miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
asante, situmii pombe hata kwa kuonja.
lala sana mkuu
asante, situmii pombe hata kwa kuonja.
...you could make a difference man!!Huna haja ya kuPM maana PM yangu nimeifunga isipokuwa tunaweza kujadiliana hapa hapa kama una maswali...
umeona eeehhhh!Utumwa wa hiari
Kufanya romance ndio kitendo gani hicho?
Huna haja ya kuPM maana PM yangu nimeifunga isipokuwa tunaweza kujadiliana hapa hapa kama una maswali...
Huyu binti akikutana na mabazazi nahisi ndio ataugua hadi kufa kufa...
Analilia azibuliwe khaa!! akikutana na mipaka shume itamzibua kila tundu ambalo kajaaliwa na Maulana
Kwa vile hajibu...bado anakupenda....kama hakupendi angelibadilisha mpaka laini ya simu....anachokifanya psychological torture...unachotakiwa kukifanya kaa kimya...ukikaa kimya utakua umefanya reversal psycho-logic. na hapo ataanza kuona umihimu wako...
umeona eeehhhh!
ndo nilimwuliza hapo juu maana kama sielewi vile
lala sana mkuu
...you could make a difference man!!
ebu mfungulie mtoto wa mwanamme mwenzio PM bana umpe :baby:maujuzi ya kulea mwanamme.
Uchoyo tu:A S 13:
Huyu binti akikutana na mabazazi nahisi ndio ataugua hadi kufa kufa...
Analilia azibuliwe khaa!! akikutana na mipaka shume itamzibua kila tundu ambalo kajaaliwa na Maulana
woooteee tulishawahi kupenda saaaanaaaa.......ni kwa sababu moyo wangu unampenda sana.
woooteee tulishawahi kupenda saaaanaaaa.......
mimi nilipoachana na mtu niliumwa hadi kulazwa..........hapo mimi ndo nilimwacha, lakini kwa jinsi nilivyompenda niliugua kuuvua utumwa. lakini nikapenda tena, na sasa nina furaha na amani........
Ni swala la kuuambia tu moyo wako nini cha kufanya
Ndo maana nimekuambia ongea na moyo wako.....Asante fixed point, natamani moyo wangu ukubali na ufanye maamuzi kama ya kwako. Tatizo idara nifanyayo kazi lazima kuwasiliana naye kwa maswala ya kiofsi. mi natamani nisisikie hata sauti yake labda naweza nikamsahau
Jipe moyo utayashinda na yana mwisho vumilia
I believe in God one day yes.
Ndo maana nimekuambia ongea na moyo wako.....
Ukishaamua kuachana naye hata ukimuona unamuona wa kawaida tu, sauti yake ndo kabisa hata haikushitui.
Kazi lazima ifanyike, na maisha lazima yasonge mbele