Mavazi mengine, we acha tu!!

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Posts
2,976
Reaction score
2,176
Ndugu zangu wana JF katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya mwanchi kapigilia vibwalo vya jeans inayozingatia sera za Uwazi na Ukweli, tafadhali nawe shuhudia!!!


 
Duh!Hiyo ni rangi ya jeans au ta.ko limewekwa hadharani?
 
Mmmh.. Lazima atakuwa na kale ka-proffession ka uchangu si bure..!
 
Mkeo umemuacha home, halafu wewe umenda kazini.
Ukiwa kazini unapigiwa simu ya dili, unakatiza Mtaa wa Samora unamkuta wife wako kavaa hicho kivazi huku kakumbatiwa na bwana la kizungu
 
hapo nadhani ni rangi ya mifuko ya jeans tu......@ma mdogo nadhani ndo hivyo
 
Hii ni Tanzania kweli? Na kama ni Tanzania ni maeneo gani hasa? Au itakuwa ni maeneo hatarishi (High risk areas) kama ilivyo corner bar, joly club na maeneo mengine ambapo biashara ya kujiuza inashika kasi?

Kama mtu huyu hausiki na aina yeyote ya biashara ya ukahaba, basi ujue kuwa anytime baadhi ya wadada wa Kitanzania wataanza kutembea uchi, tuwe macho na tupige vita hii hali kuokoa vizazi vyetu vijavyo!
 
She is expressing herself! LOL
Haiwezi kuwa bongo hiyo HorsePower itakuwa kwa Uncle Sam huko ambako kuna freedom of expression.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha ah sijui kwa nini ila kila nikiangalia najisikia kucheka! Ila kiukweli anajiexpress, na ni haki yake pia
 
Hahahaaaaaa! SEHEMU HUSIKA HUSIKA HASWAAA ZOTE KAFICHA!!!!!!!! Huyu dada nae!
 
Kitu mpododo arif nyama lainiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…