Nani kati yao ana uhafadhari na kumvumilia na kumuoa/kuolewa naye na kwa sababu gani kwa mfano mimi nilioa Bikira ila ni mvivu kupita kiasi hata kusonga ugali wa watu 7 mpaka afu dishwe. Mpaka natamani mchapa kazi hata kama asingekua bikra.
Bikira lakini mvivu.
Mwenye akili lakini si mwaminifu.
Mcha dini lakini mzushi.
Mrembo lakini hajui kusoma na kuandika.
Mbaya sura lakini mwenye akili.
Mwenye msaada lakini mwizi
Mchapakazi lakini mchafu.
Kuwa mkweli, akina mama na akina baba, ili tuone nani mwenye unafu.
Bikira lakini mvivu.
Mwenye akili lakini si mwaminifu.
Mcha dini lakini mzushi.
Mrembo lakini hajui kusoma na kuandika.
Mbaya sura lakini mwenye akili.
Mwenye msaada lakini mwizi
Mchapakazi lakini mchafu.
Kuwa mkweli, akina mama na akina baba, ili tuone nani mwenye unafu.