Mauki unavyotufanyia wanaume wenye ndoa sio Fresh.

Mauki unavyotufanyia wanaume wenye ndoa sio Fresh.

Mkuu hao hawafai kabisa kuwa rafiki zako..

Yani umeanza mahusiano mpaka umefikia hatua ya kuoa bado unakuwa wakwenda kusikiliza semina za mahusiano kweli??
Ha ha kuna watu ukiwaona mitaani huku wajanja ila beki hazikabi wakifika home, eti unaambiwa na mkeo Chris ameandaa event zinaenda couple mnajichanganya na kutoa changamoto na wewe unaenda
 
Nadhan mkuu ulikanusha badala at least kusema ni kweli ila mini siko hivyo
😀😀😀. Unaanzaje kusema ni kweli? fatal mistake. Kipanya doesn't know what he is talking about. Anamfurahisha tu mtangazaji, playing his tricks and jokes as usual. In fact hiyo interview ni kati ya zile ''upuuzi wa Kipanya'' zake - mere jokes. Kama ni ukweli, you should have caught me kitambooo.
 
Ha ha kuna watu ukiwaona mitaani huku wajanja ila beki hazikabi wakifika home, eti unaambiwa na mkeo Chris ameandaa event zinaenda couple mnajichanganya na kutoa changamoto na wewe unaenda
Mkuu kama bado haujapata jiko basi jitahidi sana usije ukaoa mwanamke ambaye hajui nini anataka..

Mtu wa aina hiyo ni tatizo kubwa.. Akiona mwenzake amefanya hivi na yeye atakuja kukushawishi ufanye vilevile bila kujali utaratibu wako..

Hiyo ni aina ya wanawake ambao 75% ya akili zao zimeshikiliwa na marafiki zao.. Hawawezi kukusaidia zaidi ya kukugeuza kituko mbele ya jamii!
 
Hayo hayanitishi kuingia kwenye ndoa kinachonitisha ni nyuzi za humu za "Nimemla mke wa mtu"
"Nimeamua kuchepuka mume wangu ...."
"Mume wangu haniridhishi nifanyeje kwa hili ninalofanya"
Ahahahahah maneno kama hayo ndio yatakayonifanya kuoa nisubiri sana.
 
Mkuu kama bado haujapata jiko basi jitahidi sana usije ukaoa mwanamke ambaye hajui nini anataka..

Mtu wa aina hiyo ni tatizo kubwa.. Akiona mwenzake amefanya hivi na yeye atakuja kukushawishi ufanye vilevile bila kujali utaratibu wako..

Hiyo ni aina ya wanawake ambao 75% ya akili zao zimeshikiliwa na marafiki zao.. Hawawezi kukusaidia zaidi ya kukugeuza kituko mbele ya jamii!
Kweli mkuu mimi wife akianza hizo story za hawa watu wa design ya Chris body language tu inatosha kumkatiza hizo bla bla, Ni michezo ya akili tu anajua wanawake wanataka nini na yeye anapiga pale pale
 
.Kuna clip moja ya Masoud Kipanya inasambaa sana anasema wanaume wote tunapenda kumiliki wanawake zaidi ya wawili na wachache sanaaa wanaweza kujizuia, japo kwa shida. Unawaza sasa huyu anatuma msg gani kwa mkewe. Wife aliniforwadia ile clip na kaswali kama hako. Umeonaaaa!??😀😀. Ilibidi nimtukane Kipanya matusi yotee
Upuuzi wa Masoud Kipanya.


May Allah bless Me and You
 
Yuko kibiashara zaidi. Kashajua wateja wake wanapenda nini
 
.Kuna clip moja ya Masoud Kipanya inasambaa sana anasema wanaume wote tunapenda kumiliki wanawake zaidi ya wawili na wachache sanaaa wanaweza kujizuia, japo kwa shida. Unawaza sasa huyu anatuma msg gani kwa mkewe. Wife aliniforwadia ile clip na kaswali kama hako. Umeonaaaa!??😀😀. Ilibidi nimtukane Kipanya matusi yotee
Ila ni ukweli eti?
 
Hayo hayanitishi kuingia kwenye ndoa kinachonitisha ni nyuzi za humu za "Nimemla mke wa mtu"
"Nimeamua kuchepuka mume wangu ...."
"Mume wangu haniridhishi nifanyeje kwa hili ninalofanya"
Umenena haswaa
 
Pole mkuu kwa kuhisi Mauki anaweza kuwa mwongozo kwenye ndoa yako pia,yeye ile ni kazi yake kwa hiyo anaweza asikuguse leo kesho akawa wako lkn zile ni stori na msaada wake katika ndoa ni mdogo sana.Kila mtu ana mifumo yake ya maisha huku amani na upendo plus changamoto ndy vinakuwa mchanganyiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi wanaume ni wachache mno waliobakia ni wanaume suruali,boxer,bukta. Hivi unaanzaje kumruhusu mkeo amsifie mwanaume mwingine mbele yako eti unaumia kabisa na kuja kulalamika mtandaoni.

Ndo nyingi hazidumu sababu misingi yao wameijengea mitandaoni,wakiona style hii nao wanajaribu wasione dawa hii nao wanakunywa matokeo yake mvurugiko wa hali ya juu
Kunywa konyagi mkuu bili Jamhuri itaclear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili li mauki ni boya tu lenye lengo LA kufanya biashara ya maneno,kwanza niliwahi kulichana kwenye Mada zake za insta sababu ya kujifanya perfect,linanikumbusha movie flan inaitwa why did I get married,ktk hyo movie Dada mmoja alikuwa Dr wa mahusiano kaz yake kushauri wanandoa kama mauki na vitabu anaandika ila cha ajabu ndoa yake ilikuwa taabani na ikavunjika kabisa,so huyu jamaa ni mfanyabiashara wa kuuza maneno tu na huwa anaanda mihadhara kiingilio elfu hamsini sijui vichaa gani huwa wanaenda
 
Back
Top Bottom