Maudhi ya mke, funguka

Maudhi ya mke, funguka

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Hii mada itakuwa msaada mkubwa sana kwa wale wanaojiandaa kuingia katika ndoa, itasaidia kuwaanda kisaikolojia kupambana na maudhi ya mke maana kwa kweli ni mengi sana na usipoangalia yanaweza angamiza ndoa yako.

Mwanamke kabla hajaingia ndani huwa mtiifu sana, akishaingia ndani ndo songombingo linapoanza, ndo utakutana na majibu kwani utanifanya nini?

Karibuni tuyabainishe haya maudhi.
 
baada ya kumuoa mke wangu ananiambia nina kibamia basi kila siku nina kazi ya kukivuta ili kirefuke!!!
hatari, ina maana hakuwahi kukiona kabla??
 
hatari, ina maana hakuwahi kukiona kabla??

tena siku hizi ameanza tabia mbaya!!!
tukiwa tunagegedana yeye anaongea na simu tena bila wasi wasi na anayeongea naye hagundui kama mtu anagegedwa!!!
 
1.sijui ilikuwaje hadi mimi kuolewa na wewe sikupendi hadi basi tu.
2. mwanaume gani wewe??kati ya wanaume nawe utasema ni mwanaume.pole sana
3.Mimi siyo mwanamke wa hadhi yako nenda katafute mwanamke wa type yako siyo mimi
hayo ni baadhi tu ya maneno ya kelo.. afu hapo anaongea yuko serious ..ukimwambia achaache hayo maneno anakaza tu na kuzidisha..
mimi naishia hapo
 
tena siku hizi ameanza tabia mbaya!!!
tukiwa tunagegedana yeye anaongea na simu tena bila wasi wasi na anayeongea naye hagundui kama mtu anagegedwa!!!

Bila hata aibu una Jitangaza hapa
 
1.sijui ilikuwaje hadi mimi kuolewa na wewe sikupendi hadi basi tu.
2. mwanaume gani wewe??kati ya wanaume nawe utasema ni mwanaume.pole sana
3.Mimi siyo mwanamke wa hadhi yako nenda katafute mwanamke wa type yako siyo mimi
hayo ni baadhi tu ya maneno ya kelo.. afu hapo anaongea yuko serious ..ukimwambia achaache hayo maneno anakaza tu na kuzidisha..
mimi naishia hapo

Almanusura nivunje mwiko na kumchapa mtu kibao siku nilipoambiwa hivi...tena uso mkavuuu bila kupepesa kope!
 
Utakuta msichana mrembo kipindi mnaanza ....mkishaingia kuishi nyumba moja, .......ule usafi wote unatoweka ghafla......na kero zingine zinazo sababishwa na mazoea.......ukiulizwa utaambiwa ....."Bwana eeeeeh kama umenichoka tupotezeane tuachane kwani lazima kuishi pamoja?!"...........Halafu hapo mtu ndio unataka kuweka kambi unataka kuachana na kuhangaika na vicheche!Dah mademu wa siku hizi kusema ukweli ni vilaza kwenye kumanage ndoa zao.......i hope soon serikali watatoa diploma na degree ya wife material ili hawa waliopitwa na unyago waliokuwa wanapata mabibi zetu wakaelimike warudi kwenye mstari familia ziimarike.
 
Kikubwa, kabla huaoa piga goti vya kutosha na ukishaoa piga goti pia vya kutosha ... heshima na adabu ya ndoa ni kitu cha pande mbili, kabla hujaheshimiwa na mke kukutii cha kwanza jiheshimu na uwe mtii, jinsi ulivyoandika mada yako kwanza inaonesha hujaoa and like MKE ni kitu tu umekileta nyumbani kwa ajili ya matumizi yako.

Kumbuka, unapopiga goti kwa ajili ya kumuomba MUNGU mke wa kufanana nawe, mke naye at the same time amekuwa akimuomba MUNGU mume wa kumfaa na kufanana naye so si lazima yeye tu ndo afuate tabia zako bali wewe pia unatakiwa ufuate tabia zake. Usisahau kanuni hii : Stranger+Rafiki+Uhusiano+Uchumba+Ndoa=Mke so kama huko kote ulipita mwisho wa siku ukaamua kujitwisha then hilo lako ... wanaume tupunguze kulalamika na tu deal na changamoto zetu za kwenye ndoa.

Mke ni binadamu kama binadamu wengine, tofauti ni jinsia tu, so kama wewe unakosea yeye pia anayo nafasi ya kufanya makosa tena kumbuka wao wana disadvantage in mood swing due to the monthly hormonal changes so weka room kwa ajili ya hiyo kitu. Kikubwa, kama couples msisahau kurekebishana kwa heshima na upendo na kusamehe, coz kwangu asiyesamehe ndiye anayepata hasara zaidi kuliko hata yule asiyesamehewa.
 
Back
Top Bottom