Maumivu yananitesa

Maumivu yananitesa

Pole sana,maumivu (kama ugomv,hasira) hungia/hutokea ghafla lakini huchukua muda kutoka mtegemee na muombe Mungu mpenzi wako huyo atarudisha moyo wake kwako.Wewe si wa kwanza kukutana na jambo kama hili kwani hata kwenye ndoa hutokea pia.Wakati mwingine humarisha mapenzi zaidi.

asante kwa ushauri, namwomba sana Mungu nipate amani ya nafsi tu maana moyo wangu unashindwa kuyameba maumivu haya.
 
Asante, ndio hataki sex ndo maana hata kupima afya hataki pia

dada yangu huyo hakupendi ni wazi kabisa using'ang'anie hapo atakuendesha mpaka basi ,kama hataki kupima afya achana nae ukijidai unampenda sana mtaacha kupima na mtakua wote mwisho wa cku ukiupata ni ndugu zako wataohangaika .tuliza akili yako utampata tu mwingine atakaekupenda.
 
sasa si umuache?
maumivu yataisha
kama mpenzi kila leo anakusababishia maumivu na kulia wa nini? kawa kitunguu?

Asante kwa kunitia moyo, yaani nimekua nikikosea nakuwa mwepesi kuomba msamaha ila yeye akinikosea nikimwambia hapo umenikwaza hataki anasema yeye ndo mwanaume sasa mimi naumia maana nakwazika, ameamua tuachane kwa sababu kuwa sitaki kuwa chini yake. Naumia sana basi tu
 
Ukiona mapenzi yanakuumiza sana jiulize uko utumwani? Thn jiokoe,mapenzi kufurahia bhana hayo ya kulia kila siku kama umetupiwa bomu la machoz sio,she z not ure type so you deserve better than her.
 
dada yangu huyo hakupendi ni wazi kabisa using'ang'anie hapo atakuendesha mpaka basi ..kama hataki kupima afya achana nae ukijidai unampenda sana mtaacha kupima na mtakua wote mwisho wa cku ukiupata ni ndugu zako wataohangaika .tuliza akili yako utampata tu mwingine atakaekupenda.

asante sana kwa ushauri, nitaufanyia kazi, ninachooomba tu ni amani ya nafsi kwa kipindi hiki maumivu yananipata maana yananiathiri kisaikolojia. Kichwa kinaniuma mpaka nahinda kufanya kazi kwa ufanisi.
 
Ukiona mapenzi yanakuumiza sana jiulize uko utumwani? Thn jiokoe,mapenzi kufurahia bhana hayo ya kulia kila siku kama umetupiwa bomu la machoz sio,she z not ure type so you deserve better than her.

asante sana, me ni ke sio me.
 
kumwacha ndio nitamwacha, ila bado maumivu yananitesa kwa kipindi hiki.
 
kikubwa tunagombana kisa hataki tukapime afya

Nimejaribu kusoma maelezo yako tokea mwanzo lakini nimegundua tatizo ni wewe mwenyewe na wala sio huyo jamaa yako...

Kama una mpango wa kuolewa na mwanaume huyo itafika wakati suala la kupima litakuwa ni la lazima maana kwa shurti ya ndoa hulazimisha wachumba kupima hivyo acha kiherehere ewe binti...

akikosea hataki nimrekebishe ila ikitokea kwa bahati mbaya nimekosea hata kidogo tu au msg nmemjibu tofauti basi anasema tuachane eti mimi sitaki kuwa chini yake.

Halafu hivi mtu asiyetaka kurekebishwa si ni kwa hasara yake mwenyewe? Sasa wewe kinachokuuma hapo ni kipi haswa hadi uje kulala huku?

Wewe ukikosea unajifanya umekosea kwa bahati mbaya, lakini mwenzako akikosea unataka uanze kumsuta kwa mipasho yote ujuayo...

Nahisi utakuwa hujui au huna hekima ya namna ya kumuonya mwanaume, huyo si mdogo wako au mtoto wa shangazi yako kumtolea maneno ya kejeli...

Kingine yeye ni mwanaume lakini hataki sex hata nikimwambia ansema sio priority yake,nikimuliza kwa nia nzuri tu isije ukawa una tatzo. basi ndo amezira eti nmemtukana.

Hivi wewe binti kwa nini unajirahisisha hivyo kwa mwanaume hadi unalazimisha akuchokonoe chokonoe huko chini kama sinki lililoziba kwa mikoko ya ugali!!!

Khaaaa!!! nahisi malalamiko yote haya uliyoyabwaga hapa ni hizo nyege mshindo zinakusumbua sasa unatafuta wa kumbwagia...

Kama unahisi kunawasha sana hebu muache kijana wa watu atakuja kupata mwanamke anayejua kufunga mlango wake vizuri, sio wewe unayeuachia wazi kama domo la mamba aliyeachama baada ya kushiba nyumbu wa Serengeti...

Mwanamke unalilia uchokonolewe? Makubwa haya na sijui ni wangapi hadi sasa umewaachia wapitishe marungu yao huko upenuni.

:A S 39:
 
Nimejaribu kusoma maelezo yako tokea mwanzo lakini nimegundua tatizo ni wewe mwenyewe na wala sio huyo jamaa yako...

Kama una mpango wa kuolewa na mwanaume huyo itafika wakati suala la kupima litakuwa ni la lazima maana kwa shurti ya ndoa hulazimisha wachumba kupima hivyo acha kiherehere ewe binti...

