Maudhi ya operesheni kimbunga!!

hapo kwenye nyekundu dogo tumia kiswahili tu english hujui, wewe na jamaa zako wahamiaji haramu mtaendela kukamatwa tu na hata wewe kwa taarifa yako unaweza kuwa treced tu na kukamatwa.

Dogo .... go slow!! you dont know what you are talking about!!
Jaribu uone.
 
Uthibitisho wa uraia
Je katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.​

..Tanzania hatuna vitambulisho vya raia wetu.

..serikali ilikuwa inapiga danadana suala hili tangu wakati Augustino Mrema ni Waziri wa Mambo ya Ndani.

..tena wakati huo walikuwepo watu ambao walikuwa wanadai vitambulisho vya uraia wa Tanzania havina faida au ulazima wowote.

..Kwa kifupi raia wetu are paying kwa UZEMBE wa serikali yetu ktk kutoa vitambulisho vya uraia. Wahamiaji haramu nao wanajua hiyo weakness yetu and are taking full advantage of the situation.

..bila ya vitambulisho vya uraia, zoezi hili litaendelea kuendeshwa kwa KUBAHATISHA na zaidi kutakuwa na USUMBUFU mkubwa kwa baadhi ya raia ya nchi yetu.
 
wewe kama sio mtanzania rudi kwenu bwana mnatubana sana hapa nchini kwetu acha kuleta majungu hapa jamvini....mbona hata mie nakujua wewe ni mkenya
 
Mpendwa tunaiharibu TZ.kwa mikono yetu wenyewe... soma hapo:-
Mtanzania inatokana na Mtanganyika na Mzanzibari...Sasa WaTanganyika ni WaTanga na WaNyika ni wakenya hao walikuja wakakaribishwa na waGogo ambao ni wenyeji hapa Sasa kwa ujanja Wote tunajulikana. Na huko zanzibar ni Waarabu nao walobaki na kuoona na wamwambao ndo wakajiita wa zanzibari kakazaliwa kaTanzania. Acheni roho mbovu nyie wachache mlo malimbukeni !! AMERIKA huko watu wote ni wakufikia tu ona maendeleo Ona Matokeo ya wema wa Roho zao tija yake "UCHUMI JUU, ELIMU JUU, MAISHA TOSHA, AFYA POA, AJIRA za SHIMIRI NK. " acha uzembe uchaguzi waja hizi ni Siasa chafu.
Good luck kijana usipoteze imani yako.

wewe usiwasifie waamerica labda ilikuwa zamani sasa hivi hata kama un visa ya miezi mitatu uki overstay wakikukamata kwanza unaenda mahabusu unapelekwa mahakamani ukiwa convicted unafugwa baada ya hapo wana ku deport na unapewa permanent ban ya kugusa nchi yao tena,kuna raia wengi wa latin america wenye watoto waliozaliwa us na kwa sheria zao pia wanatimuliwa wanapewa option ya kuacha watoto wao ambao ni us citizen kwa jamaa zao au wawachukue hao watoto warudi us wakiwa wakubwa!!!
 
..Tanzania hatuna vitambulisho vya raia wetu.

..serikali ilikuwa inapiga danadana suala hili tangu wakati Augustino Mrema ni Waziri wa Mambo ya Ndani.

..tena wakati huo walikuwepo watu ambao walikuwa wanadai vitambulisho vya uraia wa Tanzania havina faida au ulazima wowote.

..Kwa kifupi raia wetu are paying kwa UZEMBE wa serikali yetu ktk kutoa vitambulisho vya uraia. Wahamiaji haramu nao wanajua hiyo weakness yetu and are taking full advantage of the situation.

..bila ya vitambulisho vya uraia, zoezi hili litaendelea kuendeshwa kwa KUBAHATISHA na zaidi kutakuwa na USUMBUFU mkubwa kwa baadhi ya raia ya nchi yetu.
Well Said , Na sisi ndiyo tulipe katika migongo yetu katika USUMBUFU na kuvunjiana heshima!! Mkuu tunajikaangaa na mafuta yetu wenyewe !! Pole Tz POLE sanaa !! siasa za ""'' """
Good luck mkuu
 
vizuri. lakin mbona raia wa uganda.kenya na rwanda watimuliwe kama mbuzi na raia wa malawi waambiwe wakajiandikishe wapate vibali? nijibu mkuu

kwanza siyo kweli kwamba raia wa kenya na uganda wengi wametimuliwa hata data za uhamiaji za watu waliotimuliwa zinaonyesha raia wa ke na ug waliotimuliwa ni wachache hii ni kwa sababu wengi wao wanafuata sheria za kuingia nchini, kuhusu raia wa malawi kuna sababu ni kwanini hawatimuliwi mara moja kwanza ni watu wanaofuata sheria za nchi mfano unaona walipoombwa wajitokeze kujiandikisha walivyoitikia wito wengine na watoto mgongoni,pia hutasikia wakijihusisha na ujambazi wakuteka mabasi nk,pia umeshawahi kusikia wamalawi wanaingia na ngombe nyingi mpakani na silaha na kupora ardhi na kunyanyasa wenyeji!!!au umeshasikia raia wa asili ya malawi wakianzisha makundi kama m23 na kudai sehemu ya nchi!!mwisho huwezi kujua mahusiano kati ya members wa sadc kwenye issue kama hii!!!!
 
