Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,634
- 64,548
Roho ya mauti inakufuata, jitahidi kukataa hiyo hali. Na kama umedhulumu vya watu rudisha au omba msamaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
sawaRoho ya mauti inakufuata, jitahidi kukataa hiyo hali. Na kama umedhulumu vya watu rudisha au omba msamaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii kulala miguu ikielekea mlangoni ina implication gani? Inasaidia nini?Pole sana... mara nyingi ni uchovu na hofu ya maisha.
Jaribu hivi.
1. Lala kwa ubavu au kifudifudi
2. Hakikisha unapolala uelekeo wa miguu ni h... kama kitanda hakipo hivyo kibadili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Cha mauzauza au manunuanunua tafuta hela mkuu mwili wako unataka ukuuwe! We tafuta hela tu utaona kama utaota hayo.

Pole sana... mara nyingi ni uchovu na hofu ya maisha.
Jaribu hivi.
1. Lala kwa ubavu au kifudifudi
2. Hakikisha unapolala uelekeo wa miguu ni mlangoni... kama kitanda hakipo hivyo kibadili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuMkuu unaonekana una msongo wa mawazo jaribu kupunguza fikra na mawazo mabaya, Jitahid kujichanganya na watu na kufanya vitu vitakavyokupa furaha



sawa mkuu
Ndo nilitaka kumwambia unasumbuliwa na stress atafute tu hela ..yataisha tu hayo mandoto
Mkuu natumia Sana Ila nikutumia huwa nalala tuu sipati chochote mpka asubuhiUnatumia pombe au kileo chochote mkuu? Kama hufanyi ivyo basi anza sasa.
Asante mkuuMkuu binafsi ninachoweza kukushauri tu ni kuzikataa na kuzikemea kwa jina la Yesu hizo ndoto kila unaposhtuka.
Pili Hakikisha unapolala mwili wako uwe huru I mean uwe at relaxing position, sio unavaa maguo ya kubana au kukunja miguu au mikono coz hii husababisha blood supply kwenye viungo husika kuwa ndogo nakusababisha ubongo kukutengenezea mazingira ya ndoto ili ushtuke upanyooshe hapo palipokunjika ili damu iendelee kusambaza kwa kiwango kinachotakiwa.
Exactly mkuu, kichwa/mwili wa mlevi haungiliki na mauza uza ya namna yoyote 😅, its not funny but mimi hiyo kitu naiamini kwa asilimia mia. Huwezi kuona au kusikia mlevi kaota ndoto za mahovyo hovyo hata siku moja.Mkuu natumia Sana Ila nikutumia huwa nalala tuu sipati chochote mpka asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
inategemea mkuu na jinsi tukio lilivyotokea kuna nyingine huwa zinamaanisha wabaya wako wanakuzika kwa kukufukia na mchanga ukiwa hai hii inamaanisha wanakufunga kimafanikio na kuna nyingine ambazo znahusu wewe kuuawa au kuwindwa na watu usiowaelewa(majini,wanga,wanyama, viumbe vya ajabu) ndotoni na zinajirudia hii ndio unatafutwa na roho ya mautiHivi hii ndoto ya kuota umekufa Ina maana gani hasa?