Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

Tatizo ni umri mdogo wangu... Jifunze kutafuta mwanamke unaemuweza sio utakaempenda hawa viumbe hawana guarantee....Keep easy Huyo sio mama yako au dada yako after all hawa viumbe ni maua tu expire date zao ni almost 10 years..Akiwa hot lazma aruke ruke kama maharage.. focus mambo zako mwache asepè
 
Wangu namlia timing, nikithibitisha tuu kadi nyekundu. Wanawake wengine wanakuwa wapumbavu Sana, nimeshuhudia jamaa kadhaa wanasumbuliwa na wake zao na kusalitiwa, tena huyo mmoja mkewe ni afande jamaa baada ya kugundua amemsaliti akamtembezea kichapo Cha nguvu, mke akawaita maafande wenzake wakamdaka msela wakamuweka sero, jamaa tumemshauri Sana achana nae kamwacha, sasa mke anabembeleza warudiane,na mwingine hivyo hivyo baada ya kumwacha mkewe na kuoa mwingine kutokana na mke kuwa na dhalau na kuchepuka, mwanamke anaomba tena eti awe hata mke wa pili. Wanadanganyika na watu ambao hawana future nao wakiachika ndipo akili inawarudi pumbavu kabisa..
 
PELEKA IPUUZI WAKO HUKO MWANAUME GANI UNALAZIMISHA KUISHI NA MWANAMKE ASIYE KUTAKA NDO MANA MUNAUWAWA NA WANAWAKE, TAAHIRA WA MAPENZI NGOJA UNYOOSHWE KWANZA.
 
Dah,aisee.

Maumivu ya kuwa nae mbali,na maumivu ya kuwa nae huku ukijua anakucheat,yapi ni makali zaidi?

Mkuu,unaweza kuishi bila wewe..niamini.
 
Mbaya Sana, wanawake wakianza umalaya kuacha ni neema za Mungu tu, wanaume tunaweza kuwa na michepuko 100 lakini Huwa tunazuheshimu Sana familia zetu (sijapromote michepuko), Ila Kwa Hawa wenzetu ni tofauti Sana. Huyo Iko siku akili itamkaa sawa lakini ni mpaka atakapotimuliwa kama mbwa na huyo jamaa na kipindi hicho ukiwa umesha move on (kama utapiga moyo konde kiume) ila my brother ukiendelea kumsamehe na kujiliza kijinga utakuja kufa kwa kiharusi.
Ushauri: umeshamkalisha na kuongea naye mara kadhaa, ila hajabadilika, ameshakuona bwege usiekuwa na la kufanya juu yake. Sasa ili kuponya nafsi yako, ACHANA NAYE BROTHER. WEWE HUTOKUWA WA KWANZA KUACHA. ACHA KUJILIZA MUDA WOTE NA USITAKE AKUOMBE TENA MSAMAHA, inaonekana ushakuwa DHAIFU SANA KWA HUYO MWANAMKE.
 
Ukirejea katika Uzi huu > Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

Ambao ni Uzi nilieleza jinsi mke wangu alipoanza kunicheat, Leo ni week ya 4 Sasa, Nimekuja na Muendelezo wa yaliyojiri baada ya Shauri nyingi zilizotoka kwenu wadau, Ushauri niliofanyia kazi ilikuwa wa Ugumu wangu ambae alinishauri nitenge muda wa kukaa na yule mwanamke then nimuulize kama ana malengo gani na Mimi na je, anaweza kuachana na huyo jamaa anaetaka kuanzana nae au lah?, Majibu yake yalionesha kukiri na kuahidi kuachana na jamaa yule Tena akilia sana, Jambo ambalo lilifanya nirudishe moyo wangu nyuma na kumsamehe huku nikizingatia jinsi tulivyotoka mbali pia, Nilimsamehe na Onyo Kali sana kuwa akirudia basi tutaachana.

Baada ya week moja nilimuuliza "Vp yule jamaa umefanikiwa kumkwepa au bado anakusumbua?" Hapo tushaanza kusahau kisa chote Tena nikiamini kuwa hawana mawasiliano Tena, Mwanamke yule alinijibu "Sijui" Aisee jibu lake liliniumiza na kunifanya nirudi kwenye wasiwasi Tena "Hujui??" "Ndio sijui, kwani we unahisije" Dah! kauli Ile ilinipa hasira nikajikuta nimechukua cm yake kuangalia je bado wanawasiliana?

