VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Hahahahhahahaha, alokuloga wewe kafa kabisa hata kabla hajakutibu!!!!Nani kati yao ana uhafadhari na kumvumilia na kumuoa/kuolewa naye na kwa sababu gani kwa mfano mimi nilioa Bikira ila ni mvivu kupita kiasi hata kusonga ugali wa watu 7 mpaka afu dishwe. Mpaka natamani mchapa kazi hata kama asingekua bikra.
Bikira lakini mvivu.
Mwenye akili lakini si mwaminifu.
Mcha dini lakini mzushi.
Mrembo lakini hajui kusoma na kuandika.
Mbaya sura lakini mwenye akili.
Mwenye msaada lakini mwizi
Mchapakazi lakini mchafu.
Kuwa mkweli, akina mama na akina baba, ili tuone nani mwenye unafu.
Ila, kwa sasa nachokiona, wawe wanaume, wawe wanawake, wote waovu tu.
Kama unajiweza, we anzisha familia, unayojua utaweza kuihudumia. Af, tafuta sehemu nyingine ukae kwenye shughuli zako huko huko.
Sababu:
ukikaa karibu na mwanamke, hata uletewe mama yake Yesu, bado hafai.
Kawaida, mwanamke, ana kazi mbili katika maisha ya mwanaume wake:
1. Kumtuliza akiwa amevurugwa, na
2. Kumvuruga akiwa ametulia.
Sasa basi:
a) Bikira lakini mvivu(Huyu usitegemee maendeleo yoyote, labda kama unajiweza, utegemee malezi kwa wanao)
b) Mwenye akili lakini si mwaminifu(Huyu tu mchukue at your own risk). Hili ni bomba la mtaa
c) Mcha dini lakini mzushi(Huyu razima awe na mababa wa kiroho kila kanisa). Bado unapoteza muda na nguvu
d) Mrembo lakini hajui kusoma na kuandika( Huyu bora. Kama ametulia na si kiruka njia, ukimpa hela atunze, atakutunzia. Sema tu hakuna aliekamilika kila idala. Ila kuliko ukae na kimeo cha sura, bora kaa na kimeo cha tabia. Kikiamua kitabadilika. Ila sura atapaka mkorogo na ndo ataharibika zaidi.
e) Mbaya sura lakini mwenye akili(Hapa 50/50) maana hajiamini hata yeye, umbo zero, sasa utakuwa ukiingia nae kitandani unaanza kuvuta picha ya kahaba ulomnunua ili upige shoo. Hapa hapana
f) Mwenye msaada lakini mwizi(huyu ana msaada gani sasa? Huyu kukupotezea muda utakuja kukugundua ukisha zeeka.
g) Mchapakazi lakini mchafu: Hapa kama ni mwanaume sawa.
Hivi, mnamjua mwanamke mchafu? Shuka alalie wiki mbili, upishane na chupi zake sebureni, pedi akivua aweke tu uvunguni(daaadeki. Wakazi wa Dar wanaijua ile harufu joto likizidi). Huyu labda awe mchepuko tu basi. Mfanye kazi pamoja, mkopeshane hela, lakini kuishi pamoja hapana.