donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
- Thread starter
-
- #21
Serious, i'l never trust a woman apart from my mother aiseeMfanye sana leo halafu ukimaliza mwambie wewe na yeye basi na umuonyeshe kila ulichokiona halafu umtakie maisha mema. Ile never trust Kiumbe kinachoitwa Mwanamke
Shukran mkuufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi pole sana
Daaah mapenzi sku hizi hayapo tunadanganyana I can imagine what do you feel right now bt up all to God peeke yako hutaweza muachr kwanza upumzishe akili unakuta unamuhudumia mtu kumbe moto wake upo kwa mwingine zaidi unajichosha tu..somtym tuwe tunasoma alama za nyakati Kwa ufupi huyo hakufai kwanni atembee na rafiki ako ukioana nae so atatembea na shemeji ake think big maamuzi yako ya sasa ndio matokeo yako ya Kesho over!!Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Mkuu usemacho ni sahihi ndiomana sijataka hata kumuonesha hizi proof ili asije akanitia hasira zaidi, lakini nitahakikisha within these two days anapack her things n off she goes out of my homeMkuu pole sana
Mim naona ata usiongee nae mkianza bishana apo atakuchimbulia usioyajua ukafa bure
I was a fool thinking that she loved me the same as I do to herMNAPENDANA?
UNAJIDANGANYA.
Hata mwanaume never trust anyone in dis world watu yamekuwa mapretender kama nin mmi niliona bora nimtumikie Mungu tu ndo anaweza nipuuzea moto sku ya kuna kwangu ila sio mtu mwenye miguu miwiloMfanye sana leo halafu ukimaliza mwambie wewe na yeye basi na umuonyeshe kila ulichokiona halafu umtakie maisha mema. Ile never trust Kiumbe kinachoitwa Mwanamke
Kumbe mnaishi naye kabisa aisee.. |Anatoka hapo nyumbani anaenda kufanywa nje halafu anarudi... Haki ya Mungu DuuuMkuu usemacho ni sahihi ndiomana sijataka hata kumuonesha hizi proof ili asije akanitia hasira zaidi, lakini nitahakikisha within these two days anapack her things n off she goes out of my home
Daaah kumbe tayari mlikuwa mnaishi wote kabisa kama mke na mume,dah inauma sanaMkuu usemacho ni sahihi ndiomana sijataka hata kumuonesha hizi proof ili asije akanitia hasira zaidi, lakini nitahakikisha within these two days anapack her things n off she goes out of my home
the same to me I'll never trust a man apart from my lovely dady sureeSerious, i'l never trust a woman apart from my mother aisee
A ha tumkuuKumbe mnaishi naye kabisa aisee.. |Anatoka hapo nyumbani anaenda kufanywa nje halafu anarudi... Haki ya Mungu Duuu
Ni kweli sana mkuuPole sana mkuu hawa viumbe hawana maana kabisa bora huishi peke yako kuliko kukaa na mtu wa namna hiii
Kabisa mkuu, the fingerless luccheseJina Lako Limekaa Kimafia Na KiNdrang'hetta KiCosa Nostra. Don Lucchesse,Katika Sheria Kumi Za Mafia Ni Kutotembea Na Mwanamke Wa Mobster Mwenzako. Yani Ingekua Ni Miaka Ya 1950s Hapo Angetafutwa Hitman Kama Bugsy Siegel Au Vincent "The Chin " Gigante Akashughulikie Huyo Mjamaa. Yani Anatembea Na Mwanamke Wa Don??
The Crime Boss,The Boss At The Top Of The Mafia Group. Ila Kwa Kua Sisi Sio Mafia Na Hatupo Kwa Ajili Ya Kuvunja Sheria Basi Piga Chini Uyo Demu. Shenzi Kabisa. Yani Enzi Izo Demu Wa Don Lucchese From The Lucchese Crime Family Ndo Agongwe Na Mburula Kama Uyo Jamaa,Heheheheheh Yani Adhabu Yake Siipatii Picha Kabisaaaa.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Never trust anyone mkuu, sio wanawake tu, unadhani wanawake wao hawafanyiwi hayo na wanaume?Duuh!aya mambo hayaitaji mjuaji!hautakiwi ata siku moja kumuamini mwanamke!
Huo ndio uamuzi, walaaaa usifikirie kulipa kisasi, but make sure wanatambua umeujua ufedhuli wao.Asante mkuu, kiukweli inauma sana mkuu. Nahisi uamuzi wa maana nikuachana nae aendelee tu na.huyo jamaa