwa maslahi ya Wana JF nilikua nauliza endapo nahitaji kutoka maeneo husika (makao the makuu) the gharama zinakuwa vipi kwa cheap moja
Au kwa maana nyingine utaratibu halali wa kufuata ili nipate line ambayo ni mali halali isiyokuwa na usumbufu ulioutaja hapo Juu
 
Ili uweze kupata Maelezo yaliyo sahihi tembelea ofisi za makampun husika ila kama unataka ya mkononi kwa mtu kuwa makini matapeli wengi
 
Mkuu samahani kwa usumbufu lakini shukrani kwa darasa zuri kwa maslahi ya Wana JF nilikua nauliza endapo nahitaji kutoka maeneo husika (makao the makuu) the gharama zinakuwa vipi kwa cheap moja
Au kwa maana nyingine utaratibu halali wa kufuata ili nipate line ambayo ni mali halali isiyokuwa na usumbufu ulioutaja hapo Juu
inawezekana. voda, tigo na airtel wote nina uzoefu wa kazi zao. zaidi ni voda. wote wanataka viambatanisho. kutimiza hitaji lako andaa kitambulisho. maranyingi kimezoeleka cha MPIGA KURA, LESENI YA BIASHARA (halmshauri w, jiji, manispaa), picha pps na tin. kusanya na kujaza fomu maalum (mkataba) lau kurasa 2/3 voda ofisini kwa wakala mkuu wa eneo lako (unakopanga kufanya biashara. itakuchukua kama mwezi mmoja (sisi wa nje sana ya dar) maana taarifa zako jasi zifike makao makuu. na huko utapigiwa simu wewe na wakala wako endapo kuna taarifa zitahitaji maelezo na ithibati. ikiwa tayari inatumwa kwa wakala mkuu ambaye ndiye atakufungulia (to activate) kwa code maalum na atakukabidhi pc 2: ya stoo na ya kazi tayari kuanza kazi. just within a month or less
**sasa kwa biashara zetu za kiswahili utakuta mdau hana mojawapo ya mahitaji tajwa na akilazimika kutafuta kukidhi anajikuta anajitambulisha tra na ofisi za leseni wilayani hali ambayo watz wengi hawako tayari kwaio wanaamua kufanya mkato kwa kununua ready made kwa gharama na risks
 
Mbona hawa wanaouza mkononi huuza chip moja kumbe ni mbili kwa upande wa voda?
Pia mfano aliyenunua wakala wake mkuu yupo kariakoo ndiko alikuwa akijaza e-money

Je ukihitaji wewe lakini unafanyia eneo tofauti mfano tegeta
Ina maana mpaka huyu wakala mkuu wa kariakoo ndie akujazie
Plus commission zote?
nitakujibu baadae, nimeandika awali kwa tecno net ikasumbua reply imefutika. subira kidogo mkuu.
 
Mpesa ni 150000 na tigo 150000 kama uko poa sema nikupe tili zilizo salama kwa kazi
 
WATANZANIA WENGI TUNAJITENGENEZEA MAZINGIRA YA KUTAPELIWA/RUSHWA SISI WENYEWE. laini hiyo/hizo inatolewa BURE. kikubwa ni wewe kutimiza vigezo na masharti: kitambulisho chako, picha, leseni hai ya biashara, nambari ya utambuzi ya mlipa kodi (TIN-tax identification number). zaidi utaulizwa eneo lako la kazi na uwezo wako wa mtaji na/au uelewa wako kuhusu biashara husika. ukitumia middle-man (dalali) ujiandae kulipia atakachokuhudumia iwe direct/indirect.
*sio mbaya endapo utaamua kununua laini iliyotumika moja kwa moja toka kwa mteja endapo tu utakuwa tayari kubeba athari zake (bare risks). na hizi sio laini za kawaida kama tunavyosajiliwa mitaani kwa 500. itategemea na bei anayoitaka muuzaji na pengine soko la eneo ama yeye alinunuaje. yaweza kukuhitaji mamia kadhaa ya maelefu (100,000+)
*voda wanakupa line/cheap 2-ya stoo na ya kazi
[HASHTAG]#ukiamua[/HASHTAG] kuchukua USED IN USE. utaitambuaje kuwa ni till au laini ya kawaida? chunguza nyuma ya laini zote 2. zina chapa ya 64 sio 32.
*airtel na tigo wanatumia line 1
##kuwa huru kuuliza mengine nitakumegea kile nikijuacho. uliza hapa hapa sio pm ili na wengine wawe huru kuelewa au kunikosoa.
Upo sahihi kabisa mkuu,
Ila kwa sasa voda wanatoa laini moja (two in one) yaani (float+working/yakazi+yamtaji) huduma zote zinapatikana kwenye chip/laini moja tofauti na zamani.
 
WATANZANIA WENGI TUNAJITENGENEZEA MAZINGIRA YA KUTAPELIWA/RUSHWA SISI WENYEWE. laini hiyo/hizo inatolewa BURE. kikubwa ni wewe kutimiza vigezo na masharti: kitambulisho chako, picha, leseni hai ya biashara, nambari ya utambuzi ya mlipa kodi (TIN-tax identification number). zaidi utaulizwa eneo lako la kazi na uwezo wako wa mtaji na/au uelewa wako kuhusu biashara husika. ukitumia middle-man (dalali) ujiandae kulipia atakachokuhudumia iwe direct/indirect.
*sio mbaya endapo utaamua kununua laini iliyotumika moja kwa moja toka kwa mteja endapo tu utakuwa tayari kubeba athari zake (bare risks). na hizi sio laini za kawaida kama tunavyosajiliwa mitaani kwa 500. itategemea na bei anayoitaka muuzaji na pengine soko la eneo ama yeye alinunuaje. yaweza kukuhitaji mamia kadhaa ya maelefu (100,000+)
*voda wanakupa line/cheap 2-ya stoo na ya kazi
[HASHTAG]#ukiamua[/HASHTAG] kuchukua USED IN USE. utaitambuaje kuwa ni till au laini ya kawaida? chunguza nyuma ya laini zote 2. zina chapa ya 64 sio 32.
*airtel na tigo wanatumia line 1
##kuwa huru kuuliza mengine nitakumegea kile nikijuacho. uliza hapa hapa sio pm ili na wengine wawe huru kuelewa au kunikosoa.
Mkuu ahsante sana ila naomba niulize swali la. Ziada hvi kama ushakamilisha tin na leseni ya biashara utatumia mda wa siku kama ngapi kupata hizo lain na bp T R A ukienda kukata resen ya biashara kama hii kima cha chini zaid cha kodi ni kama shingap na
 
Back
Top Bottom