Maudhi ya mke, funguka

Maudhi ya mke, funguka

:llama:..........................................................
 
Mi kinachokera kwa wife wangu jamani ni ule wivu tu, yani tangu nilipomfuma ananusa kwny gegedeo wakati niko 4GB kichwani ndo akanikera kabisaaaaaaa, yani nahangaika kila cku kubadilisha password mara pin cjui patern kwny simu yangu maana inapekuliwa hiyo......kero yangu kwa hao viumbe ni hiyo tu
 
1.sijui ilikuwaje hadi mimi kuolewa na wewe sikupendi hadi basi tu.
2. mwanaume gani wewe??kati ya wanaume nawe utasema ni mwanaume.pole sana
3.Mimi siyo mwanamke wa hadhi yako nenda katafute mwanamke wa type yako siyo mimi
hayo ni baadhi tu ya maneno ya kelo.. afu hapo anaongea yuko serious ..ukimwambia achaache hayo maneno anakaza tu na kuzidisha..
mimi naishia hapo

Kwanza mtoto huyu si wako. Wakati umefanana na mtoto kichizi.
 
Sasa hivi Vatican wanajadili kuhusu talaka, nasubiri majibu kwanza.
AWWW! itakuwwa powa sana ebu wafanye haraka tupige kura za ndioooo, loh wao hawaoi sie wanatufunga maisha WTF?
 
Wewe unajiandaa kuoa JEKI

Hii mada itakuwa msaada mkubwa sana kwa wale wanaojiandaa kuingia katika ndoa, itasaidia kuwaanda kisaikolojia kupambana na maudhi ya mke maana kwa kweli ni mengi sana na usipoangalia yanaweza angamiza ndoa yako.

Mwanamke kabla hajaingia ndani huwa mtiifu sana, akishaingia ndani ndo songombingo linapoanza, ndo utakutana na majibu kwani utanifanya nini?

Karibuni tuyabainishe haya maudhi.
 
Last edited by a moderator:
Talaka ndani ya ndoa RUKHSA, kama hili likiamuliwa basi wanawake wengi watalifurahia sana.

Wanaume lazima ndo wale bata, wanawake hawata afford fedheha ya kauchwa. Kwanza, wanawake wengi hawajasimama kiuchumi, wengi wameshatoka makwao, kwahyo kurudi ni shida.

Pia, hata ile social status nayo ni shida, jamii yetu bado inaamini katika superiority ya mwanaume, kwahyo hawajui kama kuna kitu cha mwanaume kuachwa, ila anaacha.
 
serious....?!!!&

[h=1]Papa kujadili ndoa na talaka kanisani[/h]
  • 6 Oktoba 2014
Mshirikishe mwenzako
Viongozi wa kanisa watajadili maswala kama ndoa, talaka na uzazi wa mpango wa kisasa Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis amefungua rasmi mkutano wa viongozi wakuu wa kanisa hilo kujadili maswala kama vile uzazi wa mpango, talaka na ndoa za jinsia moja.
Wanaojadili maswala haya ni viongozi wa kanisa hilo na wanatarajiwa kufanya hivyo kwa uwazi bila uoga wowote.
Mwandishi wa BBC wa maswala ya Vatican, David Willey anasema kuwa Papa alifungua mkutano huo na kuwataka viongozi hao kuongea bila uoga wowote kwa kipindi cha wiki moja.
Papa alianzisha mjadala wa baadhi ya mambo ambayo ni mwiko kwa wengi wa viongozi wa kanisa na kuwataka kuyajadili bila uoga.
Aliwaambia zaidi ya viongozi 200 wa kanisa hilo pamoja na wataalamu kuongea bila hofu ya kumuudhi , kuongea ukweli na kwa uwazi na kusikiliza kwa umakini. Mkutano huu ni wa kipekee kwani mikutano ya Vatican kwa kawaida huwa na kimya kingi.
Lugha ambayo hutumika kwa kwaida huwa imejaa maneno yanayoambatana tu na mafunzo ya kanisa.
Papa Francis alifungua rasmi mkutano huo na kuwataka viongozi wengine kuongea kwa uwazi. Papa amekuwa akitaka gumzo katika kanisa kuhusiana na maswala ya ngono na pengo lililopo katika mafunzo ya dini na masuala kuhusu familia na ambavyo familia za kikatoliki zinaishi maisha yao.
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu ikiwa ni sawa kuruhusu wakatoliki wanaotalakiana na kisha kuona tena kukubaliwa kupokea sacramenti.
Papa Francis anataka kanisa kuwaonea huruma watu waliotalakiwa bila ya kulegeza msimamo kuhusu maswala ya ndoa.

Papa kujadili ndoa na talaka kanisani - BBC Swahili
 
tena siku hizi ameanza tabia mbaya!!!
tukiwa tunagegedana yeye anaongea na simu tena bila wasi wasi na anayeongea naye hagundui kama mtu anagegedwa!!!

Mmmmh. Hii ni hatari sana.

Wangu alikuwa anaimba nyimbo inayopigwa kwenye redio, aisee. Nakutoka jasho kote, chenyewe kinaimba, dah.
 
Sipati picha ndoa zitakapoanza kupukutika.

Yap
Tena za zilizofungwa roma nyingi zitavunjika rasmi coz zilishavunjika cku nyingi huku kitaa watu wakaoa na kuolewa upya kwny makanisa ya kilokole
 
[h=1]Papa kujadili ndoa na talaka kanisani[/h]
  • 6 Oktoba 2014
Mshirikishe mwenzako
Viongozi wa kanisa watajadili maswala kama ndoa, talaka na uzazi wa mpango wa kisasa Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis amefungua rasmi mkutano wa viongozi wakuu wa kanisa hilo kujadili maswala kama vile uzazi wa mpango, talaka na ndoa za jinsia moja.
Wanaojadili maswala haya ni viongozi wa kanisa hilo na wanatarajiwa kufanya hivyo kwa uwazi bila uoga wowote.
Mwandishi wa BBC wa maswala ya Vatican, David Willey anasema kuwa Papa alifungua mkutano huo na kuwataka viongozi hao kuongea bila uoga wowote kwa kipindi cha wiki moja.
Papa alianzisha mjadala wa baadhi ya mambo ambayo ni mwiko kwa wengi wa viongozi wa kanisa na kuwataka kuyajadili bila uoga.
Aliwaambia zaidi ya viongozi 200 wa kanisa hilo pamoja na wataalamu kuongea bila hofu ya kumuudhi , kuongea ukweli na kwa uwazi na kusikiliza kwa umakini. Mkutano huu ni wa kipekee kwani mikutano ya Vatican kwa kawaida huwa na kimya kingi.
Lugha ambayo hutumika kwa kwaida huwa imejaa maneno yanayoambatana tu na mafunzo ya kanisa.
Papa Francis alifungua rasmi mkutano huo na kuwataka viongozi wengine kuongea kwa uwazi. Papa amekuwa akitaka gumzo katika kanisa kuhusiana na maswala ya ngono na pengo lililopo katika mafunzo ya dini na masuala kuhusu familia na ambavyo familia za kikatoliki zinaishi maisha yao.
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu ikiwa ni sawa kuruhusu wakatoliki wanaotalakiana na kisha kuona tena kukubaliwa kupokea sacramenti.
Papa Francis anataka kanisa kuwaonea huruma watu waliotalakiwa bila ya kulegeza msimamo kuhusu maswala ya ndoa.

Papa kujadili ndoa na talaka kanisani - BBC Swahili
wakikubali talaka gharama za ndoa zitapungua
 
Back
Top Bottom