Maumbile yake ni makubwa

Maumbile yake ni makubwa

hakuna kitu kama hicho mkuu, hata uongezwe njia baada ya siku 40 kitu kinarudi kama mtoto, usifanye mchezo na uumbaji wa Mungu
SEMA KWA HUYU MKUU na wasi wasi huyo shemeji atakua alishawahi ingia Uwanja wa Vita (LEBA) na katika kujifungua akawa ameongezwa Njia na makosa ya madaktari wetu wa Bongo ndio madhara yake kama haya.
 
Duh kumbe kujifungua kunaweza kusababisha madhara kama ya uke mkubwa mbona ni hatari kama ndio ivyo,, na je vp matibabu yake mana jamaa kafa kaoza yupo tayali kumpeleka hata nnje ya nchi

Ni kweli ako na mtoto tayari..... Nita jitaidi, kuyajua hyo mengine kwa busara then kama ndivyo usemavyo tukaangalie matibabu
 
Nadhani usifanye hasty judgement, tafuta muda mkutane tena ili uone kweli kwamba maumbile yake ni makubwa. Ni kweli kwamba unaweza kukutana na mtu ambaye mpo incompatible coz binadamu tupo tofauti katika mengi. Ila mnaweza kukaa na kuyajenga, au ukaamua kupiga kimya ukafanya maamuzi ya kimya kimya...
 
Tatizo ndo hilo la kuwa kwenye mahusiano na watu wengi kabla ya ndoa ungekuwa na huyo huyo mmoja usingeweza kujua kwamba yake ni kubwa au ndogo maana unakuwa hauzijui za wengine zikoje

Shida inakuja ukishaanza kuonja na za wengine lazima utajua tu kuzitofautisha na utakuwa umeshajua za aina ipi unazitaka na za aina ipi hauzitaki mkiambiwa muache umalaya hamtaki basi endeleeni kushindana kujua vibamia na mikuyenge sijui mibwawa na vimnato mnajua wenyewe
@edelyn kwani wewe umekulwa na mmoja tu?
 
Duh kumbe kujifungua kunaweza kusababisha madhara kama ya uke mkubwa mbona ni hatari kama ndio ivyo,, na je vp matibabu yake mana jamaa kafa kaoza yupo tayali kumpeleka hata nnje ya nchi
Issue sio kufa kuoza Chief wangu... Kama kile nachoona kwangu ni kikwazo, na nikagundua kina namna ya kukitafutia utatuzi Basi nitashughulikia kwa uwezo wangu...

Na pia pale napoona ni jambo lisilo wezekana, na changanya na zangu nafanya maamuzi....

Nasi kupenda kiviile, huu muda wa kupenda kufa sina tena, ninatizama future zaidi, na zaidi nimlinde mtoto wa watu, na kulinda moyo wake usiumie, nishaumiza, na kuumiza... Yatosha sana.

Ana mtoto Nina watoto, we need life now... So lazima kuwa Makini kidogo.
 
Nadhani usifanye hasty judgement, tafuta muda mkutane tena ili uone kweli kwamba maumbile yake ni makubwa. Ni kweli kwamba unaweza kukutana na mtu ambaye mpo incompatible coz binadamu tupo tofauti katika mengi. Ila mnaweza kukaa na kuyajenga, au ukaamua kupiga kimya ukafanya maamuzi ya kimya kimya...
Sure. Thanks
 
Ok mkuu nimekuelewa sana ni vyema ukafanya maamuzi bado mapema kwa kuwa una nafasi ya kulishugulikia ilo jambo kama itashindikana basi chukua hamsini zako
Issue sio kufa kuoza Chief wangu... Kama kile nachoona kwangu ni kikwazo, na nikagundua kina namna ya kukitafutia utatuzi Basi nitashughulikia kwa uwezo wangu...

Na pia pale napoona ni jambo lisilo wezekana, na changanya na zangu nafanya maamuzi....

Nasi kupenda kiviile, huu muda wa kupenda kufa sina tena, ninatizama future zaidi, na zaidi nimlinde mtoto wa watu, na kulinda moyo wake usiumie, nishaumiza, na kuumiza... Yatosha sana.

Ana mtoto Nina watoto, we need life now... So lazima kuwa Makini kidogo.
 
Ngoja zero atakujibu mana yeye atakuwa na majibu mazuri sana
Wakuu,mbona mi sjawai kutana na dem mwenye ishu kubwa,mi nawaona kawaida tuu,..yan kusema et ni bwawa sjui nin,..au labda mi seilew kwamba inakuaje
 
Tatizo ndo hilo la kuwa kwenye mahusiano na watu wengi kabla ya ndoa ungekuwa na huyo huyo mmoja usingeweza kujua kwamba yake ni kubwa au ndogo maana unakuwa hauzijui za wengine zikoje

Shida inakuja ukishaanza kuonja na za wengine lazima utajua tu kuzitofautisha na utakuwa umeshajua za aina ipi unazitaka na za aina ipi hauzitaki mkiambiwa muache umalaya hamtaki basi endeleeni kushindana kujua vibamia na mikuyenge sijui mibwawa na vimnato mnajua wenyewe
Mkuu ipi tamuuuu...
 
Huo ukweli tunaukubali Sisi wanaume tu lkn wanawake hapana, ni rahisi kumsikia mwanaume anasema ana kibamia lkn huwezi kumsikia mwanamke anasema ana bwawa
Acha uongo hakuna mwanaume anayekubali hadharani kuwa ana kibamia na vile vile hakuna mwanamke anayekubali hadharani kuwa ana bwawa wote wanakataa hadharani lakini moyoni wanakubali na wengi wao wanaumia
 
sibishani ila nakuelewesha mkuu, ingekuwa hicho ulichoongea kipo au ni cha kweli basi mwanawake wangekuwa wanaachwa mara tu wanapotoka kuzaa
sijasema hilo nililosema ni kwa wanawake wote Mkuu.

wala usiseme kua wanawake wote wapo kama unavyosema

yani ki ufupi staki ukatae unachosema na mimi sitakiwi kukataa unachosema
 
SEMA KWA HUYU MKUU na wasi wasi huyo shemeji atakua alishawahi ingia Uwanja wa Vita (LEBA) na katika kujifungua akawa ameongezwa Njia na makosa ya madaktari wetu wa Bongo ndio madhara yake kama haya.
Tunatandika masingo maza deile
 
Acha uongo hakuna mwanaume anayekubali hadharani kuwa ana kibamia na vile vile hakuna mwanamke anayekubali hadharani kuwa ana bwawa wote wanakataa hadharani lakini moyoni wanakubali na wengi wao wanaumia
Kama hutaki basi lkn huo ndo ukweli, wanawake mnajiona mpo perfect sana
 
Back
Top Bottom