Well Said , Na sisi ndiyo tulipe katika migongo yetu katika USUMBUFU na kuvunjiana heshima!! Mkuu tunajikaangaa na mafuta yetu wenyewe !! Pole Tz POLE sanaa !! siasa za ""'' """
Good luck mkuu

..ndicho kinachotokea hicho.

..usije ukashangaa hata maofisa wetu wa uhamiaji na wao hawana birth certificate, au hata kitambulisho cha mpiga kura.

..nchi hii imekuwa inaendeshwa kwa bahati-bahati na ubabaishaji wa hali ya juu. kila mahali nilipotembelea nimekuta wana mfumo rasmi na maalum wa kutambua raia wao. sisi hapa Tanzania hatuna.

..pamoja na hayo wahamiaji haramu ni tatizo kubwa. kuna wanaojishughulisha na ujambazi. kuna waliongiza mifugo yao na inaharibu mazingira na misitu. kuna wengine wamesababisha migogoro baina ya wakulima[wa-tz] na wafugaji[wahamiaji haramu].

NB:

..tunapaswa kuuliza, WHERE WERE THEY[uhamiaji,polisi,JWTZ,usalama wa taifa] mpaka nchi inavamiwa na wahamiaji wengi kiasi hiki? kuna mahali nimesoma kuna wahamiaji haramu wameingia maelfu ya mifugo nchini. sasa nchi unajiuliza nchi hii ina vyombo vya ulinzi na usalama kweli??
 
wewe usiwasifie waamerica labda ilikuwa zamani sasa hivi hata kama un visa ya miezi mitatu uki overstay wakikukamata kwanza unaenda mahabusu unapelekwa mahakamani ukiwa convicted unafugwa baada ya hapo wana ku deport na unapewa permanent ban ya kugusa nchi yao tena,kuna raia wengi wa latin america wenye watoto waliozaliwa us na kwa sheria zao pia wanatimuliwa wanapewa option ya kuacha watoto wao ambao ni us citizen kwa jamaa zao au wawachukue hao watoto warudi us wakiwa wakubwa!!!
Mkuu Sikatai sharia zinabadilika, Lakini cha muhimu wamejenga nchi na mindombinu kwa pamoja? hao wametambuliwa na walishirikishwa kuwajibika wakati maYankee walikuwa wanaula starehe, Hadi hii leo wa Latinos wanakuja na kurudi juu ya vikwazo vyote(ukuta/fensi/Patrol,nk) Lakini Mashamba yanawapokea kama vibarua UNDERPAY na wajemba wanajipatia income na kuTransfer fund makwao thru US banks remittance !! Sasa njo kwetu hawa wageni wanajituma na kuchapa kazi na wengi ni underpay lakini wanakula jasho lao kihalali...Wakati siye wabongo tunataka high lifu na free lunch ktk maisha yetu.!! Tusikwepe ukweli Mkuu hii ipo kila nchi Duniani yakuwa WENYEJI huwaga wavivu na carefree wewe tazama na ufanye utafiti utathibitisha kuwa wageni ni wawajibikaji na wao ndo hujenga nchi. Usiku mwema!
 
..ndicho kinachotokea hicho.

..usije ukashangaa hata maofisa wetu wa uhamiaji na wao hawana birth certificate, au hata kitambulisho cha mpiga kura.

..nchi hii imekuwa inaendeshwa kwa bahati-bahati na ubabaishaji wa hali ya juu. kila mahali nilipotembelea nimekuta wana mfumo rasmi na maalum wa kutambua raia wao. sisi hapa Tanzania hatuna.

..pamoja na hayo wahamiaji haramu ni tatizo kubwa. kuna wanaojishughulisha na ujambazi. kuna waliongiza mifugo yao na inaharibu mazingira na misitu. kuna wengine wamesababisha migogoro baina ya wakulima[wa-tz] na wafugaji[wahamiaji haramu].

