Mavazi ya siku hizi jamani..!! Ni shidaaaa...!!


Hili pozi lao ukichanganya na nguo walizovaa inakuwa mtafaaruku kidogo jamani. Wadada hawa wakipozi tayari kupata picha ndani ya kiwanja fulani cha burudani. jamani wadada tujiheshimu basi kwa kuwa sisi ni wa THAMANI SANA pls! kha!

safi sana!!!

kwa upande wangu mi nimevutiwa sana na haya mavazi!!

huduma zake ziko faster sana!!.. just the matter of pulling up!
 
halafu mara nyingi hata mwanaume awe player kiasi gani nae huwa hao hawa wadizaini hiii,wachache ndio hujichanganya kwa hii midude na huwa majuto!
 
Kuna pepo ametuingia wadada kwani cku hizi c machana wala usiku watu wanajivalia vile wanaona vinafaa
tena usiku ndo wanatembea uchi kabisa, nahic hawana soko kw ahiyo wanafanya kila wawezalo wafanikishe mambo yao
 
ha ha ha ha ha ,mkuu hao mbona mavifua makubwa sana halafu hao kitandani bure kabisa hakuna anayejikunja hapo.

namna hii?kweli kawaida?
1465117_615006771890487_1588463578_n.jpg
 
Back
Top Bottom