- Thread starter
- #21
kweli ukichukulia mapenzi.serious utakufa mapema... kama hapokei simu.futa na linamba lake muweke black list atakapokuja kuhangaika we unamuinjoi tu... hamna love hapo ni mbabaishaji tu huyo...
Asante ndugu, wacha nijitahid.
kweli ukichukulia mapenzi.serious utakufa mapema... kama hapokei simu.futa na linamba lake muweke black list atakapokuja kuhangaika we unamuinjoi tu... hamna love hapo ni mbabaishaji tu huyo...
Kuumia ni lazima kwa mtu uliyempenda. Lakini kila kitu ni kwa kiasi na mipaka yake...... usiendelee kuumia kwa mtu asiyekupenda. Jipe moyo maumivu yataisha na utamsahau na kumpata anayekufaa. Umenielewa LAKI????
Naombeni maombi yenu, mpenzi wangu nampenda sana lakini tumegombana na ni wiki ya pili saivi hatuna maelewano, nampigia simu hapokei, msg hajibu. Hapa nipo kazini nimepigia kwa simu ya ofisini baada ya kugundua ni mimi ya ofisini sasa hivi hapokei.
Naumia sana sijui kwa nini mimi tu maumivu haya yananipata.
Najiona kama sina haki ya kupendwa, Mungu nisaidie kipindi hiki kinipite salama.
hapa sasa umeeleweka, hakupendi huyo mwaya usijal utaumia sana but time will heal yu soon... uchune atakutafuta tuu.Ni mambo mengi, lakini kikubwa tunagombana kisa hataki tukapime afya, akikosea hataki nimrekebishe ila ikitokea kwa bahati mbaya nimekosea hata kidogo tu au msg nmemjibu tofauti basi anasema tuachane eti mimi sitaki kuwa chini yake.
Kingine yeye ni mwanaume lakini hataki sex hata nikimwambia ansema sio priority yake,nikimuliza kwa nia nzuri tu isije ukawa una tatzo. basi ndo amezira eti nmemtukana. Yaani mpaka naihi nae kwa kuogopa badala ya kufurahi.
pamoja na hayo yote nampenda sana naumia sana,
Hujui maumivu ya mapenzi wewe, mapenzi yanauma kuliko msibaunampenda malaya hawala zaidi ya mama yako muda unaotumia huo sungetumia kumjulia hali mama yako ungepata baraka nyingi sana fanya kazi usilazimishe kitu utakuja uumie
Nashindwa kujichanganya jamani, maana nikirudi nyumbani usiku nikiwa mwenyewe ni kulia tu mpaka naamka kichwa kinauma. Natahdi kumsau lakini wapi,
Pole sana get busy na kuchat na rafiki zako LAKI itakupunguzia mawazo juu yake...
kama huna marafiki wasiliana na mie nimejiunga supa cheka....
Ni mambo mengi, lakini kikubwa tunagombana kisa hataki tukapime afya, akikosea hataki nimrekebishe ila ikitokea kwa bahati mbaya nimekosea hata kidogo tu au msg nmemjibu tofauti basi anasema tuachane eti mimi sitaki kuwa chini yake.
Kingine yeye ni mwanaume lakini hataki sex hata nikimwambia ansema sio priority yake,nikimuliza kwa nia nzuri tu isije ukawa una tatzo. basi ndo amezira eti nmemtukana. Yaani mpaka naihi nae kwa kuogopa badala ya kufurahi.
pamoja na hayo yote nampenda sana naumia sana,
wewe ni mdada? pole sana kama unakunywa pombe kunywa sana ukiwa chumbani lakini can help
Naombeni maombi yenu, mpenzi wangu nampenda sana lakini tumegombana na ni wiki ya pili saivi hatuna maelewano, nampigia simu hapokei, msg hajibu. Hapa nipo kazini nimepigia kwa simu ya ofisini baada ya kugundua ni mimi ya ofisini sasa hivi hapokei.
Naumia sana sijui kwa nini mimi tu maumivu haya yananipata.
Najiona kama sina haki ya kupendwa, Mungu nisaidie kipindi hiki kinipite salama.
Ha ha ha nakucheki tu unavochangamkia fursaakimaliza kuongea na wewe aje kwangu tuchat night nzima asiwe bored
Ha ha ha nakucheki tu unavochangamkia fursa
"shida za mwenzako mtaji wako"