Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Hill ni ngirii jitahidi kuchemsha mdalasini wa vipande changanya na tangawizi ikipoa weka ndimu au limao halafu unywe kikombe kutwa Mara tatu mpaka utakapo pona.
 
Yawezekana ni kutokana na madhara ya maambikizi ya UTI.....hata mimi baada ya kuugua UTI nilipopona napata maumivu ya kende moja lakini kwangu hutokea pindi mkojo unapobana
 
Habari zenu wanajamvi.
Nakuja mbele yenu waungwana naomba ushauri juu ya hili tatizo la pumbu (korodani) kuuma.
Kwa sasa ni zaidi ya mwezi na maumivu yake yamekuwa ni ya kuvuta na si muda wote kuna kipindi hutulia kabisa hata wiki na mara nyingi huwa pumbu ya upande wa kushoto.
Vilevile napenda kujuzwa kama kuna mahusiano yoyote kati ya magonjwa ya zinaa na kuuma pumbu.
Natanguliza shukrani kwa msaada

Kapime wala usione aibu
 
kashimir Mussa, Kapime hernia haraka sana ucje kuleta matatizo my father alikua na matatizo ya mkojo akafanyiwa operation after that akawa na tatizo la hernia homa Kali kweli kweli akataka kufanyiwa operation ila damu ilkua chache mwilin na nzito akapangiwa next week kurudi he passed away recently few months ago NENDA HOSPITAL NAKUAMBIA KITU NINACHOOGOPA MWILIN MWANGU NI KUHISI MAUMIVU SEHEMU YEYOTE YA MWILI NAHISI KUCHANGANYIKIWA KABISA MANA AKILI HUNIPELEKA KUWAZA HILI LITAKUA TATIZO TU
 
Mimi nimekuwa nasumbuliwa na shida ya kuumwa na korodani, huanza kwa kuvimba na napata maumivu makali sana ambayo hudumu kwa muda wa dakida 40 hadi saa na kupotea, hali hii nimedumu nayo kwa miaka 4 sasa. Wakati mwingine maumivu haya hupelekea kutokwa na manii hasa nikiwa najisaidia. Sijawahi saka tiba au kutumia dawa yoyote. Naomba msaada wa nini nifanye ili nipate tiba ya kudumu. Nashukuru sana
 
Back
Top Bottom