Kurupushani ilianza kwani hakutaka niguse Simu yake ndipo nilitumia mabavu kwa kumpiga kibao Kisha nikaingia kwenye Call log na kukuta ni kweli kuwa bado wanawasiliana Tena wanaongea dk 10-15 japo namba haikuwa kaisave ila namba ya jamaa niliikariri Kutoka siku ya Kwanza Dah Jambo lile lilinipa hasira Hadi nikapasua Simu ya mke wangu, Kisha nikamgeukia kumuuliza kwanini ananifanyia vile, Yeye alijitetea kuwa jamaa ndie anaempigia, "Lakini kwani hukumuambia umeolewa???" "Hata kama ni boss wako je dk 10-15 mnaongea Nini Tena ubaya tarehe inaonesha hata Jana jumapili ni siku ya kazi lakini mmeongea zaidi ya dk 10 je, unaniona Mimi mtoto???"

DAH! Akili yangu ikaanza kunilaumu kwanini sikufuata Ushauri wa kuachana nae Ila Mwanamke yule alinituliza kwa kuniambia jamaa hua anaempigia kwa kuwa bado ana namba yake ila kwa kuwa nimeshapasua Simu yake na laini nimevunja basi atasajili nyingine na kununua Simu nyingine alafu nitathibitisha Hilo kwa kuwa Sasa jamaa hatokuwa na namba yake mpya, basi nilikubali kumsamehe Tena.

Baada ya siku tatu mwanamke akanunua Simu nyingine na kusajili namba mpya, ila Cha kushangaza alinunua smartphone yake, line mpya ambayo hata namba sikuijua Kisha akaweka patten kwenye lock screen,

Duh! nikaanza kuwa na wasiwasi Tena, kweli mtu anaetafuta uaminifu kwa mtu aliemkosea kiasi kile kwanini anafanya hivi mbona mwanzo tuliwekana wazi Kila kitu, Nilipomuuliza alikuwa Mkali " Bwana nishabadili namba mpya Hana namba yangu Wala Sina yake Kila mtu kwa Sasa abaki na password za simu yake tuaminiane hivyohivyo tusichunguzane" Basi maneno Yale yalizidi kunipa wasiwasi sana kutaka kujua ni kwanini amefanya vile? Je kweli ameachana na yule jamaa?

Akili iliyonijia nilipamua kwanza kuchukua namba yake mpya aliyosajili bila yeye kujua, Kisha siku iliyofuata nilienda kusajili namba mpya Kisha niliinganisha WhatsApp Kisha nikaisave namba yake mpya kucheki WhatsApp nikaona nikaanza kumchatisha kama vile ni yule jamaa na majibu yalikuwa hivi

Mwanamke alionesha kumlalamikia jamaa kuwa anataka kuishi mbali na mimi kwani nimegundua Kila kitu hivyo namnyima amani.

itaendelea.....

Ngoja nilie kwanza maana maumivu niliyopo nayo Aisee najuata kuingia mzima
Unapoteza muda huyo mwanamke kwasasa anakuona tu wewe lofa yani hapo ulipo unamkera tu hapo anacompare na kucontrast wewe na yule jamaa anamuona jamaa ndo mwanaume.
Mkui utakufa kwa presha mwache narudia tena mwache mwanamke akifika hapo jua hakuna unaloweza kufanya kumbadilisha.
Achana naye kabisa mkuu yani ukiona mwanamke anakupa majibu ya namna hiyo jua huna chako tena.
Hajali hata ukimfumania
 
Ukirejea katika Uzi huu > Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

Ambao ni Uzi nilieleza jinsi mke wangu alipoanza kunicheat, Leo ni week ya 4 Sasa, Nimekuja na Muendelezo wa yaliyojiri baada ya Shauri nyingi zilizotoka kwenu wadau, Ushauri niliofanyia kazi ilikuwa wa Ugumu wangu ambae alinishauri nitenge muda wa kukaa na yule mwanamke then nimuulize kama ana malengo gani na Mimi na je, anaweza kuachana na huyo jamaa anaetaka kuanzana nae au lah?, Majibu yake yalionesha kukiri na kuahidi kuachana na jamaa yule Tena akilia sana, Jambo ambalo lilifanya nirudishe moyo wangu nyuma na kumsamehe huku nikizingatia jinsi tulivyotoka mbali pia, Nilimsamehe na Onyo Kali sana kuwa akirudia basi tutaachana.

