life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Breaking News:Operation Kimbunga ya wahamiaji haramu yasitishwa!
Serikali ya tanzania imesitisha rasmi opeartion kimbunga ya kuwasaka wahamiaji haramu hasa katika mikoa ya kagera na kigoma na tayari makamanda wa vikosi wote waliokuwa katika hiyo operation wameondolewa kwa amri ya Rais Kikwete.
Hata hivyo kwa mjibu wa kaimu kamanda wa kikosi cha operation simon siro amesema kuwa hivi sasa wamesitisha operation kimbunga tangu septemba 22,2013 kwa kutumia mfumo waliokuwa wakiutumia na sasa kazi kubwa itakuwa kwa watendaji wa vijiji na mitaa kuhakikisha wale waliorudi makwao hawarejei tena.
Zoezi hili limekuwa na malalamiko makubwa kutoka kwa wadau kwamab halikufuata haki za binadamu

funza,hasmol,
..zoezi kama hili limewahi kufanyika wakati wa Raisi Mwinyi na hata Mkapa.
..inatakiwa kuwa DISCOURAGE kurudi tena Tanzania.
..I dont know what that involves, lakini ndicho kinachotakiwa kufanyika.
..kwa nchi kama Marekani wameamua kuweka vikwazo kwa wahamiaji haramu waki-Latino kupata kazi, na pia wanatoa adhabu ya faini kubwa kwa kampuni yoyote itakayoajiri mhamiaji haramu.
cc life is Short, Jp Omuga
- Today 08:11
- #80
JF Senior Expert Member Array
- Join Date : 29th June 2013
Location : Kigs
Posts : 328
Rep Power : 475
Likes Received100
Likes Given192
- Join Date : 29th June 2013
- [h=2]Re: Maudhi ya operesheni kimbunga!![/h]
By life is short
with high respect mkuu, umeongea kwa hekima na busara " yaonekana serikali haykulisoma na kulitafakari jambo hili "
kukurupuka kwao kutazaa tija na matokeo yasiyo tatulika... Yaani human disaster ! Si ajabu hasara zake ni kubwa kuliko walivyotegemea. Watanzania tupo pamoja na mungu atusaidie.
big results now
"You cannot choose to which parents you are born to but you can choose which person you can be".
Reply
Reply With Quote
Send PM
Reply