Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Ni mambo mengi, lakini kikubwa tunagombana kisa hataki tukapime afya, akikosea hataki nimrekebishe ila ikitokea kwa bahati mbaya nimekosea hata kidogo tu au msg nmemjibu tofauti basi anasema tuachane eti mimi sitaki kuwa chini yake.
Kingine yeye ni mwanaume lakini hataki sex hata nikimwambia ansema sio priority yake,nikimuliza kwa nia nzuri tu isije ukawa una tatzo. basi ndo amezira eti nmemtukana. Yaani mpaka naihi nae kwa kuogopa badala ya kufurahi.
_
pamoja na hayo yote nampenda sana naumia sana,
_Aaah, pole sana mwaya sasa nimefahamu. Kwa ushauri wangu sasa nakushauri utulie usiendelee kumtumia sms au kujaribu kumpigia simu. Najua inauma sana lkn mi ninaamini kuwa kama na yeye anakupenda hasira zikimwisha atakutafuta mwenyewe usijaribu ku force utazidi kumuudhi. Lkn pia hata siku moja unapomuona mwenzako hajisikii kufanya mapenzi jaribu kumbembeleza, kumfariji badala ya kumsimanga na kumwambia maneno ya kuzidi kumuumiza mfano ni hilo neno ulilomwambia eti ana tatizo ukweli sio zuri. ni kama kusema vile hawezi kukufanya jambo ambalo wanaume wengi hawapendi kulisikia. Poa basi, cool down endelea kufanya shughuli zako naamini kama umeshamuomba msamaha atakurudia tu.