Mkami Lum
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 414
- 96
Hi! Nimekuwa nikishikwa na tamaa sana ya kuwagegeda mabinti wanaovaa min-skirt za kubana na kuonesha shepu zao vizuri. Pia nkiziona shanga/cheni kiunoni napata mzuka sana japo huwa sijui matumizi yake. Niunapo mfereji mi hoi ila huwa naogopa sana naishia kuumia moyoni. Wadau mwanishauri nifanye nini ili kupunguza hili tatizo? Maana demu akiinama tu, jicho langu moja kwa moja kuangalia kiunoni kama kuna chochote...