Maulid kitenge

BORNCV

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
242
Reaction score
46
Hivi nywele kule kichwani mwake ni style ya kunyoa amemuiga ronaldo de lima au alipata tatizo.
 
Mkuu ngoja waje wanaomjua vizuri kwa ufafanuzi,hata leo nimemuona mmh...!
 
mbona ITV sio mbali sana au simu yake ni 991, muulize.
 
Chek nae kwenye Facebook.
 
Hiyo style inaitwa 'kiduku'......wanawake wa muuujini wanaizimia kweli.......kama unabisha muulize Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
Benefit yake nini tukishajua style ya nywele za mume wa mtu ? Mkewe akipita kunako huu uzi ajifunze nini ?
Mantik hapa haijahusika kabisa!.
 
Benefit yake nini tukishajua style ya nywele za mume wa mtu ? Mkewe akipita kunako huu uzi ajifunze nini ?
Mantik hapa haijahusika kabisa!.

Correction sir: Jamaa ni mume wa WATU,chezeya kitenge wewe!
 
Kidume kitenge namkubali sana huyu mtu.Kile kiduku amezaliwa nacho Adios amigoo.Tehe tehe
 
Kitenge siyo lelemama
anauwezo wa kukaa na wamama watatu,
sijui anawezaje.

pengine wanampendea hizo fasheni za kichwani.
 
Niwekee picha yake mtoa mada anaweza kunivutia naona bado kwake kuna vacancy ,..
 
Labda umaarufu umeshuka, sasa anaupandisha. Na amefanikiwa, manake umenifanya hata mimi nikumbuke uwepo wake.
 
Kitenge siyo lelemama
anauwezo wa kukaa na wamama watatu,
sijui anawezaje.

pengine wanampendea hizo fasheni za kichwani.

ana panga zamu. Na hawana wivu. Siku akizidiwa sana basi anasaidiwa na waungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…