Maudhi ya Precision Air Johannesburg (O R Tambo Airport)

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Jana kulikuwa na ndege ya Precision Air kutoka Johannesburg to Dar es Salaam, ndege ilitakiwa kuondoka saa saba usiku (1am ) lakini haikuondoka mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa JF. Kutokana nandege kuwa mbovu ilibidi Precision Air iwachukuwe abiria na kuwapeleka sehemu inayoitwa Boksburg kwenye hoteli saa tisa usiku 3am. Leo asubuhi wamekuja kuwachukuwa abiria na kuwapeleka tena OR Tambo International Airport na inasemekana ndege itaondoka saa sita mchana (12pm) Mpaka sasa ndege haijaondoka abiria wapo Airport.

Kama ukiwa na program zako au appointments za kikazi au kibiashara hii sio ndege ya kupanda kwani itakuchelewesha kufanya shughuli zako. Siku zote ni ndege ya kuchelewesha abiria na wala hawakutangizieni wala kuku-sms kuwa kama ndege zao zina matatizo kwa hiyo itachelewa kuondoka.

Precision Air ni shirika bovu linaloendeshwa kisanii halina tofauti na Serikali ya M kw ere kwa tolii. Sijawahi kuzipanda ndege zao wala sitozipanda daima. Precision Air its time bomb linalosubiri kulipuka muda wowote ndege zao zote ni mbovu.

Abiria wakuondoka jana kwenda Dar bado wapo hapa OR Tambo Airport wanalalamika lalamika na kushangaa shangaa. Wameshaletwa kutoka hotelini

Get well Twiga mnyonge tunakusubiria kwa hamu

Update

Bado abiria wana check-in lakini ndege inasadikika kuwa itaondoka saa saba mchana (1 pm).
Haielewiki kuwa ndege ililetwa kimatibabu au imeugua ghafla, hizi ndege ukipanda ni sawa kama umepanda treni za Tanzania roho mkononi.

Mpaka sasa Abiria hawajaingia kwenye ndege, hivi sana ni saa 13:50 za South Afrika, ingawa walisema ndege ingeondoka saa 1pm bado abiria

Abiria ndio wameingia kwenye ndege sasa saa 14:00

Hatimaye mkweche unaelea juu ya anga unakuja Dar wapokeeni huko
 
Jana kulikuwa na ndege ya Precision Air kutoka Johannesburg to Dar es Salaam, ndege ilitakiwa kuondoka saa saba usiku (1am ) lakini haikuondoka mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa JF. Kutokana nandege kuwa mbovu ilibidi Precision Air iwachukuwe abiria na kuwapeleka sehemu inayoitwa Boksburg kwenye hoteli saa tisa usiku 3am. Leo asubuhi wamekuja kuwachukuwa abiria na kuwapeleka tena OR Tambo International Airport na inasemekana ndege itaondoka saa sita mchana (12pm) Mpaka sasa ndege haijaondoka abiria wapo Airport.

Kama ukiwa na program zako au appointments za kikazi au kibiashara hii sio ndege ya kupanda kwani itakuchelewesha kufanya shughuli zako. Siku zote ni ndege ya kuchelewesha abiria na wala hawakutangizieni wala kuku-sms kuwa kama ndege zao zina matatizo kwa hiyo itachelewa kuondoka.

Precision Air ni shirika bovu linaloendeshwa kisanii halina tofauti na Serikali ya M kw ere kwa tolii. Sijawahi kuzipanda ndege zao wala sitozipanda daima. Precision Air its time bomb linalosubiri kulipuka muda wowote ndege zao zote ni mbovu.

Abiria wakuondoka jana kwenda Dar bado wapo hapa OR Tambo Airport wanalalamika lalamika na kushangaa shangaa. Wameshaletwa kutoka hotelini

Get well Twiga mnyonge tunakusubiria kwa hamu

Poleni sana wasafiri. Hivi ni nini kinatokea kwenye hili shirika? Mbona huduma zao zilikuwa superb? Mbona haya yanatokea kipindi ambacho wameshakusanya hela za kutosha kwa njia ya IPO ili kufanya uwekezaji wa uhakika

Kweli hili ni bomu, ambalo wanahisa hawatakiwi kulingoja lilipuke bali waihoji management la si hivyo hata gawio (dividends) wanaweza wasilione kwa kipindi cha miaka miwili, pamoja na anguko la bei ya hisa
 
mimi hao sina hamu nao..walishawahi kuniweka Nairobi si chini ya lisaa nzima..halafu nasikia wako na KQ..sasa cjui muungano wao ukoje..au umekufa?..maana kuna kipindi unakata tiketi ya precision unajikuta unapanda KQ
 
Hili sio shirika la kupanda mkuu
 
Hili nalo neno mkuu. Tatizo watu wengi hawajui haki zao zaidi ya kulalamika. Hiyo kupelekwa hotelini haitoshi

Mkuu hata ukijua haki yako unafikiri watakusikiliza malalamiko yako? Shirika lenyewe linaendeshwa kienyejienyeji
 
Unapopeleka Malalamiko yako kwao, wanakuona haupo serious. Dawa ni kutumia vyombo vya sheria. Kama unaona kuna damages umezipata kutokana na huo usumbufu, consult your Lawyer kwa ushauri zaidi
 
Why precision lakini, au ni zile mambo za uzalendo Tanzania naipenda sana??

Na watu wamenunua hisa za Precision wanasubiri Dividend hehehehehe!!
 
Back
Top Bottom