stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,976
- 4,208
Kamuone doctor kijana
acha kupiga punyeto, hilo tatizo litaisha.
Dogo usishangae,hiyo ni henia au waswahili tunasena mnyama katoka porini.ilinisumbua sana hii ile miaka ambayo Dk Mwaka alikuwa anawika ktk kuweweseka nikajikuta naenda pale kwake akanipiga Tsh180,000/= still sikupona nikaja kuponea mtaani kwa hawa wachuuzi wadogo wadogo wa dawa za kienyeji kwa Tsh4,000/= tu.hospital ukienda wanakushika shika wanakuandikia dawa ila nahisi hazisaidii chochote.
Dawa nilitumia mitishamba na hii ilikuwa 2012 na jina sikumbuki ila hiyo hali huja na kupotea japo sio jambo la kupuuzia maana inakosesha sana amani.duu sasa ulitumiaa dawa ganii, ?
Jitahidi kuyaepuka hayo mawazo utapona nashida itakuishakweli hapo kwenye kuwaza sex huwa some time nafikiriaa zaidi sex , kiasi cha uume kusimama kwa muda mrefuu
Dogo hasikutishe mtu, hii ndio sababu kuwaza sex, kukaa na demu karibu na kudindisha ama kuangapia porn.kweli hapo kwenye kuwaza sex huwa some time nafikiriaa zaidi sex , kiasi cha uume kusimama kwa muda mrefuu
Dogo hasikutishe mtu, hii ndio sababu.
Kuwaza sex, kukaa na dem karibu na kudindisha ama kuangapia porn.
Jinsi ya kuepuka jizuie kudindisha. Au uache ivo vitu vitatu utakua sawa.. najua hapo ikitokea hata kutembea huwezi inauma kichizi.
Umekua na U T I Kwa mda mrefu bila wewe kujua, kafanye checkup
hiyo ni ngiri na mimi imenikuta inauma unapoamka hasa ukisimama mda mrefu nenda katafute dawa ya ngiri
Zimevimba ? Unapata homa ? Zimepanda juu ? Zimebadilika rangi ? Husikii kiuvimbe chochote ukigusa ?
Nenda hospitali haraka, achana na story za vijiweni, kudindisha hakusababishi korodani kuuma.. hiyo inaweza kua chronic testicular torsion(yani spermatic cord inajiviringisha taratibu) na ukichelewa kutibiwa utapata ischemia na watoto utaishia kuwasikia kwenye redio.. kingine pia inawezekana kua orchitis ingawa uwezekano ni mdogo kama kweli hujawahi kushiriki sex. Cha msingi fika hospitali ufanyiwe clinical examination na lab investigations.
Punyeto hupigi, sex hufanyi, je unaishi vipi Hujabalehe bado una umri ganimkuu sipigi punyeto kabisaaaa, na sijawahii hata kufikiriaa
Nenda hospitali ukapime mkuu,matatizo mengine yanahitaji utaalam na uchunguzi zaidiHabarii, natumaini mu wazima wa afya kabisaaaa, mimi nina tatizo moja hapaa limenitokea hivi karibuni la korodani zinaniumaaa kwa muda alafu zinaachaa sometime hata ukizigusaa unasikia maumivu kwa mbalii.
Sasa naombeni kujuaa suluhu, na nini inaweza kuwa sababu ya tatizooo hilii maana limeniogopeshaa haswaa coz hata tendo la ndoa bado sija shiriki, kabisaa tangu nizaliwe, labda kuna dawa.
Naombeni msaada wenu hapaa kuko na watu wenye taaluma tofauti na pengine wengine si mara ya kwanza kusikiaa hayaa.