Mauki unavyotufanyia wanaume wenye ndoa sio Fresh.

Mauki unavyotufanyia wanaume wenye ndoa sio Fresh.

yule yuko kwenye biashara mdomo ndio unampa lishe.
ni sawa na Movie star unakuta anajua kuendesha baiskeli,gari, ndege, helikopta, anapiga kila mtu,anajua kila kitu, sheria,ufundi,udaktari n.k lkn ukimkuta kwenye maisha yake ya kila siku nje ya movie hajui au hana vyote hivyo.

hoja hapo wasikilizaji wake wanapaswa kujiongeza na kujua jamaa yuko kazini sio nyumbani kwake pale.
Heeee heeeee
 
Wajinga ndio waliwao na wanaozisikiliza por.ojo zake
 
yule yuko kwenye biashara mdomo ndio unampa lishe.
ni sawa na Movie star unakuta anajua kuendesha baiskeli,gari, ndege, helikopta, anapiga kila mtu,anajua kila kitu, sheria,ufundi,udaktari n.k lkn ukimkuta kwenye maisha yake ya kila siku nje ya movie hajui au hana vyote hivyo.

hoja hapo wasikilizaji wake wanapaswa kujiongeza na kujua jamaa yuko kazini sio nyumbani kwake pale.
Yap..akili zakuambiwa mix nazakoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salama wakuu,

Leo nimeona niseme tu ukweli maana inakuwa Kama ni desturi sasa.... Huyu brother ni Kama ndoa yake Haina changamoto na siku zote za mwaka yeye yupo peponi. Kitu ambacho naamini sio kweli coz hata baadhi ya manabii na mitume walikutana na mabalaa tofauti kwa kuishi na hawa viumbe(wanawake).

Kwa huyu mwenzetu yeye amekuwa Kama ndo SI Unit ya wanawake kupima kuwa wanaume tuna upendo namna gani kwa wake zetu.... Hakuna siku hata moja amezungumzia mabalaa yake ya kwenye ndoa, yeye kila siku ni kuwasema wanaume wenzake tu.

Hatulali, hatuamki..... Utaskia unaona mwenzako kasemaje leo??? Ukiangalia anaandika ma vitu ambayo hata hakuna anayeweza kuyatimiliza na sidhan Kama hata yeye anaweza kuyatimiza..... Ni mchanganyiko mtupu


Leo atasifa mgegedo,
Kesho atasema Unadhani Mkeo kafwata mgegedo,
keshokutwa atasema mletee zawadi,
Mtondogoo atasema Unadhani alifuata zawad.. Basi almradi tafarani...

Mauki Kama wewe psychologist Hebu Kaa Kati, huwezi jua ni kwa Kiwango gani umeathiri ndoa za watu kwa porojo zako. Tungekuwa hatuna misimamo, ndoa nyingi sana zingekwanyuka....

NB: haya ni matokeo ya utafiti mdogo nilioufanya kwa wanandoa na hasa wanaume, tunapokuwa vikaoni jioni.
Wewe ndio humwelewi
 
Back
Top Bottom