Mauzauza ya mke wangu

Daaah pole mkuu.
Kama hashaurik haamblki kaaz kwel kwel.
 
Kana bhono muraaa! Ai! Wewe ni kabira gani? Wacha uchinga muda, mwanaume ni ghichwa cha nyumba bhana, mleko hata kakofi mura!

Anyway, so much might be going on with her and huenda MNA unfinished and unspoken issues nyingi ambazo zinamfanya anakua hivyo coz kwake yeye anavyokufanyia ni anakutumia msg Fulani kwamba 'I want you to listen to me, something is not right'

Sasa ni wewe kujua kutafsiri.

Wanawake wameumbiwa kuto-react kwa muda mrefu/uvumilivu so unawezakua unafanyakitu wewe unaona simple ila yeye kinamkera anatunza...siku akichoka anaanza kukumbuka cha kwanza hadi mwisho, then ndo wewe unaona reaction hizo, ila kiuhalisia hayo ni matunda tu ya mambo yaliyo jaa ndani ambayo anaona hatendewi haki.

Nikushauri..

Badala ya wewe kukimbia nyumba, jitahidi uondoke na mkeo tu...nendeni mahali salama wawili tu, pateni muda wa kutafakari kilichowafanya mkaoana.

Sometimes love is not enough to keep your marriage. ...

Marriage is like any other project...work hard to make it work even at your expense.

Gudluck!
 
Punguza attention kwake kwa muda...
 
Piga chini wewe huyu sio mkeo acha kumsingizia na wanaume hebu tuoe watu waliotupenda sio kujifekisha
 
af hawa ndugu saazingine bila mashambulio ya kudhuru mwili ya hapa na pale hawaendi piga mke aisee asikuletee mazoea
 

Sasa bro chukua karatasi uigawanye mara tatu,upande mmoja andika dosari za mkeo,upande wa 2 andika dosari zako na upande wa 3 andika mkakati wa kujirekebisha basi utakuwa uneumaliza huu mgogoro
 
duh pole huo ndo mwanzo wa ndoa kuvunjika
 
Mrudishe kwao tu,walau kwa wiki kadhaa.
 
pigia kura lowasa pindi mabadiliko yatakapotokea ktk nchi hii na mkeo atabadilishwa pia ta utafurahia na mtakua mmeresolve conflict in a simplest way,pigia kura lowasa ujionee iyo haina aja ya padre,mwanasheria wala shekh,lowasa tu anatosha
 
Kwanza vunja hiyo raptop

Raptop itakua ndo shida raptop
 
Pagumu hapo hivi huwezi kumpotezea mtafutie mke mwenza tu kwisha habari
 
Anakaribia kufa huyo mwache ndivyo walivyo wakiona 12m
 
Kama ndoa ishaexpire sasa, piga hesabu vizuri maana mwenzio mtonyo anao tafuta nyumba ndogo japo ukasafishe nyota halafu hapo panakuwa ghetto tu. Pole sana ndio walivyo hao na ukifanya mchezo anakusafirisha kwa sir God au nenda kwa babu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…