Halafu hivi mtu asiyetaka kurekebishwa si ni kwa hasara yake mwenyewe? Sasa wewe kinachokuuma hapo ni kipi haswa hadi uje kulala huku?

Wewe ukikosea unajifanya umekosea kwa bahati mbaya, lakini mwenzako akikosea unataka uanze kumsuta kwa mipasho yote ujuayo...

Nahisi utakuwa hujui au huna hekima ya namna ya kumuonya mwanaume, huyo si mdogo wako au mtoto wa shangazi yako kumtolea maneno ya kejeli...

Hivi wewe binti kwa nini unajirahisisha hivyo kwa mwanaume hadi unalazimisha akuchokonoe chokonoe huko chini kama sinki lililoziba kwa mikoko ya ugali!!!

Khaaaa!!! nahisi malalamiko yote haya uliyoyabwaga hapa ni hizo nyege mshindo zinakusumbua sasa unatafuta wa kumbwagia...

Kama unahisi kunawasha sana hebu muache kijana wa watu atakuja kupata mwanamke anayejua kufunga mlango wake vizuri, sio wewe unayeuachia wazi kama domo la mamba aliyeachama baada ya kushiba nyumbu wa Serengeti...

Mwanamke unalilia uchokonolewe? Makubwa haya na sijui ni wangapi hadi sasa umewaachia wapitishe marungu yao huko upenuni.

:A S 39:

Asante sana watu8 kwa ushauri, nitaufanyia kazi. swala la sex simlazimshi hata kidogo bali yeye anataka tuwe tuafanya romance tu wakati hatujapima ndo maana nikamshauri tupime afya. kuhusu hekima ya kushauri siwezi kataa maana sina uzoefu ni mwanaume wangu wa kwanza kufiia hatua ya kutaka kutambulishana. Naomba nikuNM unipe namna ya kuishi na mpenzi. asante
 
Pole sana LAKI,,ingawa tumesikiliza upande mmoja lakini yaonekana wazi huyo jamaa hakupendi na pia kuna tatizo hasa anapokataa kupima afya!!

Huyo sio mwanaume wa mwisho duniani dada,songa mbele sahau jishughulishe na mambo yatayokusahaulisha haraka kama kwaya au gym kila siku!Mungu atakupatia yule hasa aliye ubavu wako!

Ukiona wewe kila siku ni kulia kwenye mahusiano jiulize huyo uliyenaye ni mwanaume au ni bomu la machozi!Siku zote nasimamia hili,"Dont cry for someone in your relationship coz he/she doesnt deserve your tears,the one who deserve it will never let you cry"!!
 
Last edited by a moderator:
swala la sex simlazimshi hata kidogo bali yeye anataka tuwe tuafanya romance tu wakati hatujapima ndo maana nikamshauri tupime afya.

Kufanya romance ndio kitendo gani hicho?

kuhusu hekima ya kushauri siwezi kataa maana sina uzoefu ni mwanaume wangu wa kwanza kufiia hatua ya kutaka kutambulishana. Naomba nikuNM unipe namna ya kuishi na mpenzi. asante

Huna haja ya kuPM maana PM yangu nimeifunga isipokuwa tunaweza kujadiliana hapa hapa kama una maswali...
 
Asante kwa kunitia moyo, yaani nimekua nikikosea nakuwa mwepesi kuomba msamaha ila yeye akinikosea nikimwambia hapo umenikwaza hataki anasema yeye ndo mwanaume sasa mimi naumia maana nakwazika, ameamua tuachane kwa sababu kuwa sitaki kuwa chini yake. Naumia sana basi tu
Unatamani kuwa mtumwa?
Mi naona anajitahidi sana kukupa uhuru wako na wewe huutaki......
Kila mtu ana moyo mmoja. Unapenda saaana ukiwa na mtu, niamini, ukiachana na huyo na ku-let it go utapenda mwingine. Kila la heri
 
Pole sana LAKI,,ingawa tumesikiliza upande mmoja lakini yaonekana wazi huyo jamaa hakupendi na pia kuna tatizo hasa anapokataa kupima afya!!

Huyo sio mwanaume wa mwisho duniani dada,songa mbele sahau jishughulishe na mambo yatayokusahaulisha haraka kama kwaya au gym kila siku!Mungu atakupatia yule hasa aliye ubavu wako!

Ukiona wewe kila siku ni kulia kwenye mahusiano jiulize huyo uliyenaye ni mwanaume au ni bomu la machozi!Siku zote nasimamia hili,"Dont cry for someone in your relationship coz he/she doesnt deserve your tears,the one who deserve it will never let you cry"!!

asante sana kwa ushauri, mi nimwanakwaya ila toka tumeombana hata kwaya sijaenda najisikia tu vibaya. Ntajitahidi kendelea na kwaya.
 
Kufanya romance ndio kitendo gani hicho?

Huna haja ya kuPM maana PM yangu nimeifunga isipokuwa tunaweza kujadiliana hapa hapa kama una maswali...

asante, nimekuelewa.
 
usiseme hivyo kongosho, nampenda sana ndo maana naumia kwa anayonifanyia. Isingekua upendo wangu kwake ningpotezea ila moyo umekataa.
 
Utumwa wa hiari

Huyu binti akikutana na mabazazi nahisi ndio ataugua hadi kufa kufa...

Analilia azibuliwe khaa!! akikutana na mipaka shume itamzibua kila tundu ambalo kajaaliwa na Maulana
 
Back
Top Bottom