NB:

..tunapaswa kuuliza, WHERE WERE THEY[uhamiaji,polisi,JWTZ,usalama wa taifa] mpaka nchi inavamiwa na wahamiaji wengi kiasi hiki? kuna mahali nimesoma kuna wahamiaji haramu wameingia maelfu ya mifugo nchini. sasa nchi unajiuliza nchi hii ina vyombo vya ulinzi na usalama kweli??
KWELI NA UWAZI, HUO NDIYO UHAKIKA UZEMBE WETU NDIYO TUNACHANGIA JANGAA HILI...... Baadhi ya wahusika walishughulikia tenda ya kusafirisha wa ETHIOPIA kupitia nchini kwetu kuwapeleka Sauzi (SA) wngi walikuwa wakisafisrishwa kwa makontena kupitia barabara zetu na njia za panya walipasua pori na misitu yoteya Tanzania... Na wengine walikutwa wamekufa ndani kontena na wengine wamesalia kwenye mbuga za wanyama na wengine wamo uraiani.... nina shaka hata Sauzi hawakufika. zaidi zoezi hilo halijakomeshwa bado lina dunda!! Inasikitisha kuwa maofisa na wahusika hukatiana dili na wajanja. Usumbufu utakuwepo na kuendela kukuwa kkwa kiasi kikubwa kama immediate ACTION hatochukuliwa. Pole sana poleeni waBongoland hatuna muarobaini !!
 
..Tanzania hatuna vitambulisho vya raia wetu.

..serikali ilikuwa inapiga danadana suala hili tangu wakati Augustino Mrema ni Waziri wa Mambo ya Ndani.

..tena wakati huo walikuwepo watu ambao walikuwa wanadai vitambulisho vya uraia wa Tanzania havina faida au ulazima wowote.

..Kwa kifupi raia wetu are paying kwa UZEMBE wa serikali yetu ktk kutoa vitambulisho vya uraia. Wahamiaji haramu nao wanajua hiyo weakness yetu and are taking full advantage of the situation.

..bila ya vitambulisho vya uraia, zoezi hili litaendelea kuendeshwa kwa KUBAHATISHA na zaidi kutakuwa na USUMBUFU mkubwa kwa baadhi ya raia ya nchi yetu.

vile vile zaidi ya yote serikali yetu imejaa rushwa kiasi kwamba ni rahisi kwa hao wahamiaji haramu kupata hizo nyaraka hata kama hawakidhi vigezo. Mtanzania mwenyewe kupata passport sometimes inabidi rushwa! kwa mtindo huu unaweza kukuta mhamiaji haramu ana kila kitu kuzidi hata mbongo original!
 
wewe kama sio mtanzania rudi kwenu bwana mnatubana sana hapa nchini kwetu acha kuleta majungu hapa jamvini....mbona hata mie nakujua wewe ni mkenya

anakubanaje mkuu,kwenye chakula cha mgao au mgao wa pesa za bure...wewe kama haujishughulishi imekula kwako,kama shule ndogo hata wakirudishwa utabaki kuwa maskini tu.Acha wivu wewe,fanya kazi roho ya kwanini haisaidii.
 
Mkuu Sikatai sharia zinabadilika, Lakini cha muhimu wamejenga nchi na mindombinu kwa pamoja? hao wametambuliwa na walishirikishwa kuwajibika wakati maYankee walikuwa wanaula starehe, Hadi hii leo wa Latinos wanakuja na kurudi juu ya vikwazo vyote(ukuta/fensi/Patrol,nk) Lakini Mashamba yanawapokea kama vibarua UNDERPAY na wajemba wanajipatia income na kuTransfer fund makwao thru US banks remittance !! Sasa njo kwetu hawa wageni wanajituma na kuchapa kazi na wengi ni underpay lakini wanakula jasho lao kihalali...Wakati siye wabongo tunataka high lifu na free lunch ktk maisha yetu.!! Tusikwepe ukweli Mkuu hii ipo kila nchi Duniani yakuwa WENYEJI huwaga wavivu na carefree wewe tazama na ufanye utafiti utathibitisha kuwa wageni ni wawajibikaji na wao ndo hujenga nchi. Usiku mwema!
life is Short,

..kinachoendelea hapa Tanzania ni tofauti na USA.

..Latinos wanafanya kazi ambazo wazawa wa Kimarekani hawazitaki.

..Huwezi kumtumikisha mzawa Mmarekani ktk ujira na mazingira wanayotumikishwa Latinos.

..Latinos wangekuwa wanaingilia zile shughuli ambazo wazawa wanazitaka ungesikia kurupushani ambayo ingetokea.

