Maumivu makali

pole ila mwenzio amalizagi .... cha kufanya ni kuzungumza naye kwa upole na utaratibu .. usimfokeee na mweleze kiasi gani inakuumiza

sometimes wanaume tunakuwa treated kama watoto wachanga
 
Jipambe,acha ushamba,mfanye ajue unajua kua anachepuka,alafu kuwa ma furaha!aibu ipo upande wake hunahaja ya kupata jakamoyo
 
kabisa babu....
vinginevyo atakufa mapema....
 
miaka 52 si anakaribia kustaafu huyo anatafuta wa kula nao pension
 
Pole kwa unayopitia dada Tina,

Hii kauli imenishangaza sana''Nilikuwa nina uhakika kwamba anachepuka lakini nikajipa moyo anatumia condom''
Kuchepuka ni tabia ya kutokujali, kwa tabia hii usitegemee mtu huyu kujali kutumia condom maana kama mchepuko ni wa muda mrefu huwa ndio condom zinasahaulika kabisa.

Najua shida yako ni maambukizo ya magonjwa ya zinaa hasa HIV-AIDS ,fanya maamuzi na chukua muda wako na uende kupima, miaka 38 bado sana usikubali babu wa miaka 52 akushike mkono kukuwaisha ahera.
 
We kapime afya tu ujue hali yako kisha lea wanao. Hizo tabia wanazo kama chembechembe zikikua ndo unakuja gundua kama hivyo. Haijawahi tokea mbwa akizeeka ageuke mbuzi lazima zilikuwepo dalili. Asikudanganye mtu, wanandoa wengi wachepukaji hawatumii hizo condom nadhani kale ka akili ka kuamini amini mtu ndo maana waathirika wa vvu wengi ni wanandoa.
 
Wakuu mnavyomshaur mtu muwe mnatumia lugha nzuri zinazomtuliza mtu. Km huna uwezo wa kuongea lugha hizo napendekeza ukae kimya. Mtu ana ttzo na linamuumiza moyo,we unaongea km mshenz flan hivi,why? Sio lzm uandike kitu bana.
 



inataka moyoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…