wanaume bana!!!!!
Kikubwa, kabla huaoa piga goti vya kutosha na ukishaoa piga goti pia vya kutosha ... heshima na adabu ya ndoa ni kitu cha pande mbili, kabla hujaheshimiwa na mke kukutii cha kwanza jiheshimu na uwe mtii, jinsi ulivyoandika mada yako kwanza inaonesha hujaoa and like MKE ni kitu tu umekileta nyumbani kwa ajili ya matumizi yako.
Kumbuka, unapopiga goti kwa ajili ya kumuomba MUNGU mke wa kufanana nawe, mke naye at the same time amekuwa akimuomba MUNGU mume wa kumfaa na kufanana naye so si lazima yeye tu ndo afuate tabia zako bali wewe pia unatakiwa ufuate tabia zake. Usisahau kanuni hii : Stranger+Rafiki+Uhusiano+Uchumba+Ndoa=Mke so kama huko kote ulipita mwisho wa siku ukaamua kujitwisha then hilo lako ... wanaume tupunguze kulalamika na tu deal na changamoto zetu za kwenye ndoa.
Mke ni binadamu kama binadamu wengine, tofauti ni jinsia tu, so kama wewe unakosea yeye pia anayo nafasi ya kufanya makosa tena kumbuka wao wana disadvantage in mood swing due to the monthly hormonal changes so weka room kwa ajili ya hiyo kitu. Kikubwa, kama couples msisahau kurekebishana kwa heshima na upendo na kusamehe, coz kwangu asiyesamehe ndiye anayepata hasara zaidi kuliko hata yule asiyesamehewa.
Mm nishajibiwa hovyo mara moja lakini kwa kuwa najua kutumia mikono vzr kuudabisha reception haijajitokeza tena.
Sasa hivi Vatican wanajadili kuhusu talaka, nasubiri majibu kwanza.
baada ya kumuoa mke wangu ananiambia nina kibamia basi kila siku nina kazi ya kukivuta ili kirefuke!!!
Huu ni mwaka wa nne naishi na mke wangu wa ndoa nilimuoa nikiwa na miaka 24....Namshukuru Mungu ndoa yangu haijawahi kupata kashi kashi ukiachana na changamoto za kawaida tulizoumbiwa binaadamu.Ila huwa kuna mauzi mawili kutoka kwake ambayo kwa kweli ukikaa chini na kuwaza utagundua ni haki yake kusema hivyo
1.Nakwambiaje Rural Swagga mume wangu usipooga leo hapa kitandani hulali ( ni saa nane za usiku kuelekea saa tisa nina safary lager kama 12-15 kichwani)
2.Nilishakukataza kuvutia sigara humu ndani kwangu ....baba naniii mbona hunielewagi wewe mwanaume.
1.sijui ilikuwaje hadi mimi kuolewa na wewe sikupendi hadi basi tu.
2. mwanaume gani wewe??kati ya wanaume nawe utasema ni mwanaume.pole sana
3.Mimi siyo mwanamke wa hadhi yako nenda katafute mwanamke wa type yako siyo mimi
hayo ni baadhi tu ya maneno ya kelo.. afu hapo anaongea yuko serious ..ukimwambia achaache hayo maneno anakaza tu na kuzidisha..
mimi naishia hapo
baada ya kumuoa mke wangu ananiambia nina kibamia basi kila siku nina kazi ya kukivuta ili kirefuke!!!
Huu ni mwaka wa nne naishi na mke wangu wa ndoa nilimuoa nikiwa na miaka 24....Namshukuru Mungu ndoa yangu haijawahi kupata kashi kashi ukiachana na changamoto za kawaida tulizoumbiwa binaadamu.Ila huwa kuna mauzi mawili kutoka kwake ambayo kwa kweli ukikaa chini na kuwaza utagundua ni haki yake kusema hivyo
1.Nakwambiaje Rural Swagga mume wangu usipooga leo hapa kitandani hulali ( ni saa nane za usiku kuelekea saa tisa nina safary lager kama 12-15 kichwani)
2.Nilishakukataza kuvutia sigara humu ndani kwangu ....baba naniii mbona hunielewagi wewe mwanaume.
Nikwambie Blue G ni shetani tu na muda si mrefu nitamshinda.....usiwaze kamanda naifanyia kazi hii kitudah hongera mkuu kwa kuwa na ndoa yenye amani,sasa si uache malager na masigara yako mkuu?kwani utapungukiwa nini ?
thank u for compliments.....God bless umwanaume ambaye anaappreciate hivi raha sana..
Maudhi ktk ndoa lazima yawepo hasa ukizingatia hamkukua nyote kila mmoaja alilelewa na tabia yake..so kuvumiliana na kujishusha ndicho cha muhimu
Sasa hivi Vatican wanajadili kuhusu talaka, nasubiri majibu kwanza.