baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,884
- 2,288
Habar wakuu
Naombeni ushauli wenu mara kadhaa imekuwa ikinitokea, kila nikilala haijalishi nalala mchana au usiku, juzi usiku nililala kushtuka usingizini najiona nimeinua mkono mmoja juu halafu nimeshika kisu nataka nijichome fahamu zinaludi vizuri najikuta nimenyoosha mkono tupu juu
Jana tena mchana wakati nimelala nakuja kushtuka mwili hauna nguvu yakufanya chochote najiona nadondoka kitandani kwenda chini nimetanguliza kichwa, fahamu zinaludi vizuri najiona nipo kitandani nimelala kawaida viungo ganzi.
ushauri wakuu hili ni tatizo gani.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app