Sir hamidu
New Member
- Jul 14, 2023
- 3
- 6
Naombeni msaada, kama inavyojieleza hapo juu ni miezi kadhaa hilo tatizo limekua likijirudia rudia. Napata maumivu makali sehem ya korodani ambapo inapelekea muda mwingine kukojoa damu na nmeshaenda hospital tena za hali ya juu na kuambiwa sina ugonjwa wowote zaid ya kupewa dawa za UTI na za kupunguza maumivu.
Naombeni msaada jaman mwenye kujua dawa yake hata kama ni ya mitishamba nipo tayar.
Naombeni msaada jaman mwenye kujua dawa yake hata kama ni ya mitishamba nipo tayar.