..kwa hapa Tanzania wahamiaji haramu wanagombea resources na wazawa. kwa mfano kuna wanaoingiza mifugo yao na kuharibu mazao ya raia wa Tanzania. wengine wamevamia maeneo ya misitu na kuharibu mazingira. zaidi kuna tatizo la ujambazi wa kutumia silaha za kivita ambazo inatuhumiwa wanaingia nazo toka huko walikotoka.

..kwa kifupi ni kwamba wahamiaji haramu wanaishi kibabe huku wakikanyaga haki za raia. imefika mahali raia wa Tanzania wanaishi ktk mazingira magumu as if wao ndiyo wakimbizi.

..kwa kifupi ni kwamba wahamiaji haramu hapa bongo wanabomoa badala ya kujenga nchi.

..siyo kweli kwamba wabongo wote wanataka high life and free lunch. majority ya wa-Tanzania wako vijijini na wanachapa kazi kwelikweli. hujasikia wananchi wanalalamika jinsi wanavyopunjwa ktk bei za pamba, kahawa, korosho, etc etc.
 
Last edited by a moderator:

Swadakta Mkuu, Perfect analysis and pure facts... Ahsante kwa maelezo hakiki! Sasa Mh. JJ hapo chini katika main and major uchumi crops Nani anamlalilia nani? yaani Mfano Mama anapika chakula kuanzia alfajiri alafu familiya inakula na baada yakula Mama huyohuyo analalamika. hapohapo wanafamiliya wanamnyanyasa !! Sasa Upunjaji utaendelea hadi lini?? Jameenii hakuna hata utetezi au haki za wakulima au tunafumbia macho tuu? Basi tujifunzekuiga kutoka EU ulaya wanajihami katika kila sekta na masilaha nyeti. Wandugu aibu hii na dhuluma hii ya kula jasho na nguvu za wakulima inatupelekea kwenye Baraka za laana na kumghadhibisha muumba.
Uhuru wa kweli unahitajika.
 
Ndugu zangu tuoneane huruma hata kama kweli tumeamua kuwatoa ktk ardhi yetu itumike njia sahihi na y ahekima ili kutojenga uhasama na nchi za jirani
hasmol,

..zoezi kama hili limewahi kufanyika wakati wa Raisi Mwinyi na hata Mkapa.

..inatakiwa kuwa DISCOURAGE kurudi tena Tanzania.

..I dont know what that involves, lakini ndicho kinachotakiwa kufanyika.

..kwa nchi kama Marekani wameamua kuweka vikwazo kwa wahamiaji haramu waki-Latino kupata kazi, na pia wanatoa adhabu ya faini kubwa kwa kampuni yoyote itakayoajiri mhamiaji haramu.

cc life is Short, Jp Omuga
 
Last edited by a moderator:
..Tanzania hatuna vitambulisho vya raia wetu.

..serikali ilikuwa inapiga danadana suala hili tangu wakati Augustino Mrema ni Waziri wa Mambo ya Ndani.

..tena wakati huo walikuwepo watu ambao walikuwa wanadai vitambulisho vya uraia wa Tanzania havina faida au ulazima wowote.

..Kwa kifupi raia wetu are paying kwa UZEMBE wa serikali yetu ktk kutoa vitambulisho vya uraia. Wahamiaji haramu nao wanajua hiyo weakness yetu and are taking full advantage of the situation.

..bila ya vitambulisho vya uraia, zoezi hili litaendelea kuendeshwa kwa KUBAHATISHA na zaidi kutakuwa na USUMBUFU mkubwa kwa baadhi ya raia ya nchi yetu.
Kwenye msafara wa mamba kenge Nao wamo hivyo tambua wahamiaji wajanja wajanja tayari wamo kwenye list ya kupata vitambulisho na huenda wengi wameshavipata tayari Maana Kama wameweza kujipenyeza kwenye taasisi na Sekta mbali mbali iweje washindwe kupenya kote?
 
80%ya wahamiaji Haramu wapo Dsm wengi ni Wanyasa na Warundi wakongo na wanyarwanda na mataifa mengine ikiwemo india somaria nk lakini Rushwa imekuwa Adui wa Haki kwani Sasa Uhamiaji Haramu imekuwa ni pato jipya kwa wajanja wa mjini kwani wametumia fursa vizuri kujiweka kwenye kufa kufaana hivyo mhamiaji mwenye mtandao hapati shida wanaumia wahamiaji fukara tu
 
with high respect mkuu, umeongea kwa hekima na busara " yaonekana serikali haykulisoma na kulitafakari jambo hili "
kukurupuka kwao kutazaa tija na matokeo yasiyo tatulika... Yaani human disaster ! Si ajabu hasara zake ni kubwa kuliko walivyotegemea. Watanzania tupo pamoja na mungu atusaidie.

big results now
 
Back
Top Bottom