Maumivu yananitesa

Maumivu yananitesa

Asante sana Eli79, natamani sana iwe hivyo, haya yote ananifanyia kwa sababu tu anajua nampenda. Siwezagi kuigiza kwenye swala la kupenda,nikipenda namaanisha.
 
unaweza kuonyeshwa sign zote kuwa hupendwi
nawe ukang'ang'ania tu eti fighting for you love
mwisho wa siku utakuja jutia muda wako
 
HASIRA HUISHA mm naamini ipo siku atajirudi na kupokea simu zako. LAKINI????????? ebu tupunguze hivi vioja kwenye mahusiano.
 
Asante nitajitahidi, na ni kweli anajua nampenda sana maan nimekuwa siufichi upendo wangu kwake. Nahisi kuchanganykiwa Mungu tu anipe nguvu.

Pole jamani??
Umekuwa naye kwenye uhusiano muda gani??
Unahisi na yeye anavutiwa na uhusiano wenu au wewe ndiyo unayelazimisha kwasababu unampenda? Nimeuliza hivyo kwasababu kuna wanawake wengi wanaumia kukaa kwenye ,mahusiano na wanaume ambao hawawapendi in return ila wanakuwa wanaburuzwa tu. Unapendwa na wewe au ulikua unaburuzwa??

Kuhusu sex( utakuwaje na mwanaume ambaye hakutamani kimwili?? kwa mtazamo wangu ili uwe na uhusiano wa kimapenzi na mtu tamaa ya kingono nayo ina nafasi yake, sasa hapa naona unasema kuwa alikwambia sex siyo priority yake, ulishawahi muuliza priority yake ni nini??

Mama kwa analysis rahisi HUPENDWI, UNABURUZWA kwenye uhusiano, kwahiyo kaona amekuchoka muachane, sasa naona wewe unataka kurudi kuburuzwa tena kwa kisingizio unampenda, Does he feel the same way??? I guess not. Toka huko unapoteza muda wako bure.
 
Huyu binti akikutana na mabazazi nahisi ndio ataugua hadi kufa kufa...

Analilia azibuliwe khaa!! akikutana na mipaka shume itamzibua kila tundu ambalo kajaaliwa na Maulana

Jamani, umemrushia mno mawe...at least make it easy for her!!!! she's a lady jamani.
 
Ni mambo mengi, lakini kikubwa tunagombana kisa hataki tukapime afya, akikosea hataki nimrekebishe ila ikitokea kwa bahati mbaya nimekosea hata kidogo tu au msg nmemjibu tofauti basi anasema tuachane eti mimi sitaki kuwa chini yake.

Kingine yeye ni mwanaume lakini hataki sex hata nikimwambia ansema sio priority yake,nikimuliza kwa nia nzuri tu isije ukawa una tatzo. basi ndo amezira eti nmemtukana. Yaani mpaka naihi nae kwa kuogopa badala ya kufurahi.

pamoja na hayo yote nampenda sana naumia sana,

Sasahapo kuna cha kulilipa mpendwa wangu, u have every reason kushukuru kuwa nae mbali mweee
 
Pole jamani??
Umekuwa naye kwenye uhusiano muda gani??
Unahisi na yeye anavutiwa na uhusiano wenu au wewe ndiyo unayelazimisha kwasababu unampenda? Nimeuliza hivyo kwasababu kuna wanawake wengi wanaumia kukaa kwenye ,mahusiano na wanaume ambao hawawapendi in return ila wanakuwa wanaburuzwa tu. Unapendwa na wewe au ulikua unaburuzwa??

Kuhusu sex( utakuwaje na mwanaume ambaye hakutamani kimwili?? kwa mtazamo wangu ili uwe na uhusiano wa kimapenzi na mtu tamaa ya kingono nayo ina nafasi yake, sasa hapa naona unasema kuwa alikwambia sex siyo priority yake, ulishawahi muuliza priority yake ni nini??

Mama kwa analysis rahisi HUPENDWI, UNABURUZWA kwenye uhusiano, kwahiyo kaona amekuchoka muachane, sasa naona wewe unataka kurudi kuburuzwa tena kwa kisingizio unampenda, Does he feel the same way??? I guess not. Toka huko unapoteza muda wako bure.

Asante sana kwa ushauri, wacha nijitahidi kujitoa japo moyoni naumia,
Tuna mwaka 1 na miezi 2, hana matamanio ya ngono ndo maana nikauliza isije ikawa ana tatizo a ndipo ugomvi ulipoanza. Priority yake anasema ni upendo na kutafuta maisha. Upendo wenyewe siuoni maana kila mtu yupo kivyake hana mda wa kuspend na mimi hata kwa lunch, dinner au hata outing, nisiandike mengi sana ila ndo ivo.
 
Inaonyesha kabisa mama that he doesn't love you even an inch ndo maana wewe ndio unayeteseka, there is no love without giving, na hapo Kwenye giving siyo lazima vitu material, even emotional, social spending time together is a form of giving, sasa kama hivyo vyote hakuna kuna mkataba gani sasa hapo.

One more thing niulize labda inaweza ikanipa majibu, ni nani aliye initiate uhusiano kati yako na yeye? Ni yeye ndiye aliye propose muwe na uhusiano au mlijikuta marafiki halafu mkatumbukia Kwenye uhusiano tu? It says a lot kuhusu nature ya uhusiano wenu.
 
Asante sana nmejivunza mengi, tuliktana kwenye training ndipo urafiki ukaanza tukajikuta tumekuwa wapenzi.
 
Back
Top Bottom