Hahahaha! eti kama kuna chochote,Maana demu akiinama tu, jicho langu moja kwa moja kuangalia kiunoni kama kuna chochote...
mfereji wa kuelekea wapi!!!!
Kupga nyeto naogopa na sitathubutu kamwe
kumekucha
Hahahaha! eti kama kuna chochote,
kwa hiyo macho kama yana system ya kuauto-detect mdada akiinama tu macho nayo hayo!!! kudadeki walah!
Hahahahaaa mkuu umenichekesha sana. Kwa mtindo huu huyu ndugu hafai kuishi nje ya bongo manake akienda nchi za wenyewe ndio balaa maana summer time wanavaa vichupi kabisaaaaa . Na huko sheria haina mchezo . Ushauri wangu kijana acha kuiwaza ngono wakati wote ishughulishe akili yako na mambo mengine mkuu.Kuna magonjwa mengi sana ya akili, ila yale yaliyodhahiri kwa wengi ndio hufahamika zaidi! believe me huu ulionao pia ni ugonjwa wa akili! The good side of it, it is not harming other people's life! Hope utazoea tu na zitaisha taratibu kadri unavyozidi kukabiliana na changamoto ngumungumu za kimaisha!
Kazi kweli kweliJF bhana....eti mtu kapost kimakosa hiyo ndege ya obama,,,,hahaaa sasa si ufute basi
Hahahaaaaaaaa,kaaazi kwelikweliombea uwe kipofu usiwaone kabisa
JF bhana....eti mtu kapost kimakosa hiyo ndege ya obama,,,,hahaaa sasa si ufute basi
Babe natamani uwepo karibu nikuonyeshe mfereji unapoanzia na kuishia kwa nanihiiii......!
Ushauri usitamani mali ya watu wengine na usitamani asiye mkeo.