Mauki unavyotufanyia wanaume wenye ndoa sio Fresh.

Mauki unavyotufanyia wanaume wenye ndoa sio Fresh.

Jamaa anakua wanawake ni dhaifu ndio maana anapitia huko kupiga hela
 
Hizo ni mbwembwe zake tu, Mimi haziogopeshi Mkuu, maana naamini nitakayempata hatanitoroka hata siku moja, ninachojiuliza ni yupi nitampata awe kwenye himaya Yangu????

Huyo anafanya biashara zake hapo, ameshaona soko lake ni wanawake. Hivyo simlaumu namuona wa kawaida tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya yako bro.... huyo yupo kuingiza mkwanja
 
Yaani ndoa yangu iyumbishwe na kinachoendelea kwenye TV au Mitandao ya kijamii?
 
Ukiwa mwanaume, kwenye ndoa wewe ni KICHWA. Wanaume wote wa Kiafrika tujifunze kutokuendekeza maneno ya mtandaoni maana hayana tofauti sana na mapenzi ya TAMTHILIYA. Ukiwaendekeza hawa washauri wa mambo ya mapenzi, huchelewi kuwa BUSHOKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kbsaa ndugu wanaume tunatakiwa tujitambue ss ni kina nai cio kufata ya mitandaoni
Pia wakina dada waachane na tamthiliya mtabaki kuwa divorced daily
 
Huyu jamaa anacheza na akili nyepesi na upepo wake huzibeba.
Mi adhima yangu ni kumgegedea mkewe ili ajue being psychologist uchwara hakutamuacha salama.
Ajikute ni km kocha tu awezaekucheza mpira mezani, uwanjani zero kbs.
Mwenye namba ya mkewe please nikaoshe rungu afu nikimaliza ntahakikisha amejua ili ajitibu psychologically.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wewe umeoa kabisa halafu ukamsikilize Mauki kuendesha ndoa yako?

Na hizo ndoa zitakazoweza kuvurugika kisa porojo za Mauki ujue hazikupangwa kuwepo!
 
.Kuna clip moja ya Masoud Kipanya inasambaa sana anasema wanaume wote tunapenda kumiliki wanawake zaidi ya wawili na wachache sanaaa wanaweza kujizuia, japo kwa shida. Unawaza sasa huyu anatuma msg gani kwa mkewe. Wife aliniforwadia ile clip na kaswali kama hako. Umeonaaaa!??😀😀. Ilibidi nimtukane Kipanya matusi yotee
Amesema ukweli na ndoa nyingi zinayumba kwa sababu mnawaigizia wake zenu! Nadhan mkuu ulikanusha badala at least kusema ni kweli ila mini siko hivyo
 
Salama wakuu,

Leo nimeona niseme tu ukweli maana inakuwa Kama ni desturi sasa.... Huyu brother ni Kama ndoa yake Haina changamoto na siku zote za mwaka yeye yupo peponi. Kitu ambacho naamini sio kweli coz hata baadhi ya manabii na mitume walikutana na mabalaa tofauti kwa kuishi na hawa viumbe(wanawake).

Kwa huyu mwenzetu yeye amekuwa Kama ndo SI Unit ya wanawake kupima kuwa wanaume tuna upendo namna gani kwa wake zetu.... Hakuna siku hata moja amezungumzia mabalaa yake ya kwenye ndoa, yeye kila siku ni kuwasema wanaume wenzake tu.

Hatulali, hatuamki..... Utaskia unaona mwenzako kasemaje leo??? Ukiangalia anaandika ma vitu ambayo hata hakuna anayeweza kuyatimiliza na sidhan Kama hata yeye anaweza kuyatimiza..... Ni mchanganyiko mtupu


Leo atasifa mgegedo,
Kesho atasema Unadhani Mkeo kafwata mgegedo,
keshokutwa atasema mletee zawadi,
Mtondogoo atasema Unadhani alifuata zawad.. Basi almradi tafarani...

Mauki Kama wewe psychologist Hebu Kaa Kati, huwezi jua ni kwa Kiwango gani umeathiri ndoa za watu kwa porojo zako. Tungekuwa hatuna misimamo, ndoa nyingi sana zingekwanyuka....

NB: haya ni matokeo ya utafiti mdogo nilioufanya kwa wanandoa na hasa wanaume, tunapokuwa vikaoni jioni.
Dawa yake kuchapwa
 
Yani wewe umeoa kabisa halafu ukamsikilize Mauki kuendesha ndoa yako?

Na hizo ndoa zitakazoweza kuvurugika kisa porojo za Mauki ujue hazikupangwa kuwepo!
Nina rafiki zangu kama wawili hivi ni wasomi na wanajifanya wajanja wameshashiriki semina za huyo jamaa kwa ushawishi wa wake zao! Niliwashangaa sana
 
Nina rafiki zangu kama wawili hivi ni wasomi na wanajifanya wajanja wameshashiriki semina za huyo jamaa kwa ushawishi wa wake zao! Niliwashangaa sana
Mkuu hao hawafai kabisa kuwa rafiki zako..

Yani umeanza mahusiano mpaka umefikia hatua ya kuoa bado unakuwa wakwenda kusikiliza semina za mahusiano kweli??
 
Back
Top Bottom