reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 11,913
- 27,948
Kumbe anamlamba kisogoo!Sadala bwana
Akapost kabisa eti "nakuahidi kwenda na kasi ile ile uliyotusisitiza"
Kumbe anamlamba kisogoo!Sadala bwana
Akapost kabisa eti "nakuahidi kwenda na kasi ile ile uliyotusisitiza"
kama alikuwa pale ofisin ni rahisi sana kuipata nywira yakeHivi kudukuwa wanaona kitu rahisi.
Huyo maulid kama alikuwa anaweka mambo yake azarani mfano nywila yake ina mwaka wa kuzaliwa au jina ambalo anatumia nywila,kama alikuwa kaacha kompyuta ofisini kutokufunga email zake na kama anatumia email ya ofisi lazima data zibaki ofisni.
Ni mengi tu
Ayaaaa😂 wahuni sio watu wazuriKumbe anamlamba kisogoo!
TISS anadukuliwa accnt zake na Diamond Platnumz , kijana aliyeishia form two B,
Ooh kumbe alitumwa kazi pale WCB ,
Huwa inatafutwa excuse ya kumnanga Sadala, ufafanuzi wako wananzengo si wanachotaka kusikia.Kwani hawa bongo celebrities si wengi tu account zao hu hackiwa, Hata kawambwa pindi yupo wasafi yalishamkuta
Kutoa milion 20 ili uachiwe akaunti yako si kitu cha mchezo mchezo....TISS anadukuliwa accnt zake na Diamond Platnumz , kijana aliyeishia form two B,
Ooh kumbe alitumwa kazi pale WCB , 😋