Baada ya week moja nilimuuliza "Vp yule jamaa umefanikiwa kumkwepa au bado anakusumbua?" Hapo tushaanza kusahau kisa chote Tena nikiamini kuwa hawana mawasiliano Tena, Mwanamke yule alinijibu "Sijui" Aisee jibu lake liliniumiza na kunifanya nirudi kwenye wasiwasi Tena "Hujui??" "Ndio sijui, kwani we unahisije" Dah! kauli Ile ilinipa hasira nikajikuta nimechukua cm yake kuangalia je bado wanawasiliana?

Kurupushani ilianza kwani hakutaka niguse Simu yake ndipo nilitumia mabavu kwa kumpiga kibao Kisha nikaingia kwenye Call log na kukuta ni kweli kuwa bado wanawasiliana Tena wanaongea dk 10-15 japo namba haikuwa kaisave ila namba ya jamaa niliikariri Kutoka siku ya Kwanza Dah Jambo lile lilinipa hasira Hadi nikapasua Simu ya mke wangu, Kisha nikamgeukia kumuuliza kwanini ananifanyia vile, Yeye alijitetea kuwa jamaa ndie anaempigia, "Lakini kwani hukumuambia umeolewa???" "Hata kama ni boss wako je dk 10-15 mnaongea Nini Tena ubaya tarehe inaonesha hata Jana jumapili ni siku ya kazi lakini mmeongea zaidi ya dk 10 je, unaniona Mimi mtoto???"

DAH! Akili yangu ikaanza kunilaumu kwanini sikufuata Ushauri wa kuachana nae Ila Mwanamke yule alinituliza kwa kuniambia jamaa hua anaempigia kwa kuwa bado ana namba yake ila kwa kuwa nimeshapasua Simu yake na laini nimevunja basi atasajili nyingine na kununua Simu nyingine alafu nitathibitisha Hilo kwa kuwa Sasa jamaa hatokuwa na namba yake mpya, basi nilikubali kumsamehe Tena.

Baada ya siku tatu mwanamke akanunua Simu nyingine na kusajili namba mpya, ila Cha kushangaza alinunua smartphone yake, line mpya ambayo hata namba sikuijua Kisha akaweka patten kwenye lock screen,

Duh! nikaanza kuwa na wasiwasi Tena, kweli mtu anaetafuta uaminifu kwa mtu aliemkosea kiasi kile kwanini anafanya hivi mbona mwanzo tuliwekana wazi Kila kitu, Nilipomuuliza alikuwa Mkali " Bwana nishabadili namba mpya Hana namba yangu Wala Sina yake Kila mtu kwa Sasa abaki na password za simu yake tuaminiane hivyohivyo tusichunguzane" Basi maneno Yale yalizidi kunipa wasiwasi sana kutaka kujua ni kwanini amefanya vile? Je kweli ameachana na yule jamaa?

Akili iliyonijia nilipamua kwanza kuchukua namba yake mpya aliyosajili bila yeye kujua, Kisha siku iliyofuata nilienda kusajili namba mpya Kisha niliinganisha WhatsApp Kisha nikaisave namba yake mpya kucheki WhatsApp nikaona nikaanza kumchatisha kama vile ni yule jamaa na majibu yalikuwa hivi

Mwanamke alionesha kumlalamikia jamaa kuwa anataka kuishi mbali na mimi kwani nimegundua Kila kitu hivyo namnyima amani.

itaendelea.....

Ngoja nilie kwanza maana maumivu niliyopo nayo Aisee najuata kuingia mzima
Mke alianza kuchiti haachi ndugu yangu Mimi nilipiga nusura kuua wapi?? Nimeamua kuachana nae nimeondoka na wanangu sa wewe ng'ang'ania akuue kabisa
 
Back
Top Bottom