Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Asante natamani nipate wa kunipumzisha
pumzisho ni kuoa na kuishinda tamaa
Asante natamani nipate wa kunipumzisha
Penda sana kusoma motivational books mfano Rich dad poor dad, The world greatest speeches au pitia clips za Dr Myles, Pastor Chriss na waweza kufatilia vipindi vya kujenga akili in positive ways mfano General Ulimwengu on Monday zaidi hasa kuwa na ratiba ya kusoma mara kwa mara Biblia. Kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti na tena ukimtazama mwanamke kwa kumtamani umezini nae na unastahili moto wa jehanamu.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums