Kwani mnakosaga sababu sasa!!!!Labda Shosti wako alizembea mahali, Child labour akachukua majukumu yote ya mama na akayamudu hasa, na mume akaona sio kesi ngoja ajiongeze.
Hahahaha, huyo shosti wake aache wasiwasi, ujue kuna wanaume wengine ukifanya jambo la kuwafurahisha kukujengea nyumba ni sawa na kununua sharubati?Kwani mnakosaga sababu sasa!!!!
Umemwahi Jeseverest
Umeji-joseverest mzee wa ohoooooo..
Mkuu nilikushikia nafasi yako kwa kuwa umefika ngoja nikuachie.Pole sana Dada wa Kwa mtogole
Tatizo wanawake hampendaniAngemshirikisha mkewe
Mtu natakiwa kama msichana wa kazi anakutunzia mtoto wakati we haupo umfanyie lhsan,Mungu huwapenda wenye kufanya Ihsan.Pia je huyu mama alikosa matumizi wakati hiyo nyumba inajengwa?Kama tuna uwezo tuwasaidie wasio nao.Mungu hatauliza tulikuwa tunaishi nyumba nzuri kiasi gani,atauliza je tuliwasaidia wangapi ambao walikua hawana pakulala?Huyu shost ni yule aliyenisuta sana tulipokuwa la Saba Mimi A yeye B, tumesha yasahau yale. Tunaishi wote huku kwetu Kwamtogole, mtaa mzima wanamheshimu kwakua mume wake anazo anazo hata michango ya kumtoa mwali wote tukichanga 5,000 mwenzetu anatoa 20,000.
Ana housegirl wake alimpata akiwa amemaluza darasa la saba tu, inaweza kuita child labour lakini wote walihitajiana, binti alihitaji pesa kusaidia familia yake na shost alitaka mlezi wa mwanae mdogo. Miaka zaidi ya kumi imepita shost alushagundua ukaribu wa mume wake an binti wa kazi alimpiga binti biti la kumheshinu baba , sasa juzi anagundua mume amemjengea nyumba baba wa binti kijijini. Nyinyi vwanaume mnaudhi si kidogo.